Hamas yarusha kombora zito mpaka Tel Aviv. Mtaa mzima kizaazaa

Hamas yarusha kombora zito mpaka Tel Aviv. Mtaa mzima kizaazaa

Huamini unachokisikia kwa hisia Israel ni taifa teule.Mimi sijadanganya.Nimeandika nilichokiona kwenye runinga kwa macho yangu.

Ulitaraji hutosikia tena habari za Hamas baada ya kuelezwa na wenzako kuwa wamezingira kwa vifaru na mahandaki yote yamebomolewa.Mbona hawa jamaa bado wako na afya nzuri wakiendelea na vita kwa silaha kadri walizonazo.

Utaona pia Iron Dome zimeishiwa nguvu.Ogopa Syria na Iran wakiingia kazini rasmi kuitetea Palestina.
Kuna utabiri pia Israel imebakiwa na wiki tatu tu kuendelea na vita.

Ama viwe vimesitishwa au kuokoa mateka wote kabla vurugu la kiuchumi kuikumba nchi hiyo.
Utabiri wa kobasi au?
 
Hizo Mizigio inayotakiwa kuingia Gaza ikaguliwe balabala... Nahisi Jordan kujifanya ana drop Misaada ya Dawa kwa Dege la mizigo achunguzwe na ale kichapo pia.. Barozi si ashaondosha!
 
Hizo Mizigio inayotakiwa kuingia Gaza ikaguliwe balabala... Nahisi Jordan kujifanya ana drop Misaada ya Dawa kwa Dege la mizigo achunguzwe na ale kichapo pia.. Barozi si ashaondosha!
Jordan ni hao hao tu.
 
Lebanon ilitandikwa vya kutosha na Israel,ikarudia Tena kumalizia kilichobakia, Israel ikokosa wapi pa kupiga.

Siku kadhaa nae akatandikwa vya kutosha akaomba vita iishe, Hezbollah hao[emoji1787]

Tunapowaambia Israel hakuna kitu muelewe.
Hizbullah hana uwezo hata wa kupigana na TPDF hebu kuwa na akili muislam
 
Hizbullah hana uwezo hata wa kupigana na TPDF hebu kuwa na akili muislam
20231111_000713.jpg
 
Back
Top Bottom