Hamas wameshashinda mapigano. Dalili zipo wazi kabisa.

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Hamss wameshashinda mapigazo ya Ghaza. Kinachowafanya mazayuni wasinyanyue bendera nyeupe kuashiria kushindwa ni kibri tu na kuogopa kulipishwa gharama zote za vita na watu waliowauwa hovyo.

Kwenye nedani wameshindwa, hakuna hata sharti lao moja walilolipta, kwenye siasa wameshindwa, sasa hivi ndani ya serikali ya kizayuni kuna mtafauruku mkubwa sana. Kwenye siasa za Kimataifa, wameshindwa. Kwenye sheria wameshindwa na Umoja wa Mataifa wameshindwa.

Ushindi wao ni kuwa wameendelea kuuwa watoto, kinama, wazee, kubomoa mahospita, yaani kufanya mauwaji ya kimbari kutokea mbali, ndiko walikoweza wao.

Hamas wameibuka tena Ghaza, serikali ya Ghaza zssa wanendesha wao, mazayuni wameondoka kimya kimya huku wanachezea kichapo kwenye medani. Hamas mpaka polisi mitaani wanongozwa na Hamas, wameshaanza kazi.

View: https://youtu.be/wxrTS4uUGt8?si=quALavccdY59W9Oj

Iliyobaki Hamas ni kusherehekea. Hamas wanasema sherehe yao mpaka Palestina yote irudi mikononi mwao na siyo Ghaza tu
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Walikomboa hata mita za mraba 100 kutoka kwa Israel unidai 100,000, wataishijr na wakati nyumba zimeharibika, na msiba kila eneo, nyie ndio mnawwwazia mabaya wapalestina, mnawaambia wakapambane na IDF ili wafe, vita ni mbaya sana, Israel ameua watoto, wamama, wazee, vijana, na wababa, Hamas wakishupuza shingo watasababisha madhara makubwa eneo lote la Gaza na west bank. Hakuna namna wawaondoe wayahudi pale, vinginevyo wapalestina wataisha
 
Ndio mnavyodanganyana huko mnapopewa baraka
Israhell ishakubali kuachia mateka wote inaowashikilia na kuiacha ghaza kama ilivyo
Israhell yakawaida sanaaaaaaaa hawa magaidi
 
Hamss wameshashinda mapigazo ya Ghaza. Kinachowafanya mazayuni wasinyanyue bendera nyeupe kuashiria kushindwa ni kibri tu na kuogopa kulipishwa gharama zote za vita na watu waliowauwa hovyo.

Kwenye nedani wameshindwa, hakuna hata sharti lao moja walilolipta, kwenye siasa wameshindwa, sasa hivi ndani ya serikali ya kizayuni kuna mtafauruku mkubwa sana. Kwenye siasa za Kimataifa, wameshindwa. Kwenye sheria wameshindwa na Umoja wa Mataifa wameshindwa.

Ushindi wao ni kuwa wameendelea kuuwa watoto, kinama, wazee, kubomoa mahospita, yaani kufanya mauwaji ya kimbari kutokea mbali, ndiko walikoweza wao.

Hamas wameibuka tena Ghaza, serikali ya Ghaza zssa wanendesha wao, mazayuni wameondoka kimya kimya huku wanachezea kichapo kwenye medani. Hamas mpaka polisi mitaani wanongozwa na Hamas, wameshaanza kazi.

View: https://youtu.be/wxrTS4uUGt8?si=quALavccdY59W9Oj

Iliyobaki Hamas ni kusherehekea. Hamas wanasema sherehe yao mpaka Palestina yote irudi mikononi mwao na siyo Ghaza tu

Acha kujilisha upepo
 
Kama wameshinda kwanini Israel inashtakiwa kwa kucommit genocide? Is it time Israel ionewe huruma badala ya Hamas na Hamas kushtakiwa?
 
Hamss wameshashinda mapigazo ya Ghaza. Kinachowafanya mazayuni wasinyanyue bendera nyeupe kuashiria kushindwa ni kibri tu na kuogopa kulipishwa gharama zote za vita na watu waliowauwa hovyo.

Kwenye nedani wameshindwa, hakuna hata sharti lao moja walilolipta, kwenye siasa wameshindwa, sasa hivi ndani ya serikali ya kizayuni kuna mtafauruku mkubwa sana. Kwenye siasa za Kimataifa, wameshindwa. Kwenye sheria wameshindwa na Umoja wa Mataifa wameshindwa.

Ushindi wao ni kuwa wameendelea kuuwa watoto, kinama, wazee, kubomoa mahospita, yaani kufanya mauwaji ya kimbari kutokea mbali, ndiko walikoweza wao.

Hamas wameibuka tena Ghaza, serikali ya Ghaza zssa wanendesha wao, mazayuni wameondoka kimya kimya huku wanachezea kichapo kwenye medani. Hamas mpaka polisi mitaani wanongozwa na Hamas, wameshaanza kazi.

View: https://youtu.be/wxrTS4uUGt8?si=quALavccdY59W9Oj

Iliyobaki Hamas ni kusherehekea. Hamas wanasema sherehe yao mpaka Palestina yote irudi mikononi mwao na siyo Ghaza tu

We ndio ripota wao au unaota tu? Waarabu wanavyomdharau mtu mweusi bado mnawahusudu ndio wanawaona zaidi ya nyani. Waarabu ndio waliwauza waafrika Ulaya na Marekani akawapumbaza kwa dini ya kiislam ambao ni utamaduni wao tu hakuna uhusiano na Mungu. Dini yenyewe waliilazimisha kwa jambia bado mtu anashinda humu kuandika uzushi na propaganda za uwongo. Kuliko mwarabu mara 1000 ya Mchina
 
Wamehamia rafa kuua wanawake na watoto,usiku wa kuamkia Leo wameua 90+,huko rafa waliwaambia watu waendele huko
Kwanini wanaume wanajificha kwenye mashimo kama fuko wanawaacha wanawake na watoto ? Alafu utakuta wanaume wazima wakitokea uko kwenye mashimo wanaanza kulia
 
Back
Top Bottom