Hamas wasalimu amri kuhusu kusitisha mkataba wa kubadirishana wafungwa

Dada usipoteze muda wako....unabishana na mtoto wa form 4....sikuhzi wakifika form 1 wanapewa simu wanaanza kusumbua mtaani....
 
Kinachofanya israel washindwe kuwakomboa mateka wao ni nini haswa? Wana jeshi imara,mbinu na silaha nzito za kutosha why?

Hamas waliwezaje kuingia israel wakawachukua mateka na kuondoka nao?
Kwakuwa hamas ni wanaume sio hao mademu israel
 
Aljezeera:
Hamas hawana ujanja. Wamesalimu amri:

Hamas says the group will continue β€œto implement the [Gaza ceasefire] agreement in accordance with what was signed, including the exchange of prisoners according to the specified timetable”.
  • Earlier, Israeli Defence Minister Israel Katz again threatened to resume the war on Gaza, jeopardising the release of three Israeli captives scheduled for Saturday.
  • Hamas officials have held talks in the Egyptian capital, Cairo, with mediators Egypt and Qatar to address obstacles including an Israeli ban on entry of heavy machinery and mobile homes in Gaza
 
Unaelewa ulichoandika au lugha tatizo?🀣🀣
 
Hamna unachojua maana unafuata watu wa upande wako ,kiufupi haujui chochote cha kutueleza🀣🀣
Unateseka sana kutokea wapi? Mliozoea Matango pori safari hii mtakoma!!
 
Misafara hiyo ipo toka mkataba huo ufikiwe Hamas tu walitaka ku- Test mitambo lakini baada ya kuambiwa gate la kuzimu litafunguliwa wa kaamua kuufyata mkia haya mengine mnataka tu kujifariji tu kwa uongo maana uongo ndiyo silaha yenu. Pamoja na hayo siku inakuja nayo yaja Magaidi mnaowashabikia watapigwa mpaka wachakae!!
 
Ondoa dini weka maslahi
 
Wa kwaΓ±za ni wewe kuusoma

Kwa hiyo wewe tukuite nani boss!

Ni mwehuu.. au chizi?
 
Unateseka sana kutokea wapi? Mliozoea Matango pori safari hii mtakoma!!
Nan anateseka wakati taifa lako halina nguvu mpaka USA. Hao Hamas hawamuogopi huyo USA maana ndio mtetezi wenu.
 
Sasa kwani wakifanya yote hayo ndio tuwachukie mkuu
 
Nan anateseka wakati taifa lako halina nguvu mpaka USA. Hao Hamas hawamuogopi huyo USA maana ndio mtetezi wenu.
Wewe endelea kuteseka maana US ndiyo Mungu wenu na kila waarabu wakipigwa hawakosi sababu na sababu ni US nanyi Waarabu-koko wa Buza mm efa ta mtindo huohuo wa kujitoa ufahamu.
 
Wewe endelea kuteseka maana US ndiyo Mungu wenu na kila waarabu wakipigwa hawakosi sababu na sababu ni US nanyi Waarabu-koko wa Buza mm efa ta mtindo huohuo wa kujitoa ufahamu.
Unalazimisha ? πŸ˜€ πŸ˜€ Hamas hawawezi kutishiwa nyau , taifa la Mungu limeshindwa mpaka wameenda kuhstaki kwa USA.
 
Unalazimisha ? πŸ˜€ πŸ˜€ Hamas hawawezi kutishiwa nyau , taifa la Mungu limeshindwa mpaka wameenda kuhstaki kwa USA.
Tumia akili yako uliyopewa na mungu vizuri!!
 
Unalazimisha ?Ngoja uone jumamosi hapo.
Hata Mimi nilikuwa nawaomba sana Hamas waendelee na msimamo wao wa kukataa kuwaachia wafungwa ili Jumamosi tuone nani mbabe maadamu kaufyata haina shida awaachie mateka warudi majumbani kwao maana walionewa tu na magaidi hao.
 
Magaida ni wale wanaou watoto , Gaidi wa dunia ni Israel na USA .
 
Magaida ni wale wanaou watoto , Gaidi wa dunia ni Israel na USA .
Umemezeshwa uongo hoja wani kujiuliza kwa nini wanauliwa watoto wazazi wao kwa nini hawafi au risasi hizo zinawakwepa wazazi na kuwafuata watoto tu? Tumia vizuri akili ulizopewa na Mungu. Magaidi wa Hamas wanaeneza hivyo wanatafuta Huruma kutoka Jumuia za ki Mataifa na inawatumia watoto kama kinga( Human-Shield ) ili kujikinga na mashambulizi ya wanajeshi wa Israel. Mmatumbi mwenzangu wewe unasema tu bila kujua chochote jinga kabisa!!
 
Uliwaona Hamas wakipigana vita huko Europe au America?

Vita kila nchi wanahusika hao jamaa zako (USA& ISRAEL...hakuna kitu utanidanganya hata mtoto mdogo anajua hai ni magaidi
 
Yemen aliwaambia mapema wakileta moto wataletewa majivu. Ndio maana unaona wamekubali yaishe zayuni anajua Houth ni wehu zaidi yake. Saivi meli zinamfikia akikumbuka uchungu aliopitia anakua mpole.
 
Trump alisema waaachie mateka wote wakamjibu wao wanafuata makubaliano Kwenye makaratasi Israel atimize upande wake na wao watimize Yao Hata achiwa Hata mmoja bila gharama zilizoandikwa Kwenye makaratasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…