Hamas wasalimu amri kuhusu kusitisha mkataba wa kubadirishana wafungwa

Hayanaga akili hayo matahira ya shetan allah hapo linajidai waislam wanawapenda wakristo kuliko wayahudi ktu ambacho si kwelii
 
Nimerudia kusoma uzi ili walau nijiridhishe kwamba kuna sehemu katajwa Yesu au Wayahudi kumwamini Yesu in relation na uzi, bado sijapaona. Nauliza tu, sio kwa ubaya; tunachangia uzi mmoja au kuna mwingine?
 
Wakiristo wa buza wana itikadi ya kuwashabikia Mayahudi (Israel) kwa kuuliwa waislam Wapalestina wakidhani Mayahudi ni wakiristo wenzao, ndio maana tunafafanua dini za kiyahudi na kikiristo ili baadhi ya wakiristo humu wanaofuata mshindo wa beni wajue wanachounga mkono kina simama katika mazingira gani.
 
Endel

Haya Mkuu wa Jerusalem mjua vitu
Mtaita Majini yote lakini ukweli lazima muambiwe tu!!
 
Kama nakusoma vizuri, wewe na "Wakristo wa Buza" wote mtazamo wenu ni mmoja; hata wewe unadhani Wapalestina wote ni Waislamu; hilo sio kweli, wapo Wapalestina Wakristo tena wa madhehebu tofauti tofauti, mfano ni aliyekua mke wa Yasra Arafat the former president of PLO, yule mama was and she is still a Christian to-date so wewe na hao unao watuhumu, badirini mtazamo, ongezeni maarifa
 
Mudi ndie Allah , alikuwa anajisahau ku switch kutoka first person kwenda kwenye third person

Ayo makosa ni karibia koran nzima
Yani jamaa Mudi eti Allah alimpa bikira mariam mimba. Baada ya hapo Mariam anapanda kwea mtende nakumzaa Issa. Na Kobaaz wanadai hii saundi ni ya kweli ya akina mathayo na luka ni uwongo.
 
Mudi ndie Allah , alikuwa anajisahau ku switch kutoka first person kwenda kwenye third person

Ayo makosa ni karibia koran nzima
Yani jamaa Mudi eti Allah alimpa bikira mariam mimba. Baada ya hapo Mariam anapenda kwea mtende nakumzaa Issa. Na Kobaaz wanadai hii saundi ni ya kweli ya akina mathayo na luka ni uwongo.
 
Haijalishi iwe kuna badhi ya wapalestina ni wakiristo, nazungumzia ushetani wa mayahudi haufai kuungwa mkono na wakiristo wakidhani ni wakiristo wenzao watafute sababu nyengine.
 
Endel

Mtaita Majini yote lakini ukweli lazima muambiwe tu!!
Majini ndo nini? Unadhani kila mtu ni shabiki wa hizo dini zenu za kipumbavu za kiislamu na kikristo? Huwezi kuwa na akili timamu ukashabikia watu kuuwana utakuwa ni mpumbavu.
 
Endel

Mtaita Majini yote lakini ukweli lazima muambiwe tu!!
Ukweli upi? Na unataka uniambie mimi ili iweje? Vita ya israel na palestina inanihusu nini mimi? Nalipwa sh ngapi kuwashabikia hao wapalestina au waizraeli?
 
Endelea kuuanika ujinga wako hayo maroli 1,000 nani kakuambia? Au uko kwenye harakati za kuwasafisha magaidi wa Hamas?
Mwache tu huyo..maana mpaka mda huu buldoza unayosema yapo mpaka wa rafah
 
Majini ndo nini? Unadhani kila mtu ni shabiki wa hizo dini zenu za kipumbavu za kiislamu na kikristo? Huwezi kuwa na akili timamu ukashabikia watu kuuwana utakuwa ni mpumbavu.
Mjadala huu si saizi yako na haukuhusu kaa pembeni acha kimbelembele!!
Acha ujinga kasome tena uzi ujue unahusu nini ndiyo hapa na hoja za msingi!!
 
Mjadala huu si saizi yako na haukuhusu kaa pembeni acha kimbelembele!!

Acha ujinga kasome tena uzi ujue unahusu nini ndiyo hapa na hoja za msingi!!
Wewe jitu jeusi vita ya israel na palestina inakuhusu nini? Ukishabikia vita hii inakusaidia vipi kupunguza umasikini wako wa kuvaa nguo zilizochanika matakoni?
 
Wewe jitu jeusi vita ya israel na palestina inakuhusu nini? Ukishabikia vita hii inakusaidia vipi kupunguza umasikini wako wa kuvaa nguo zilizochanika matakoni?
Acha ujinga kama wewe unaumizwa na Umaskini ni wewe na familia yako si wote. Sawa mimi ni mweusi kwa hiyo Usinipangie nini cha kushabikia hunijui sikujui,hunilishi sikulishi. Heshimu mawazo ya wengine,na kama mada hii haikuhusu Just Shut-Up!!
 
Mjadala huu si saizi yako na haukuhusu kaa pembeni acha kimbelembele!!

Acha ujinga kasome tena uzi ujue unahusu nini ndiyo hapa na hoja za msingi!!
Aliyeandika uzi hana akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…