Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
nilikua namaanisha Adolf Jr na wewe wote mmeolewa nyumba moja na Bwana muyahudi wewe bila kujua ukaanza kumrushia vijembe.Mm na ugaidi wapi wapi au unamanisha ustaadh alwaz, ritz, malaria 2, faizafoxy🤣🤣🤣🤣 eb kuwa specific bwana, mm siwezi valishwa chupi ya bomu kama hao watu
Kuna watu wapuuziHayo magaidi ya kiislam yalisha kufanyia ugaidi gani? Au walisha kukuvamia nyumbani kwako wakakufanyia ugaidi wa kukutindua hicho kinyeo chako na cha mmeo?
Wee weee koma tena koma shoga mkubwa wee, ujuhi magaidi ya kiislamu ndio walimteka, kumlawiti na kumuua mtanzania mwenzangu lkn pia waliwahi kupiga mji wa dar kwa mabomu 1998 nadhani ulikuwa bado unanyonya kwa mama yako we shogaHayo magaidi ya kiislam yalisha kufanyia ugaidi gani? Au walisha kukuvamia nyumbani kwako wakakufanyia ugaidi wa kukutindua hicho kinyeo chako na cha mmeo?
Sinaga utani na magaidi mie, eb koma kuniletea shobo za kijinga oknilikua namaanisha Adolf Jr na wewe wote mmeolewa nyumba moja na Bwana muyahudi wewe bila kujua ukaanza kumrushia vijembe.
Ni chuki tu zimewatawala.Kuna watu wapuuzi
Huko mitaani kwao wanakaa na waislam tena waislam haswaa
Hawajawahi kuwaibia hata kikombe na wala kuwatendea ubaya
Ila wanaamini kama waislam magaidi wabaya wauaji watesi wanakila sifa mbaya wanazozijua na wasizozijua kupitia BBC CNN NBC FOX nk
Hawa wapuuzi na wajinga wa namna hii kuwaelewa inataka kazi sana ila ndio hvyo tena niwajinga
Ukiwauliza ugaudi wa waislam watakwambia Iraq sijui Somalia sijui Canada
Yaani waislam wanao kaa nao hawauoni ugaidi wao wanaamini waislam wa mbali wanaweza kua magaidi
Uislam ndio njia pekee na sahihi ya mfumo anaotakiwa kuishi mwanaadam
Ndio maana nakuuliza hao unao waita magaidi walisha kufanyia ugaidi gani kwenye maisha yako au familia yako ? Au unaendeshwa na chuki za kipumbavu.Sinaga utani na magaidi mie, eb koma kuniletea shobo za kijinga ok
Unachotakiwa kujua kuhusu UislamMaster Sergeant Gal Meir Eisenkot, mwenye umri wa miaka 25 ameuliwa na wapiganaji wa Hamas hapo jana kaskazini ya Gaza.
Gal ni mtoto wa Gadi Einsenkot ambaye ni mmoja wa mawaziri wa baraza la vita la kupambana na Hamas linaloongozwa na waziri mkuu Benjamini Netanyahu.
Maumivu kutokana na habari za kifo cha mtoto wake huko Gaza waziri Gadi alizipata akiwa kwenye chumba cha kuongozea vita huko Israel.
Taarifa za kuongezeka kwa vifo vya maafisa wa juu wa jeshi la IDF zinakuja wakati ambapo jeshi hilo limetoa indhari kuwa vita vimekuwa vikali zaidi mara baada ya kumalizika usitishaji wa muda mfupi uliofanyika mwishoni mwa mwezi ulipitata mwezi uliopita.
Malalamiko hayo ya Israel yanakwenda sambamba na ahadi ya ushindi iliyotolewa na kiongozi wa Hamas hapo tarehe 6 kuadhimisha miezi miwili ya vita na sambamba na Marekani kulalamika juu ya kushambuliwa kwa kambi zake za jeshi nchini Iraq na Syria.
Kutokana na kile anachokiona katibu mkuu wa UN ametumia rungu lake la kanuni ya 99 ya jumuiya hiyo kutoa tahadhari kuwa vita vya Gaz bila kusitishwa haraka kuna uwezekano mkubwa kuwa vita eneo lote la mashariki ya kati.
View attachment 2836176
Yahoo News
Wanaume gani wanajificha kwenye mashimo kama panya huku wakiacha wanawake na watoto wanauliwa na adui, si inatakiwa wabaki juu ardhini kupambana na wavamizi?!.Acha kujipendekeza kwa Hamas wewe watakuoa shauri yako. Wanaume wa wale
Vipi mbona hasira au mvua inanyesha huko chini umelowana ?Sinaga utani na magaidi mie, eb koma kuniletea shobo za kijinga ok
Vita ni mbinu mbona wao hawalalamiki IDF wanatumia ndege za kivita kufanya mashambulizi Gaza na Hamas hawatumii ndege kama IDF?Wanaume gani wanajificha kwenye mashimo kama panya huku wakiacha wanawake na watoto wanauliwa na adui, si inatakiwa wabaki juu ardhini kupambana na wavamizi?!.
