Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Kwani lazima watutangazie wanaJF[emoji1787]Israel imeanza lini ground offensive?! Hatujasikia kauli yoyote ya waziri wa ulinzi au PM Netanyahu akiafiki kuanza uvamizi wa ardhini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani lazima watutangazie wanaJF[emoji1787]Israel imeanza lini ground offensive?! Hatujasikia kauli yoyote ya waziri wa ulinzi au PM Netanyahu akiafiki kuanza uvamizi wa ardhini.
Wana tamani na ufundi wao wote! Wanajifunza wanaingia tena upya😃Wala Wapelestina wasijali-Muda mfupi uliopita wanamgambo wa Hamas wamesema wamefanikiwa kuvirudisha nyuma vikosi vya jeshi la Israel vilivyojaribu kuingia kwenye ngome zao.
Wanamgambo hao wamesema waliwarejesha nyuma askari hao wenye mafunzo na vifaa imara pale walipoingia kuanza kuziba uzio waliouvunja wiki iliyopita na kubaki wazi muda wote wa karibu wiki mbili.Shambulio hilo la IDF kwa mujibu wa Hamas lilifanyika kwenye eneo la Khani Yunus.
Kwa mujibu wa wasemaji wa IDF huo ulikuwa ni mtego uliotegwa kwao na walifanikiwa kurudi nyuma haraka.
Israel-Hamas war: Air strikes pound Gaza, Hamas says repelled ground attack
Ila sio kwa IDF!! Watawamaliza tu! Na kuwafuta Hamasni kweli, ilikuwa leo jumapili, na askari mmoja wa israel amekufa. nadhani walikuwa wanafanay majaribio waone wanaingiaje na hamas wamekaa mlangoni mwa mahandaki wanawasubiri. israel wenyewe wamekiri hilo na hamas wamesema hivyo, naangalia hapa al jazeera. kuwafuata hamas kule ni nguvu na watakufa wengi sana, ila cha muhimu ni kwamba hata kama mwaka utaisha, wataingia tu. silaha ya kwanza wamewanyima msosi, maji na umeme, tuone kama wataishi hivyo miaka yote kwenye mashimo. sema magaidi hawanaga dogo, si ukute wameanza kuwalala wanawake wa kiisrael mateka, unakumbuka boko haram walizalisha vitoto kibao kwa mateka na wanawake wakawa wanapenda warudi kulekule wakawe boko haram milele.
ile GAZA yote unaambiwa kuna kilomita rundo za mahandaki kule chini, kuna vitanda, magala ya silaha, magala ya maji, vyakula kila kitu. wamejiandaa kwa miaka mingi. sema israel anachofanya hana haraka, watamaliza vyote afu watakamatwa kama kuku over time.Ila sio kwa IDF!! Watawamaliza tu! Na kuwafuta Hamas
Kwenye Military Sciences - inatakiwa Uwe na Oxygen 24/7 yaani unaivuta Ina kuwepo😁! Maandaki Yao yana ventilators jangwani au kwenye misitu! Watawamaliza tu! Hamasi wanategemea huruma na misaada! Israel GOOGLE,IPHONE NA ATA MOBILE MONEY (MPESA.TIGOPESA.VISA)MASTECARD) NI ISRAEL INNOVATION SO kwa wiki wanapata pesa kiasi Gani! Pole and takbiriiiile GAZA yote unaambiwa kuna kilomita rundo za mahandaki kule chini, kuna vitanda, magala ya silaha, magala ya maji, vyakula kila kitu. wamejiandaa kwa miaka mingi. sema israel anachofanya hana haraka, watamaliza vyote afu watakamatwa kama kuku over time.
Israel wanadai askari wao mmoja kauawa na watatu kujeruhiwaSawa sawa kwa hio wamekamata mateka waisrael wangapi?
Wakutaarifu weed nani!?Israel imeanza lini ground offensive?! Hatujasikia kauli yoyote ya waziri wa ulinzi au PM Netanyahu akiafiki kuanza uvamizi wa ardhini.
Mbona IDF yenyewe imekili juu na hiyo ambush?Israel imeanza lini ground offensive?! Hatujasikia kauli yoyote ya waziri wa ulinzi au PM Netanyahu akiafiki kuanza uvamizi wa ardhini.
