Hamas watakuwa Wapumbavu kama watakubali mpango wa Donald Trump kumaliza mgogoro wa Israel na Palestina

Sir John Deere

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
14,246
Reaction score
27,509
Nimesoma huo mpango wa point 21 wa kuleta amani Palestina naona ni kama mtego kuwaachia mateka na kujisalimisha rasmi katika utawala wa kimabavu wa Israel.
Eti Baraza la amani la mpito la Palestina litaongozwa na Trump na Tony Blair.
Wapiganaji wa Hamas waweke silaha chini na kuwaachia mateka wote mara Moja na waondoke Gaza
Majeshi ya Israel yataendelea kulinda eneo la Gaza na West Bank na yataondoka taratibu.
Kwa ufupi point hizo chache hapo juu nimeziona kama ni kiini macho tu na Leo la marekani na Israel ni kuachiliwa mateka tu na baada ya hapo wataendelea na vita. Mimi ningekua mmoja wa viongozi wa Hamas ningeupuuzilia mbali mpango huo wa kumpelekea kwenye ukoloni Karne ya 21.
Wapalestina kwa sasa hawana cha kumpoteza kama kufa wameshakufa sana wamalizie tu ngwe iliyobaki kama ni kufa wote wafe waishe ijulikane ( jambo ambalo haliwezekani)

Hivi sasa Israel ana presha kubwa ndani na nje juu ya kutambuliwa kwa taifa la Palestine, hali ya mateka wa Israel huko Gaza, isolation kutoka kwa nchi za ulaya na makundi ya misaada ya kibinadamu hasa kutoka ulaya. Huu mpango wa trump ni kutaka kuzuia hii presha Hamas msikubali.
 
Wewe unazungumza hapo kwa sababu hayakuhusu, na huna uvhungu wowote na uhai wala mateso ya wapalestina.

Wewe na mimi ambao tupo huku, unaamini una ufahamu wa kuzidi mataifa yote ya huko Uarabuni yaliyoridhia mpango huo?

Kwanza ni uwongo kuwa Gaza itaongozwa na Trump na Blair. Gaza itaongozwa na wapalestina na jumuia ya kimataifa, Blair akiwemo kwa sababu yeye ndiye aliandaa proposal ya awali.

Hamas, kama yalivyo makunfi mengine ya kigaidi, serikali za Mashariki ya kati, zinataka yote yanyang'abywe silaha kwani ni tishio la Serikali zote za mataifa ya kiarabu.

Kasome vizuri kilichoandikwa, hujaelewa ndiyo maana umeyoka na tafsiri potofu.

Uongozi wa mpito, jukumu lake kubwa itakuwa kuhakikisha Gaza inajengwa upya, polisi wa usalama wanakuwepo Gaza, Makundi ya kigaidi yananyang'anywa silaha, kuweka ulinzi mara baada ya majeshi ya Israel kuondoka ili kuhakikisha hakuna makundi ya kigaidi. Wakimaliza hayo, utawala wote wa eneo la wapalestina, Westbank na Gaza, utakuwa chini ya utawala wa Wapalestina wenyewe.

Bila ya give and take, mgogoro hauwezi kwisha. Israel lazima ikubali kuondoka Gaza (takwa la Wapalestina), Hamas lazima wanyang'anywe silaha na wasitawale Gaza (takwa la Israel), kundi la kigaidi la Hamas lifutike (tajwa la nchi za kiarabu, hawataki makundi ya kigaidi), Serikali ya PLO lazima itawale eneo lote la waplestina (takwa la serikali ya Abbas)
 
M

Vipi kuhusu Suluhisho la Mataifa mawili au Proposal haijagusia
 
Mimi ningekua mmoja wa viongozi wa Hamas ningeupuuzilia mbali mpango huo wa kumpelekea kwenye ukoloni Karne ya 21
Bora hujawa kiongozi, pamoja na kwamba ni jambo lisilowezekana.

Maumivu, mateso, mauaji, njaa na dhuluma nyingine wanazokumbana nazo wapalestina wasiokuwa na hatia zifike ukomo sasa!!

Haijalishi ni ukoloni, utumwa au chochote kingine, hayo yatajadiliwa mbele ya safari.
Muhimu kwa sasa ...mateso kwa wapalestina yakomeshwe.
 
Wewe unazungumza hapo kwa sababu hayakuhusu, na huna uvhungu wowote na uhai wala mateso ya wapalestina.

Wewe na mimi ambao tupo huku, unaamini una ufahamu wa kuzidi mataifa yote ya huko Uarabuni yaliyoridhia mpango huo?

Kwanza ni uwongo kuwa Gaza itaongozwa na Trump na Blair. Gaza itaongozwa na wapalestina na jumuia ya kimataifa, Blair akiwemo kwa sababu yeye ndiye aliandaa proposal ya awali.

