Hamas warudisha nyuma jaribio la mwanzo la jeshi la Israel kuingia Gaza kwa miguu

ni kweli, ilikuwa leo jumapili, na askari mmoja wa israel amekufa. nadhani walikuwa wanafanay majaribio waone wanaingiaje na hamas wamekaa mlangoni mwa mahandaki wanawasubiri. israel wenyewe wamekiri hilo na hamas wamesema hivyo, naangalia hapa al jazeera. kuwafuata hamas kule ni nguvu na watakufa wengi sana, ila cha muhimu ni kwamba hata kama mwaka utaisha, wataingia tu. silaha ya kwanza wamewanyima msosi, maji na umeme, tuone kama wataishi hivyo miaka yote kwenye mashimo. sema magaidi hawanaga dogo, si ukute wameanza kuwalala wanawake wa kiisrael mateka, unakumbuka boko haram walizalisha vitoto kibao kwa mateka na wanawake wakawa wanapenda warudi kulekule wakawe boko haram milele.
 
Muda mfupi uliopita wanamgambo wa Hamas wamesema wamefanikiwa kuvirudisha nyuma vikosi vya jeshi la Israel vilivyojaribu kuingia kwenye ngome zao.
Wanamgambo hao wamesema waliwarejesha nyuma askari hao wenye mafunzo na vifaa imara pale walipoingia kuanza kuziba uzio waliouvunja wiki iliyopita na kubaki wazi muda wote wa karibu wiki mbili.Shambulio hilo la IDF kwa mujibu wa Hamas lilifanyika kwenye eneo la Khani Yunus.
Kwa mujibu wa wasemaji wa IDF huo ulikuwa ni mtego uliotegwa kwao na walifanikiwa kurudi nyuma haraka.

Israel-Hamas war: Air strikes pound Gaza, Hamas says repelled ground attack

Wana tamani na ufundi wao wote! Wanajifunza wanaingia tena upya😃Wala Wapelestina wasijali-
 
Attachments

  • Screenshot_20231022-163921.jpg
    Screenshot_20231022-163921.jpg
    79.8 KB · Views: 4
ni kweli, ilikuwa leo jumapili, na askari mmoja wa israel amekufa. nadhani walikuwa wanafanay majaribio waone wanaingiaje na hamas wamekaa mlangoni mwa mahandaki wanawasubiri. israel wenyewe wamekiri hilo na hamas wamesema hivyo, naangalia hapa al jazeera. kuwafuata hamas kule ni nguvu na watakufa wengi sana, ila cha muhimu ni kwamba hata kama mwaka utaisha, wataingia tu. silaha ya kwanza wamewanyima msosi, maji na umeme, tuone kama wataishi hivyo miaka yote kwenye mashimo. sema magaidi hawanaga dogo, si ukute wameanza kuwalala wanawake wa kiisrael mateka, unakumbuka boko haram walizalisha vitoto kibao kwa mateka na wanawake wakawa wanapenda warudi kulekule wakawe boko haram milele.
Ila sio kwa IDF!! Watawamaliza tu! Na kuwafuta Hamas
 
ile GAZA yote unaambiwa kuna kilomita rundo za mahandaki kule chini, kuna vitanda, magala ya silaha, magala ya maji, vyakula kila kitu. wamejiandaa kwa miaka mingi. sema israel anachofanya hana haraka, watamaliza vyote afu watakamatwa kama kuku over time.
 
Kwenye Military Sciences - inatakiwa Uwe na Oxygen 24/7 yaani unaivuta Ina kuwepo😁! Maandaki Yao yana ventilators jangwani au kwenye misitu! Watawamaliza tu! Hamasi wanategemea huruma na misaada! Israel GOOGLE,IPHONE NA ATA MOBILE MONEY (MPESA.TIGOPESA.VISA)MASTECARD) NI ISRAEL INNOVATION SO kwa wiki wanapata pesa kiasi Gani! Pole and takbiriii
 
Israel imeanza lini ground offensive?! Hatujasikia kauli yoyote ya waziri wa ulinzi au PM Netanyahu akiafiki kuanza uvamizi wa ardhini.
Mbona IDF yenyewe imekili juu na hiyo ambush?
kwenye ambush hiyo tank 2 zimeharibiwa na mwanajeshi 1 amekufa na baadhi ya wengine wamejeruhiwa, sema kwa mujibu wa IDF ni kuwa walifanikiwa kuugundua mtego wa hiyo ambush mapema hivyo walifanikiwa kurudi nyuma kwa haraka tofauti na hapo wange pigwa ambush moja baya sana.
 
