white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Kama ya NETANYAU!! aliwaambia zamu hii atapiga hadi hamas aliyoko tumboni aiogope ISRAEL!!! Ila wakati mwingine nacheka hadi naogopaaa.... Sio kwa kipondo hichoUna huo uthibitisho!?
Mtoto wa miaka 10 aweza kushika AK-47?
Una matatizo ya akili.
Mkuu unaonekana hujui lolote kuhusu huu mzozo.Na wewe unaanzia juu juu tu kama hao; ugonvi huu haukuanza juzi bali ulianza mwaka jana October 7th. kosa ni kule kujishahaulisha jinsi ugonvi ulivyoanza na kuanza kulaumu yatokanayo na ugomvi wenyewe.
Waarabu huwezi kuwaogopesha.Kama ya NETANYAU!! aliwaambia zamu hii atapiga hadi hamas aliyoko tumboni aiogope ISRAEL!!! Ila wakati mwingine nacheka hadi naogopaaa.... Sio kwa kipondo hicho
Hakujawahi kuwapo kitu kinaitwa Taifa la Palestina, na wala Israeli haikuingia pale na kuwatoa wapalestina kwa nguvu. Ardhi ile ilikuwa inatawaliwa na waingereza ikijulikana kama British Palestine chini ya Umoja wa Mataifa. Umoja wa Mataifa ndio ulioigawanya kuwapo kwa Palestine na Israel. Israel chini ya uongozi wa Ben Gurion wakaanza kujenga nchi yao waliyogawiwa, lakini wapelestina wao wakaanza vita dhidi ya waisrael. Katika mgawanyo ule, Israle ilikuwa imepewa sehemu ya jangwa zaidi wakati ardhi nzuri ikiwa kwa wapelistina, na hadi leo West Bank ndiko kuna ardhi nzuri kulinganisha na sehemu nyingine za isale ingawa sasa ni vigumu kutambua tofaoti kwa vile Israle ilibadilisha jangwa kuwa ardhi nzuriIsrael ametangaza kutotambua kabisa taifa la palestina. Imagine mtu akukute kwako akutowe kwanguvu kwasababu anasema babu zake walikuwepo hapo miaka 3000 iliyopita.
Ukishakimbilia kuhukumu kuwa wenzio hawajui basi tambua kuwa wewe ndiwe hujui.Mkuu unaonekana hujui lolote kuhusu huu mzozo.
Mzozo ulianza AUGUST IDF wakishirikiana na Israel settlers walikua wakichoma mashamba Westbank na kuvunja nyumba za bedui ili waongeze maeneo ya kupanua makazi ya walowezi wa kiyahudi/kizayuni.
Hili ndilo lililoamsha hisia na hasira kuanzisha vita Oktoba 7.
HUNA UNALOLIJUA HATA KIDOGO.
Ndio maana Guterres alisema ugomvi haukuanzia Oktoba 7 msijisahaulishe.
Au haukusoma aliyoyaeleza GS wa UN!?
Mbona mpaka ushahidi ulitolewa UN security council na wazayuni waliobainika wakala vikwazo?
Japo haijulikani kama ni vikwazo serious au laah.
Hayo maneno hata kwa khanga yapo.Ukishakimbilia kuhukumu kuwa wenzio hawajui basi tambua kuwa wewe ndiwe hujui.
Hamasi wamesema wemejiandaa kwa vita ya mda mrefu.Ila HAMAS ni wabishi kwelikweli jamaa kumbe bado wapo tu
Kwani lini Israel iliwacha kuwashughurikia Hamashao hamas wakishughulikiwa msije tena hapa kulialia
π€£π€£ Sasa mbaya zaidi vita vinamuendea vibaya kila kukichaNetanyau ana akili sana... Anajua mwisho wa vita ya Gaza ndio mwisho wa uwaziri wake pia. Kuendelea Kwa vita Gaza ndio ponapona yake.
Hayo maneno hata kwa khanga yapo.
Unapewa facts unabisha mkuu!?
Pinga kama na wewe una facts.
