4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
umehishiwa hoja [emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umehishiwa hoja [emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana
Hyo ishakuwa vita mzee huwezi kusema sababu nnaziba ukuta usinishambulie yaani hamas wanataka huo ukuta ukae wazi hvyo hvyo hili mkiingia wa miguu vyuma na kwenu vipenye mnaziba ukuta wa nn?isome hiyo hbr , kuziba uzio ulioharibiwa na hamas kuna uhusiano gana na kuvamia gaza kwa mguu , kwamba walitaka usizibwe?
Mapenzi ya Kikristo yanamsumbua Taifa Teule Israeli ,aliyeleta hizi Imani ,mwache tu apumzike mkuu,ushabiki maandazi unasmsumbua.Iphone no steve jobs,mwarabu wa syria,m pesa no muingereza...juzi tu netanyahu kaomba msaada wa dola bilioni 10,so acha kuandika mambo ya vijiwwni humu
Amka toka Usingizini wenzako Jana wamechezea kif......ro hawatakaa wasahauIsrael imeanza lini ground offensive?! Hatujasikia kauli yoyote ya waziri wa ulinzi au PM Netanyahu akiafiki kuanza uvamizi wa ardhini.
Wanamgambo wa IsraelJeshi la Israel