Kwenye Military Sciences - inatakiwa Uwe na Oxygen 24/7 yaani unaivuta Ina kuwepo😁! Maandaki Yao yana ventilators jangwani au kwenye misitu! Watawamaliza tu! Hamasi wanategemea huruma na misaada! Israel GOOGLE,IPHONE NA ATA MOBILE MONEY (MPESA.TIGOPESA.VISA)MASTECARD) NI ISRAEL INNOVATION SO kwa wiki wanapata pesa kiasi Gani! Pole and takbiriii
Iphone no steve jobs,mwarabu wa syria,m pesa no muingereza...juzi tu netanyahu kaomba msaada wa dola bilioni 10,so acha kuandika mambo ya vijiwwni humu
 
Mbona IDF yenyewe imekili juu na hiyo ambush?
kwenye ambush hiyo tank 2 zimeharibiwa na mwanajeshi 1 amekufa na baadhi ya wengine wamejeruhiwa, sema kwa mujibu wa IDF ni kuwa walifanikiwa kuugundua mtego wa hiyo ambush mapema hivyo walifanikiwa kurudi nyuma kwa haraka tofauti na hapo wange pigwa ambush moja baya sana.
All branches of Israel's Special Forces have suffered 20% casualties — Former United States Marine Corps intelligence officer, Scott Ritter
 
Kwenye Military Sciences - inatakiwa Uwe na Oxygen 24/7 yaani unaivuta Ina kuwepo😁! Maandaki Yao yana ventilators jangwani au kwenye misitu! Watawamaliza tu! Hamasi wanategemea huruma na misaada! Israel GOOGLE,IPHONE NA ATA MOBILE MONEY (MPESA.TIGOPESA.VISA)MASTECARD) NI ISRAEL INNOVATION SO kwa wiki wanapata pesa kiasi Gani! Pole and takbiriii
Sasa kama wana Mahela hivi kwanini wa naomba misaada
 
Muda mfupi uliopita wanamgambo wa Hamas wamesema wamefanikiwa kuvirudisha nyuma vikosi vya jeshi la Israel vilivyojaribu kuingia kwenye ngome zao.
Wanamgambo hao wamesema waliwarejesha nyuma askari hao wenye mafunzo na vifaa imara pale walipoingia kuanza kuziba uzio waliouvunja wiki iliyopita na kubaki wazi muda wote wa karibu wiki mbili.Shambulio hilo la IDF kwa mujibu wa Hamas lilifanyika kwenye eneo la Khani Yunus.
Kwa mujibu wa wasemaji wa IDF huo ulikuwa ni mtego uliotegwa kwao na walifanikiwa kurudi nyuma haraka.

Israel-Hamas war: Air strikes pound Gaza, Hamas says repelled ground attack

kuziba uzio ndo kuingia Gaza ? hv waislam mbona km hamna akili , mnachoambiwa mnakosa akili ya kuhoji
 
Hapo zijaelewa , uzio wanaziba wakiwa ndani ya Gaza au wakiwa ndani ya Israel? Sawa kama waliokwenda kuziba wakashambuliwa lazima warudi nyuma wajiandae kupigana na adui alieonekana
waislam akili ndogo sn , eti kuziba uzio ndo kuvamia Gaza , yaan hii dini inawafanya waumin wake mazombi
 
Huu ndo ubaya wa vita ya ardhini unaweza kuwa na silaha bora lakini uwekewa timeng nzuri ukapigwa pigo baya sana.
isome hiyo hbr , kuziba uzio ulioharibiwa na hamas kuna uhusiano gana na kuvamia gaza kwa mguu , kwamba walitaka usizibwe?
 
Back
Top Bottom