Hamas warudisha nyuma jaribio la mwanzo la jeshi la Israel kuingia Gaza kwa miguu

Hamas warudisha nyuma jaribio la mwanzo la jeshi la Israel kuingia Gaza kwa miguu

isome hiyo hbr , kuziba uzio ulioharibiwa na hamas kuna uhusiano gana na kuvamia gaza kwa mguu , kwamba walitaka usizibwe?
Hyo ishakuwa vita mzee huwezi kusema sababu nnaziba ukuta usinishambulie yaani hamas wanataka huo ukuta ukae wazi hvyo hvyo hili mkiingia wa miguu vyuma na kwenu vipenye mnaziba ukuta wa nn?
 
Iphone no steve jobs,mwarabu wa syria,m pesa no muingereza...juzi tu netanyahu kaomba msaada wa dola bilioni 10,so acha kuandika mambo ya vijiwwni humu
Mapenzi ya Kikristo yanamsumbua Taifa Teule Israeli ,aliyeleta hizi Imani ,mwache tu apumzike mkuu,ushabiki maandazi unasmsumbua.
 
A quick analysis of tonight's events in Gaza:
Israeli army tanks attempted to penetrate the Gaza border but failed and suffered heavy losses, according to several Hebrew sources.

Also, some Israeli tanks entered the border, but were ambushed, forcing the occupation forces to retreat. Until this moment, Israel has lost more than 20 tanks in Gaza
IMG_20231028_164910.jpg
 
Nasema tena Waarabu wasiopenda kero za Western allies watumie chance hii kuwafyeka Wayahudi wapotee kabisa hapo middle East na kama wakifeli hii round Palestina itafutika sio muda mrefu.
 
Tatizo haya maviongozi wa kiarabu siyanalindwa na America haya ndio yanafanya Israel aonekane super power, kuna mengine yanamsaidia Israel afu yanajidai kupeleka eti msada Gaza 😄

Miarabu na Miafrica mingi yao haina akili haswa ilio kuwa nje ya sheria ya Kislam.

Hao viongozi wao muhimu kiti tu aspoteze, wananchi wanataka hivi yenyewe yanataka anacho taka America.

Wakipatikana viongozi wanao fikiria kuna hesabu kwa Mungu hata ukae kwenye kiti miaka yasinge mfata America anacho taka, lakini haina dini kama vile mikristo, na mahindusu, bhudast kuna wanao amini binadamu, wengine wanabudu ngombe wengine wanamini masanamu wamesahau Mungu ni mmoja tu, hazai,hazaliwi,hafananishwi na kiumbe chochote kile wala shape ya kitu chochote kile yuko kipekee tu mwenye uwezo wakufanya kila kitu anachokitaka.

Akili Mali sana Allah Akbar waislamu mbarikiwe sana sio wislam majina hao hawako tofouti na wakristo.
 
Back
Top Bottom