Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Vp ile hotuba ya mkuu wa hezbolah bado 🤣🤣🤣🤣🤣.Huamini unachokisikia kwa hisia Israel ni taifa teule.Mimi sijadanganya.Nimeandika nilichokiona kwenye runinga kwa macho yangu.
Ulitaraji hutosikia tena habari za Hamas baada ya kuelezwa na wenzako kuwa wamezingira kwa vifaru na mahandaki yote yamebomolewa.Mbona hawa jamaa bado wako na afya nzuri wakiendelea na vita kwa silaha kadri walizonazo.
Utaona pia Iron Dome zimeishiwa nguvu.Ogopa Syria na Iran wakiingia kazini rasmi kuitetea Palestina.
Kuna utabiri pia Israel imebakiwa na wiki tatu tu kuendelea na vita.Ama viwe vimesitishwa au kuokoa mateka wote kabla vurugu la kiuchumi kuikumba nchi hiyo.
🤣🤣🤣🤣Syria na iran duuuuh