Hamas yamuua mtoto wa Waziri huku Israel ikisema vita vimekuwa vigumu

Israel inapeleka watoto wao vitan kuonesha ni vita ya wote , vp ndugu zetu mnaopoga kelele kwann msifanye kitu
 

πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ duuu kweli vita imekua kali,,,,🀣🀣🀣🀣 Hawa wadau si walikua wanajificha nyuma ya wanawake na watoto,,,,ila now wanaomba cease fire tena kwa machozi!!
 
Mkuu vp hawa wanaume waliovaa nepi baada ya kukimbia mashimoni....kweli vita ni kali maana nasikia mpaka leo wamekufa hamas wawili ila IDF 6000 πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜Š
 
Hata Nyerere alimpoteza mtoto wake kipindi kile tunapambana na Nduli Iddy Amini.

Cha msingi ni kwamba vita dhidi ya ugaidi inaendelea
 
Kile alichokianzisha oct7 ilikua ni kupambania ardhi yake?
Yeah ndio ni kupambania ardhi yake.
Jenin ilikua ikivunjwa na Israel wakiongeza eneo pia miezi hiyo hiyo AI ya Israel ilikua ikijaribu kuendesha mfumo wa mawasiliano wa Gaza kujua kuhusu simu na jumbe zote zinazoingia na kutoka kwa raia wa Gaza.
 
Wee weee koma tena koma shoga mkubwa wee, ujuhi magaidi ya kiislamu ndio walimteka, kumlawiti na kumuua mtanzania mwenzangu lkn pia waliwahi kupiga mji wa dar kwa mabomu 1998 nadhani ulikuwa bado unanyonya kwa mama yako we shoga
Huna ulijualo.
Huyo Mtanzania alikufa as a result of Israel air strikes na IDF wakauokota mwili wake nje ya magofu huko Gaza ila hakupigwa na kulawitiwa kama udaivyo.
Hao waislam unaoitwa magaidi ndio wanaoongoza kwa misaada tukianza na hapa Tanzania kuliko hata hao wakatoliki wenzako wanaopewa ruzuku ya bilioni Moja kila mwisho wa mwezi na serikali.
Alhikma foundation ya Nurdin kishki ndio inaongoza kujenga visima na matundu ya choo katika shule za Daresalaam,Islamic Foundation ndio inayoongoza kuchimba visima vijijini hususan Morogoro pasi na ruzuku ya serikali na pia inaongoza kusaidia katika majanga hata tetemeko la Kagera wakwanza kufika na msaada ni wao.
Said Salim Bakhresa kawapa ajira na nyingi na anaonesha manufaa kwa uwekezaji wake binafsi.
NITAJIE MASHIRIKA YA WAKRISTO AU WAYAHUDI YANAYOTOA MISAADA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…