Hamas watakuwa Wapumbavu kama watakubali mpango wa Donald Trump kumaliza mgogoro wa Israel na Palestina

Huo mpango umepwangwa kwa kumfavour Israel, imagine mpango unawasilishwa na yeye yuko pembeni anatoa maoni.

Hamas/Palestina inaonekana wanapata uungwaji mkoni kwa kiasi kikubwa ila hawatoki nje kuongea wanachotaka zaidi ya mataifa kulalamika kwa niaba yao.

Ingekua vizuri kama wao wakaja na mapendekezo maana wao ndio jamii inaona wanaonewa.

Ila hii hao watesi wake kuja na maoni yao ilhali wao ndio wana nguvu dhidi yao naona haijakaa sawa.
Unajua issue sio hata kwamba Palestine wanataka nini kwakuwa wanachotaka wao kinajulikana nacho ni kuwa taifa huru linalojitawala.

Tatizo lina baki kwamba hawana uwezo wa kufosi matakwa yao yatimie na hata sanyingine watetezi wao "Hamas" wanapojaribu kufosi ili hicho kitokee ndio wanaharibu zaidi mf Oct 7

Nchi za kiarabu zenyewe kuwasaidia sijui ni uoga au unafiki wanaishia Kubweka tu kwa mbali lakini in reality hawana nia ya dhati ya kuwasaidia palestines.

Jumuiya za kimataifa wakiongozwa na UN pamoja na kupitisha maamuzi ya kutambua nchi ya Palestine hawana uwezo wa kutelekeza kijeshi sababu Israel ina sapotiwa na U.S so mpaka hapo unaona Palestine hawana chao kabisa.
 
Bora hujawa kiongozi, pamoja na kwamba ni jambo lisilowezekana.

Maumivu, mateso, mauaji, njaa na dhuluma nyingine wanazokumbana nazo wapalestina wasiokuwa na hatia zifike ukomo sasa!!

Haijalishi ni ukoloni, utumwa au chochote kingine, hayo yatajadiliwa mbele ya safari.
Muhimu kwa sasa ...mateso kwa wapalestina yakomeshwe.
Hayo uliyotaja siyo muhimu tena maana wameshayapata, wasichokipata ni uhuru yani wakubali kuludi kwenye utumwa.
 
Askari wa Hamas wabebe jukumu lao, kuwatumia akina mama na watoto kama kinga sio sawa.
Ulichosema wameshakipata ni kitu gani?

Tulia uangalie kwa uzito clip za hao wahanga utaelewa ninachosema.

Vita sio lazima silaha pekee..hata majadiliano hutoa ushindi.
 
Unajua issue sio hata kwamba Palestine wanataka nini kwakuwa wanachotaka wao kinajulikana nacho ni kuwa taifa huru linalojitawala.

Tatizo lina baki kwamba hawana uwezo wa kufosi matakwa yao yatimie na hata sanyingine watetezi wao "Hamas" wanapojaribu kufosi ili hicho kitokee ndio wanaharibu zaidi mf Oct 7

Nchi za kiarabu zenyewe kuwasaidia sijui ni uoga au unafiki wanaishia Kubweka tu kwa mbali lakini in reality hawana nia ya dhati ya kuwasaidia palestines.

Jumuiya za kimataifa wakiongozwa na UN pamoja na kupitisha maamuzi ya kutambua nchi ya Palestine hawana uwezo wa kutelekeza kijeshi sababu Israel ina sapotiwa na U.S so mpaka hapo unaona Palestine hawana chao kabisa.
Au hao Hamas na wanaowasupport hawana intelijensia ya uhakika, maana mgogoro unatumiwa sana kisiasa hasa na hao west kuliko jirani sao waarabu.

Gaza inazidi kuharibiwa na hili lq Trump Hamas wakilikataa ni wazi watakua wamehalalisha kutwangwq toka pande zote.
 
Wakuu hivi two state solution bado inawezekana kweli? , na kama inawezekana katika criteria gani
 
Inawezekana lakini Israel hataki. Tayari baadhi ya nchi za ulaya Canada na Australia zimelitambua rasmi taifa la Palestina na hii inawaumiza kichwa sana Israel.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Inawezekana lakini Israel hataki. Tayari baadhi ya nchi za ulaya Canada na Australia zimelitambua rasmi taifa la Palestina na hii inawaumiza kichwa sana Israel.
Kwenye huu mpango wa trump, lugha iliyotumika haileti mwanga wa namna hiyo mkuu, hiki limekaa vipi
 
Siyo tu haileti MWANGA Bali proposal ya Trump ni kuikabidhi Palestine kwa Israel jumla .nadhani Hamas hawatakubaliana na mpango huu.
 
mpaka muda huu hamas kashapotea mkuu, sioni akiwa na ubavu wa kufurukuta
 
Kwenye kupigania Uhuru wa taifa lako ukianza kuangalia mambo ya uchungu tayari umekwisha. Chaguo ni mawili uendelee kupambana au ujisalimishee utawaliwe.na upoteze nchi Yako. Nchi zilizopigania Uhuru kwa kumwaga damu hawawezi kukuelewa kabisa.
Ni kweli kupigania unayoamini ni haki yako kuna gharama, lakini ni lazima uangalie kama gharama hiyo inakupeleka kwenye matokeo chanya au inakupoteza moja kwa moja.

Wapalestina hawawezi kukipata wanachokitaka kwa njia ya mapigano, ambayo yamethibitisha kupoteza zaidi badala ya kuokoa.

Mwaka 1947 walikataa kupewa 44% ya eneo lote. Wakaanzisha vita, tena kwa kusaidiwa na Misri na Jordan, wakaishia kupoteza hata hiyo 44%, wakabakiwa na 20%. Mwaka 1967 wakaamua kupigana tena, wakisaidiwa na mataifa 6 ya Kiarabu, wakaishia kupoteza hata ile 20%. Wakarudia tena mwaka 1972, wakaishia kuachwa na maswahiba wao wa angu kale, Misri na Jordan, walioamua kuingia mkataba wa kupoteza uhasama na Israel.

Yassar Arafat akawekeza kwenye mazungumzo, hakukuwa na vita, Palestina ikapata mamlaka ya ndani, ikiwa ni hatua ya kuelekea kupewa Taifa kamili. Iran ikaingilia kati, ikaanzisha Hamas, ikasababisha vita kati ya wapalestina na wapalestina, na kusababisha mgawanyo wa utawala, Westvank na Gaza.

Kilichowapa mafanikio japo kidogo ilikuwa ni mazungumzo, lakini kwenye mapigano ni kutafuta vifo vinavyowafanya wapoteze hata kidogo walichokuwa wamekipata.
 
Unadhani wapalestina wanaweza kupata nchi Yao kwa kuomba kupewa na Israel?
 
Bora hujawa kiongozi, pamoja na kwamba ni jambo lisilowezekana.

Maumivu, mateso, mauaji, njaa na dhuluma nyingine wanazokumbana nazo wapalestina wasiokuwa na hatia zifike ukomo sasa!!

Haijalishi ni ukoloni, utumwa au chochote kingine, hayo yatajadiliwa mbele ya safari.
Muhimu kwa sasa ...mateso kwa wapalestina yakomeshwe.
Hayo si mateso kwa wapalestina bali wanavuna walichopanda Oct 07,2023!!,
 
Back
Top Bottom