Kwa hio wanaenda kuua wapalestina 20 na kujeruhi wengine 600Israel wanadai askari wao mmoja kauawa na watatu kujeruhiwa
Iphone no steve jobs,mwarabu wa syria,m pesa no muingereza...juzi tu netanyahu kaomba msaada wa dola bilioni 10,so acha kuandika mambo ya vijiwwni humuKwenye Military Sciences - inatakiwa Uwe na Oxygen 24/7 yaani unaivuta Ina kuwepo😁! Maandaki Yao yana ventilators jangwani au kwenye misitu! Watawamaliza tu! Hamasi wanategemea huruma na misaada! Israel GOOGLE,IPHONE NA ATA MOBILE MONEY (MPESA.TIGOPESA.VISA)MASTECARD) NI ISRAEL INNOVATION SO kwa wiki wanapata pesa kiasi Gani! Pole and takbiriii
Hiyo juu yaoKwa hio wanaenda kuua wapalestina 20 na kujeruhi wengine 600
All branches of Israel's Special Forces have suffered 20% casualties — Former United States Marine Corps intelligence officer, Scott RitterMbona IDF yenyewe imekili juu na hiyo ambush?
kwenye ambush hiyo tank 2 zimeharibiwa na mwanajeshi 1 amekufa na baadhi ya wengine wamejeruhiwa, sema kwa mujibu wa IDF ni kuwa walifanikiwa kuugundua mtego wa hiyo ambush mapema hivyo walifanikiwa kurudi nyuma kwa haraka tofauti na hapo wange pigwa ambush moja baya sana.
Sasa kama wana Mahela hivi kwanini wa naomba misaadaKwenye Military Sciences - inatakiwa Uwe na Oxygen 24/7 yaani unaivuta Ina kuwepo😁! Maandaki Yao yana ventilators jangwani au kwenye misitu! Watawamaliza tu! Hamasi wanategemea huruma na misaada! Israel GOOGLE,IPHONE NA ATA MOBILE MONEY (MPESA.TIGOPESA.VISA)MASTECARD) NI ISRAEL INNOVATION SO kwa wiki wanapata pesa kiasi Gani! Pole and takbiriii
kuziba uzio ndo kuingia Gaza ? hv waislam mbona km hamna akili , mnachoambiwa mnakosa akili ya kuhojiMuda mfupi uliopita wanamgambo wa Hamas wamesema wamefanikiwa kuvirudisha nyuma vikosi vya jeshi la Israel vilivyojaribu kuingia kwenye ngome zao.
Wanamgambo hao wamesema waliwarejesha nyuma askari hao wenye mafunzo na vifaa imara pale walipoingia kuanza kuziba uzio waliouvunja wiki iliyopita na kubaki wazi muda wote wa karibu wiki mbili.Shambulio hilo la IDF kwa mujibu wa Hamas lilifanyika kwenye eneo la Khani Yunus.
Kwa mujibu wa wasemaji wa IDF huo ulikuwa ni mtego uliotegwa kwao na walifanikiwa kurudi nyuma haraka.
Israel-Hamas war: Air strikes pound Gaza, Hamas says repelled ground attack
waislam akili ndogo sn , eti kuziba uzio ndo kuvamia Gaza , yaan hii dini inawafanya waumin wake mazombiHapo zijaelewa , uzio wanaziba wakiwa ndani ya Gaza au wakiwa ndani ya Israel? Sawa kama waliokwenda kuziba wakashambuliwa lazima warudi nyuma wajiandae kupigana na adui alieonekana
isome hiyo hbr , kuziba uzio ulioharibiwa na hamas kuna uhusiano gana na kuvamia gaza kwa mguu , kwamba walitaka usizibwe?Huu ndo ubaya wa vita ya ardhini unaweza kuwa na silaha bora lakini uwekewa timeng nzuri ukapigwa pigo baya sana.
unashambulia mafundo wajenga uzio unasema nlishambulia idf wakiwa wanajaribu kuingia Gaza , hbr yenyewe inajielezaHamas sio wanyonge,ni vile media za westerns aziwapi cavarage kwenye media lakini wapo.
View attachment 2789669