Aya amini nadharia zako.
Sio ICJ wewe kilaza. Waliotaka Israel wathibitishe madai yao kwa kuishutumu UNRWA na Israel kushindwa ni UNSCULETE HUO USHAHIDI HAPA.
ICJ iliwataka IDF wakapeleke ushahidi mahakamani wakaukosa.
Walipeleke staged video zinazoonesha kuna handaki linaelekea Alshifaa hospital,zikakaguliwa na kugundulika ni staged videos/video za kuhaririwa.
Au unachukulia sisi hatufuatilii mzeee!?
Unafikiri nchi za kiarabu zinaogopa nini kupeleka jeshi?Hizo porojo zimeipitwa na wakati Hamas wapo peke yao unaenda mwezi wa 9 wameshindwa kuokoa mateka wao Gaza yenyewe Kigamboni kubwa, jana kwenye mapigano Jabaila hao wanajeshi unawasifiwa wamepgwa kisha wametekwa Israel wanaona aibu kusema Hamas wametanganza leo.
Na wewe unaanzia juu juu tu kama hao; ugonvi huu haukuanza juzi bali ulianza mwaka jana October 7th. kosa ni kule kujishahaulisha jinsi ugonvi ulivyoanza na kuanza kulaumu yatokanayo na ugomvi wenyewe.
Pole namsiba shekhe,Wanaukumbi.
Wiki hii nzima Israeli imeteseka L baada ya L; kidiplomasia, kisiasa na kisheria - na sasa: jana askari wao walitekwa kama POWs, na leo Hamas inaonyesha uwezo wao wa kijeshi haujashushwa, kiasi kwamba wameweza kufyatua risasi huko Tel Aviv.
Nentanyahu na wenzake wanasema wananenda Rafah kumaliza vita, Hamas hawapo huko wapo maeneo mengine na leo wamerusha makombora yametua Tel Aviv
====
Al-Qassam launched about 10-12 long-range rockets, from Rafah, travelling 100-110km to hit Tel Aviv, after a hiatus of 4 months. The Iron dome failed to intercept the rockets, more than 8 direct impacts were made, causing material damage and the ignition of fire. 2 settlers were also injured.
Nilikua najua una akili kumbe hamna kitu. Sasa British - Palestine inatofauti gani na British - Tanganyika? Kama kulikua na British Tanganyika tukapewa uhuru wetu leo tuna taifa kulikua na sintofahamu gani ya kupewa uhuru wao British- Palestine wakawa na taifa huru kutoka kwa mkoloni mwingereza?Hakujawahi kuwapo kitu kinaitwa Taifa la Palestina, na wala Israeli haikuingia pale na kuwatoa wapalestina kwa nguvu. Ardhi ile ilikuwa inatawaliwa na waingereza ikijulikana kama British Palestine chini ya Umoja wa Mataifa. Umoja wa Mataifa ndio ulioigawanya kuwapo kwa Palestine na Israel. Israel chini ya uongozi wa Ben Gurion wakaanza kujenga nchi yao waliyogawiwa, lakini wapelestina wao wakaanza vita dhidi ya waisrael. Katika mgawanyo ule, Israle ilikuwa imepewa sehemu ya jangwa zaidi wakati ardhi nzuri ikiwa kwa wapelistina, na hadi leo West Bank ndiko kuna ardhi nzuri kulinganisha na sehemu nyingine za isale ingawa sasa ni vigumu kutambua tofaoti kwa vile Israle ilibadilisha jangwa kuwa ardhi nzuri
ππππ Wanaume wanajificha kwenye mashimo kama panyaMashoga ya kiisrael yanapuliziwa moto sio kitoto na wanaume wa hamas. Mungu kamwe hawezi kuwa pamoja na mashoga
Iran kuwasaidia Palestine ni sera ya mambo ya nje ya Iran sio mapenzi ya rais anaekuwa madarakani kwa wakati husika.Rais wa Iran kafa aliyewapa mbeleko, hata hawasubiri wale timing wao wanatafutiwa unafuu wanaharibu