Hamas yamuua mtoto wa Waziri huku Israel ikisema vita vimekuwa vigumu

Hamas yamuua mtoto wa Waziri huku Israel ikisema vita vimekuwa vigumu

Master Sergeant Gal Meir Eisenkot, mwenye umri wa miaka 25 ameuliwa na wapiganaji wa Hamas hapo jana kaskazini ya Gaza.

Gal ni mtoto wa Gadi Einsenkot ambaye ni mmoja wa mawaziri wa baraza la vita la kupambana na Hamas linaloongozwa na waziri mkuu Benjamini Netanyahu.

Maumivu kutokana na habari za kifo cha mtoto wake huko Gaza waziri Gadi alizipata akiwa kwenye chumba cha kuongozea vita huko Israel.

Taarifa za kuongezeka kwa vifo vya maafisa wa juu wa jeshi la IDF zinakuja wakati ambapo jeshi hilo limetoa indhari kuwa vita vimekuwa vikali zaidi mara baada ya kumalizika usitishaji wa muda mfupi uliofanyika mwishoni mwa mwezi ulipitata mwezi uliopita.

Malalamiko hayo ya Israel yanakwenda sambamba na ahadi ya ushindi iliyotolewa na kiongozi wa Hamas hapo tarehe 6 kuadhimisha miezi miwili ya vita na sambamba na Marekani kulalamika juu ya kushambuliwa kwa kambi zake za jeshi nchini Iraq na Syria.

Kutokana na kile anachokiona katibu mkuu wa UN ametumia rungu lake la kanuni ya 99 ya jumuiya hiyo kutoa tahadhari kuwa vita vya Gaz bila kusitishwa haraka kuna uwezekano mkubwa kuwa vita eneo lote la mashariki ya kati.

View attachment 2836176

Yahoo News
Israel inapeleka watoto wao vitan kuonesha ni vita ya wote , vp ndugu zetu mnaopoga kelele kwann msifanye kitu
 
Screenshot_20231208-193812.png
Screenshot_20231208-193719.png

😂🤣🤣🤣🤣 duuu kweli vita imekua kali,,,,🤣🤣🤣🤣 Hawa wadau si walikua wanajificha nyuma ya wanawake na watoto,,,,ila now wanaomba cease fire tena kwa machozi!!
 
Master Sergeant Gal Meir Eisenkot, mwenye umri wa miaka 25 ameuliwa na wapiganaji wa Hamas hapo jana kaskazini ya Gaza.

Gal ni mtoto wa Gadi Einsenkot ambaye ni mmoja wa mawaziri wa baraza la vita la kupambana na Hamas linaloongozwa na waziri mkuu Benjamini Netanyahu.

Maumivu kutokana na habari za kifo cha mtoto wake huko Gaza waziri Gadi alizipata akiwa kwenye chumba cha kuongozea vita huko Israel.

Taarifa za kuongezeka kwa vifo vya maafisa wa juu wa jeshi la IDF zinakuja wakati ambapo jeshi hilo limetoa indhari kuwa vita vimekuwa vikali zaidi mara baada ya kumalizika usitishaji wa muda mfupi uliofanyika mwishoni mwa mwezi ulipitata mwezi uliopita.

Malalamiko hayo ya Israel yanakwenda sambamba na ahadi ya ushindi iliyotolewa na kiongozi wa Hamas hapo tarehe 6 kuadhimisha miezi miwili ya vita na sambamba na Marekani kulalamika juu ya kushambuliwa kwa kambi zake za jeshi nchini Iraq na Syria.

Kutokana na kile anachokiona katibu mkuu wa UN ametumia rungu lake la kanuni ya 99 ya jumuiya hiyo kutoa tahadhari kuwa vita vya Gaz bila kusitishwa haraka kuna uwezekano mkubwa kuwa vita eneo lote la mashariki ya kati.

View attachment 2836176

Yahoo News
Mkuu vp hawa wanaume
Screenshot_20231208-193812.png
Screenshot_20231208-193719.png
waliovaa nepi baada ya kukimbia mashimoni....kweli vita ni kali maana nasikia mpaka leo wamekufa hamas wawili ila IDF 6000 🤣🤣😂😊
 
Hata Nyerere alimpoteza mtoto wake kipindi kile tunapambana na Nduli Iddy Amini.

Cha msingi ni kwamba vita dhidi ya ugaidi inaendelea
 
Kile alichokianzisha oct7 ilikua ni kupambania ardhi yake?
Yeah ndio ni kupambania ardhi yake.
Jenin ilikua ikivunjwa na Israel wakiongeza eneo pia miezi hiyo hiyo AI ya Israel ilikua ikijaribu kuendesha mfumo wa mawasiliano wa Gaza kujua kuhusu simu na jumbe zote zinazoingia na kutoka kwa raia wa Gaza.
 
Wee weee koma tena koma shoga mkubwa wee, ujuhi magaidi ya kiislamu ndio walimteka, kumlawiti na kumuua mtanzania mwenzangu lkn pia waliwahi kupiga mji wa dar kwa mabomu 1998 nadhani ulikuwa bado unanyonya kwa mama yako we shoga
Huna ulijualo.
Huyo Mtanzania alikufa as a result of Israel air strikes na IDF wakauokota mwili wake nje ya magofu huko Gaza ila hakupigwa na kulawitiwa kama udaivyo.
Hao waislam unaoitwa magaidi ndio wanaoongoza kwa misaada tukianza na hapa Tanzania kuliko hata hao wakatoliki wenzako wanaopewa ruzuku ya bilioni Moja kila mwisho wa mwezi na serikali.
Alhikma foundation ya Nurdin kishki ndio inaongoza kujenga visima na matundu ya choo katika shule za Daresalaam,Islamic Foundation ndio inayoongoza kuchimba visima vijijini hususan Morogoro pasi na ruzuku ya serikali na pia inaongoza kusaidia katika majanga hata tetemeko la Kagera wakwanza kufika na msaada ni wao.
Said Salim Bakhresa kawapa ajira na nyingi na anaonesha manufaa kwa uwekezaji wake binafsi.
NITAJIE MASHIRIKA YA WAKRISTO AU WAYAHUDI YANAYOTOA MISAADA.
 
Back
Top Bottom