Hamas warusha makombora Tel Aviv, Israel wapagawa

Kwani makombora yaliyorushwa TelAviv ya macho ya kuchagua wanaume tu na kuacha watoto na wanawake?
 
Acha kujificha kwenye kivuli Cha mashoga hao na makka na Madina wapo kwani Hamas wakirusha makombora Israel yanachagua wanajeshi tu?
Mleta uzi alifurahi sana Hamas kurusha maroketi manane Tel Aviv akasema:
Nentanyahu na wenzake wanasema wananenda Rafah kumaliza vita, Hamas hawapo huko wapo maeneo mengine na leo wamerusha makombora yametua Tel Aviv.

Sasa IDF wamejibu mashambulizi hayo ya maroketi ya hamas ambapo maafisa wawili waandamizi wa migaidi ya hamas wameuwawa vipyedo pusha vinalialia kwa kwikwi humu.

Kwa hiyo kumbe rafah migaidi ya hamas ipo maana migaidi miwili imenga'tishwa shuka na IDF hapohapo rafah.

Baada ya kipondo hicho nchi kadhaa zimepiga kelele wakiwemo na wale wafiwa iran 😀 😛 na umoja usiojitambua AU eti zinasema Israel inadharau amri halali ya mahakama yaan ICJ ruling lakini migaidi iliporusha maroketi kutokea rafah nchi hizi hizi zilikuwa kimya usingizi wa pono hazikulaani chochote.
 
Sawa kuna msemo unasema kila ufanyalo baya litakurudia tu.
Katika ulimwengu wa sayansi, misemo ya kiswahili haina nafasi. Kama kuna baya limemkuta mtu, si lazima ni kwa kuwa alifanya baya, wengine wengi tu hawajafanya lolote lakini wanafanyiwa, na kinyume chake
 
Katika ulimwengu wa sayansi, misemo ya kiswahili haina nafasi. Kama kuna baya limemkuta mtu, si lazima ni kwa kuwa alifanya baya, wengine wengi tu hawajafanya lolote lakini wanafanyiwa, na kinyume chake
Sawa Mungu ajalie uje mfano kwako ili upate akili ujuwe ubaya unalipwa kwa ubaya.
 
 

Attachments

  • 20240527_203654.jpg
    223 KB · Views: 3
wanachokitafuta watakipata tu soon
 
Mkuu huu ndio ushahidi wako!?
Sasa hivi si vikatuni tu vinaundwa!?
Umeishiwa hoja.
 
Hamas raia wa wapi?. Toa upuuzi
Ona huyu matako na yeye.
Umelielewa swali!?
Kwani IDF imeenda Gaza kupigana na raia wa KiPalestina wasio na silaha au imeenda kupigana na HAMAS washika silaha wa KiPalestina!?
Tanzania wanaopigania nchi JWTZ au raia wa Tanzania!?
FALA KELBU MMOJA.
 
Lini IDF alizuiwa na kibali chochote kufanya mashambulizi huko palestina? Hao hamna haja ya kuhangaika nao hao hamas wanawatosha watawatoa kamasi mpaka wakubali kusitisha vita.
Ardhi inaondoka taratibu. Hamas ni kundi linalowapa Israel ardhi taratibu
 
Wewe mbona haujaja na ushahidi wa Lebanon
Bishana na Amnesty international.
Tena HIZBOLLAH wana KAMBI YA JESHI KUSINI MWA LEBANON INAFAHAMIKA NA KUONEKANA.
Kwanini IDF wakarusha white phosphorus kwa raia!??
Je nao Hizbollah wanajificha nyuma ya raia!?
 
Kwamba wajidhalilishe mifumo yao haina uwezo wa kuzuia makombora?

Hakuna nchi ya kijinga kama hii kama watakuwa na mipango ya kipuuzi kama unachosema.
Haya ni mawazo binafsi tu mkuu! sio hitimisho. Ila jaribu kuangalia kutoka pande zote.
 
Israel afanye Mrusi alichofanya Chechnya piga yeyote aliye mbele yake, huwezi kuwashinda magaidi wanaotumia raia kama ngao kwa kufuata sheria za kistaarabu, wahuni wapigwe kihuni mwenzako ana mawe visu wewe unavaa gloves. Huwezi kupatana na watu waliofundishwa ktk dini yao myahudi hapaswi kuishi duniani wala taifa la Israel halipaswi kuwepo ktk ramani ya dunia.
 
Wewe mbona haujaja na ushahidi wa Lebanon
Hapa gari la waandishi wa habari likiwa PEKE YAKE kama unavyoliona katika picha,na waandishi wa habari walivaa bullet proof vest zimeandikwa PRESS na walikua nje ya maeneo ya mapigano,ila IDF wakawalipua kwa makusudi.
Je hapo Hizbollah wamejificha nyuma ya journalists!?
Na ilhali teknolojia ya siku hizi unaweza ukatumia UAV na ukang'amua nafasi ya adui uka lock target na kumlipua.


Picha ya chini mashamba hayo hapo ya raia na nyumba,hapo ni kilomita zaidi ya 30 na maeneo HIZBOLLAH wanaporushia makombora na walipoweka kambi,badala ya IDF kulipua walipoweka kambi HIZBOLLAH wao wanaunguza mashamba ya raia wa Lebanon.

Aya TETEENI NA LEBANON.

Na nakuletea ushahidi zaidi kaa kwa kutulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…