Hamas, kama yalivyo makunfi mengine ya kigaidi, serikali za Mashariki ya kati, zinataka yote yanyang'abywe silaha kwani ni tishio la Serikali zote za mataifa ya kiarabu.

Kasome vizuri kilichoandikwa, hujaelewa ndiyo maana umeyoka na tafsiri potofu.

Uongozi wa mpito, jukumu lake kubwa itakuwa kuhakikisha Gaza inajengwa upya, polisi wa usalama wanakuwepo Gaza, Makundi ya kigaidi yananyang'anywa silaha, kuweka ulinzi mara baada ya majeshi ya Israel kuondoka ili kuhakikisha hakuna makundi ya kigaidi. Wakimaliza hayo, utawala wote wa eneo la wapalestina, Westbank na Gaza, utakuwa chini ya utawala wa Wapalestina wenyewe.

Bila ya give and take, mgogoro hauwezi kwisha. Israel lazima ikubali kuondoka Gaza (takwa la Wapalestina), Hamas lazima wanyang'anywe silaha na wasitawale Gaza (takwa la Israel), kundi la kigaidi la Hamas lifutike (tajwa la nchi za kiarabu, hawataki makundi ya kigaidi), Serikali ya PLO lazima itawale eneo lote la waplestina (takwa la serikali ya Abbas)
Kwenye kupigania Uhuru wa taifa lako ukianza kuangalia mambo ya uchungu tayari umekwisha. Chaguo ni mawili uendelee kupambana au ujisalimishee utawaliwe.na upoteze nchi Yako. Nchi zilizopigania Uhuru kwa kumwaga damu hawawezi kukuelewa kabisa.
 
Bora hujawa kiongozi, pamoja na kwamba ni jambo.lisilowezekana.

Maumivu, mateso, mauaji, njaa na dhuluma nyingine wanazokumbana nazo wapalestina wasiokuwa na hatia zifike ukomo sasa!!

Haijalishi ni ukoloni, utumwa au chochote kingine, hayo yatajadiliwa mbele ya safari.
Muhimu kwa sasa ...mateso kwa wapalestina yakomeshwe.
Watu kama nyie enzi za wapigania Uhuru ilikua mnakamatwa na kupigwa risasi hadharani.
 
Wewe unazungumza hapo kwa sababu hayakuhusu, na huna uvhungu wowote na uhai wala mateso ya wapalestina.

Wewe na mimi ambao tupo huku, unaamini una ufahamu wa kuzidi mataifa yote ya huko Uarabuni yaliyoridhia mpango huo?

Kwanza ni uwongo kuwa Gaza itaongozwa na Trump na Blair. Gaza itaongozwa na wapalestina na jumuia ya kimataifa, Blair akiwemo kwa sababu yeye ndiye aliandaa proposal ya awali.

Hamas, kama yalivyo makunfi mengine ya kigaidi, serikali za Mashariki ya kati, zinataka yote yanyang'abywe silaha kwani ni tishio la Serikali zote za mataifa ya kiarabu.

Kasome vizuri kilichoandikwa, hujaelewa ndiyo maana umeyoka na tafsiri potofu.

Uongozi wa mpito, jukumu lake kubwa itakuwa kuhakikisha Gaza inajengwa upya, polisi wa usalama wanakuwepo Gaza, Makundi ya kigaidi yananyang'anywa silaha, kuweka ulinzi mara baada ya majeshi ya Israel kuondoka ili kuhakikisha hakuna makundi ya kigaidi. Wakimaliza hayo, utawala wote wa eneo la wapalestina, Westbank na Gaza, utakuwa chini ya utawala wa Wapalestina wenyewe.

Bila ya give and take, mgogoro hauwezi kwisha. Israel lazima ikubali kuondoka Gaza (takwa la Wapalestina), Hamas lazima wanyang'anywe silaha na wasitawale Gaza (takwa la Israel), kundi la kigaidi la Hamas lifutike (tajwa la nchi za kiarabu, hawataki makundi ya kigaidi), Serikali ya PLO lazima itawale eneo lote la waplestina (takwa la serikali ya Abbas)
Daaah!!!! Aiseee umemaliza kilakitu , Mimi mwenyewe nimesoma hizo articles zote na kama viongozi wa Hamas watakataa nahisi hata nchi za kiarabu watajitenga na viongozi wa Hamas
 