Ufahamu huna...kwa makelele ya karibu mkuu UN,ungekua na ufahamu ungeelewaSi mmesema Israel wanapigana na wanawake na watoto mbona tena mnasema Hamas kaua? kuwaelewa kunahitaji nijitoe ufahamu kabisa make habari mnazoleta humu jukwaani zinatuchanganya kwa kiasi kikubwa
israel haipigani na wanawake na watoto wanpiga wanawake na watotoSi mmesema Israel wanapigana na wanawake na watoto mbona tena mnasema Hamas kaua? kuwaelewa kunahitaji nijitoe ufahamu kabisa make habari mnazoleta humu jukwaani zinatuchanganya kwa kiasi kikubwa
Allah amjaalie aingie ktk moto na apate adhabu Kalo huko alikoMaster Sergeant Gal Meir Eisenkot, mwenye umri wa miaka 25 ameuliwa na wapiganaji wa Hamas hapo jana kaskazini ya Gaza.
Gal ni mtoto wa Gadi Einsenkot ambaye ni mmoja wa mawaziri wa baraza la vita la kupambana na Hamas linaloongozwa na waziri mkuu Benjamini Netanyahu.
Maumivu kutokana na habari za kifo cha mtoto wake huko Gaza waziri Gadi alizipata akiwa kwenye chumba cha kuongozea vita huko Israel.
Taarifa za kuongezeka kwa vifo vya maafisa wa juu wa jeshi la IDF zinakuja wakati ambapo jeshi hilo limetoa indhari kuwa vita vimekuwa vikali zaidi mara baada ya kumalizika usitishaji wa muda mfupi uliofanyika mwishoni mwa mwezi ulipitata mwezi uliopita.
Malalamiko hayo ya Israel yanakwenda sambamba na ahadi ya ushindi iliyotolewa na kiongozi wa Hamas hapo tarehe 6 kuadhimisha miezi miwili ya vita na sambamba na Marekani kulalamika juu ya kushambuliwa kwa kambi zake za jeshi nchini Iraq na Syria.
Kutokana na kile anachokiona katibu mkuu wa UN ametumia rungu lake la kanuni ya 99 ya jumuiya hiyo kutoa tahadhari kuwa vita vya Gaz bila kusitishwa haraka kuna uwezekano mkubwa kuwa vita eneo lote la mashariki ya kati.
View attachment 2836176
Yahoo News
Ngoja tukueleweshe.Si mmesema Israel wanapigana na wanawake na watoto mbona tena mnasema Hamas kaua? kuwaelewa kunahitaji nijitoe ufahamu kabisa make habari mnazoleta humu jukwaani zinatuchanganya kwa kiasi kikubwa
Ulitaka afe nani?Master Sergeant Gal Meir Eisenkot, mwenye umri wa miaka 25 ameuliwa na wapiganaji wa Hamas hapo jana kaskazini ya Gaza.
Gal ni mtoto wa Gadi Einsenkot ambaye ni mmoja wa mawaziri wa baraza la vita la kupambana na Hamas linaloongozwa na waziri mkuu Benjamini Netanyahu.
Maumivu kutokana na habari za kifo cha mtoto wake huko Gaza waziri Gadi alizipata akiwa kwenye chumba cha kuongozea vita huko Israel.
Taarifa za kuongezeka kwa vifo vya maafisa wa juu wa jeshi la IDF zinakuja wakati ambapo jeshi hilo limetoa indhari kuwa vita vimekuwa vikali zaidi mara baada ya kumalizika usitishaji wa muda mfupi uliofanyika mwishoni mwa mwezi ulipitata mwezi uliopita.
Malalamiko hayo ya Israel yanakwenda sambamba na ahadi ya ushindi iliyotolewa na kiongozi wa Hamas hapo tarehe 6 kuadhimisha miezi miwili ya vita na sambamba na Marekani kulalamika juu ya kushambuliwa kwa kambi zake za jeshi nchini Iraq na Syria.
Kutokana na kile anachokiona katibu mkuu wa UN ametumia rungu lake la kanuni ya 99 ya jumuiya hiyo kutoa tahadhari kuwa vita vya Gaz bila kusitishwa haraka kuna uwezekano mkubwa kuwa vita eneo lote la mashariki ya kati.
View attachment 2836176
Yahoo News
Mifano ya kuchonga lakini.Ngoja tukueleweshe.
Hamas anawalenga wanajeshi wa IDF ila IDF inalenga makazi ya raia wa kawaida na kuua hasa wanawake na watoto.
Mathalan Lebanon border Hizbollah ilipolipua Kambi nzima ya jeshi la IDF mpakani IDF wakarusha white phosphorus mashambani na kuua raia wanne.
Kiufupi IDF anatumia raia wa mpinzani kama ngao ya kumdhoofisha mpinzani.
Ukitaka mifano zaidi nakupatia
Hutizami habari wewe.Mifano ya kuchonga lakini.
Unawezaje kumwita mtu anayepambania ardh yaje mpumbavu, awe kwa vile unalala na kuvaa bureHAMAS ni wapumbavu, jamaa wakijibu walicho kianzisha wanakuja omba huruma ya ulimwengu