FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hamss wameshashinda mapigazo ya Ghaza. Kinachowafanya mazayuni wasinyanyue bendera nyeupe kuashiria kushindwa ni kibri tu na kuogopa kulipishwa gharama zote za vita na watu waliowauwa hovyo.
Kwenye nedani wameshindwa, hakuna hata sharti lao moja walilolipta, kwenye siasa wameshindwa, sasa hivi ndani ya serikali ya kizayuni kuna mtafauruku mkubwa sana. Kwenye siasa za Kimataifa, wameshindwa. Kwenye sheria wameshindwa na Umoja wa Mataifa wameshindwa.
Ushindi wao ni kuwa wameendelea kuuwa watoto, kinama, wazee, kubomoa mahospita, yaani kufanya mauwaji ya kimbari kutokea mbali, ndiko walikoweza wao.
Hamas wameibuka tena Ghaza, serikali ya Ghaza zssa wanendesha wao, mazayuni wameondoka kimya kimya huku wanachezea kichapo kwenye medani. Hamas mpaka polisi mitaani wanongozwa na Hamas, wameshaanza kazi.
View: https://youtu.be/wxrTS4uUGt8?si=quALavccdY59W9Oj
Iliyobaki Hamas ni kusherehekea. Hamas wanasema sherehe yao mpaka Palestina yote irudi mikononi mwao na siyo Ghaza tu