Nimesoma huo mpango wa point 21 wa kuleta amani Palestina naona ni kama mtego kuwaachia mateka na kujisalimisha rasmi katika utawala wa kimabavu wa Israel.
Eti Baraza la amani la mpito la Palestina litaongozwa na Trump na Tony Blair.
Wapiganaji wa Hamas waweke silaha chini na kuwaachia mateka wote mara Moja na waondoke Gaza
Majeshi ya Israel yataendelea kulinda eneo la Gaza na West Bank na yataondoka taratibu.
Kwa ufupi point hizo chache hapo juu nimeziona kama ni kiini macho tu na Leo la marekani na Israel ni kuachiliwa mateka tu na baada ya hapo wataendelea na vita. Mimi ningekua mmoja wa viongozi wa Hamas ningeupuuzilia mbali mpango huo wa kumpelekea kwenye ukoloni Karne ya 21.
Wapalestina kwa sasa hawana cha kumpoteza kama kufa wameshakufa sana wamalizie tu ngwe iliyobaki kama ni kufa wote wafe waishe ijulikane ( jambo ambalo haliwezekani)

Hivi sasa Israel ana presha kubwa ndani na nje juu ya kutambuliwa kwa taifa la Palestine, hali ya mateka wa Israel huko Gaza, isolation kutoka kwa nchi za ulaya na makundi ya misaada ya kibinadamu hasa kutoka ulaya. Huu mpango wa trump ni kutaka kuzuia hii presha Hamas msikubali.
Wanaowaunga mkono
 
Attachments

  • Screenshot_20250930_105030_Chrome.jpg
    Screenshot_20250930_105030_Chrome.jpg
    55.2 KB · Views: 33
Huo mpango wa Trump na Netanyahu, Hamas hawataukubali kwani ni mtego kwao na hautekelezeki.
Netanyahu amewaambia raia wake baada tu ya hapo hawatajiondoa Gaza
Viongozi wa nchi za kiarabu wameonesha tena uoga wao
Kuacha mapambano ya silaha na kuwa na mamlaka ya Blair an Trump juu yao hawatalikubali na lengo la kutaka wafungwa wa kipalestina waachiwe hakijatekelezwa
Hayo si makubaliano, ni amri ya kusurrender, lilishashindikana tangu hapo mwanzo
 
Kwa maelezo ya hapo juu si ndio itakua hivyo.
Unajua kizingiti kikubwa si kilikua suala la mipaka itakuwaje hali ya kuwa Israel tayari alishavamia na kujenga makaazi huko East Jerusalem? Je kwenye hii proposal wamekubali kua watauachia mji wa Jerusalem mashariki ambao ni matarajio wapalestine uwe mji wao mkuu?
 
Huo mpango umepwangwa kwa kumfavour Israel, imagine mpango unawasilishwa na yeye yuko pembeni anatoa maoni.

Hamas/Palestina inaonekana wanapata uungwaji mkoni kwa kiasi kikubwa ila hawatoki nje kuongea wanachotaka zaidi ya mataifa kulalamika kwa niaba yao.

Ingekua vizuri kama wao wakaja na mapendekezo maana wao ndio jamii inaona wanaonewa.

Ila hii hao watesi wake kuja na maoni yao ilhali wao ndio wana nguvu dhidi yao naona haijakaa sawa.
 
Wewe unazungumza hapo kwa sababu hayakuhusu, na huna uvhungu wowote na uhai wala mateso ya wapalestina.

Wewe na mimi ambao tupo huku, unaamini una ufahamu wa kuzidi mataifa yote ya huko Uarabuni yaliyoridhia mpango huo?

Kwanza ni uwongo kuwa Gaza itaongozwa na Trump na Blair. Gaza itaongozwa na wapalestina na jumuia ya kimataifa, Blair akiwemo kwa sababu yeye ndiye aliandaa proposal ya awali.

Hamas, kama yalivyo makunfi mengine ya kigaidi, serikali za Mashariki ya kati, zinataka yote yanyang'abywe silaha kwani ni tishio la Serikali zote za mataifa ya kiarabu.

Kasome vizuri kilichoandikwa, hujaelewa ndiyo maana umeyoka na tafsiri potofu.

Uongozi wa mpito, jukumu lake kubwa itakuwa kuhakikisha Gaza inajengwa upya, polisi wa usalama wanakuwepo Gaza, Makundi ya kigaidi yananyang'anywa silaha, kuweka ulinzi mara baada ya majeshi ya Israel kuondoka ili kuhakikisha hakuna makundi ya kigaidi. Wakimaliza hayo, utawala wote wa eneo la wapalestina, Westbank na Gaza, utakuwa chini ya utawala wa Wapalestina wenyewe.

Bila ya give and take, mgogoro hauwezi kwisha. Israel lazima ikubali kuondoka Gaza (takwa la Wapalestina), Hamas lazima wanyang'anywe silaha na wasitawale Gaza (takwa la Israel), kundi la kigaidi la Hamas lifutike (tajwa la nchi za kiarabu, hawataki makundi ya kigaidi), Serikali ya PLO lazima itawale eneo lote la waplestina (takwa la serikali ya Abbas)
Na uongozi wa Israel utafutwa kama Hamas.
 
wabishe hao hammas wapigwe tu maana ni muda sasa kibondo kimepooza
 
Back
Top Bottom