Kaa chini utafakari kinachoendelea Gaza hivi sasa pamoja na vifo vya maelfu ya Wapalestina wakiwemo wanamgambo wa Hamas, jumlisha na hao mateka 50, ndio gharama sahihi iliyohitajika kulipwa na Hamas ili kuwakomboa wafungwa 150 wa Kipalestina kutoka Israel?
Ukimaliza, simama kisha kaa tena chini utafakari kuhusu kile nilichokisema awali kabisa.
Huyo Hamasi mbona analazimisha kumshika mtoto wakati uso wa mtoto unaonekana wazi yupo terrified na hataki hata kuguswa na Gaidi.Hayo ma musk yanawafanya waonekane kama Zombie/ Vampire na wanawatisha watoto