Huwa nachekaga sana huu uwongo wako wa Hizbollah kuitandika Israel[emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa nachekaga sana huu uwongo wako wa Hizbollah kuitandika Israel[emoji3][emoji3]
Sawa.Mara nyengine ntafanya hivyo na nimefurahi nawe umeelewa.Mimi nimeuliza kuhusu chanzo cha habari uliyotoa. Chanzo cha habari sio lazima kiwe link.
Hapo ilipaswa useme chanzo ni taarifa ya habari ya aljazeera au Aljazeera TV. Ungeeeleweka pia.
Ndo uvumilie,huku unaelezwa Gaza imezingiwa,Leo kombora linatoka humo humo Gaza lazima uchanganyikiwe.
Wanamgambo wa Israel wamegeuzwa ndafu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wasilalamike waendelee kupigana mshindi ataandika historia upya
Sharti la kwanza la vita Hakuna kupatana na adui wakati wa vita, vipigwe apatikane mshindiIkiwa ni zaidi ya mwezi sasa tangu vita vianze na huku jeshi la Israel likisema limeizingira Gaza yote kwa vifaru na kubomoa mahandaki yanayotumiwa na Hamas,ghafla leo kombora zito la masafa marefu limeonekana likipaa kutoka Gaza.
Kwa mujibu muandishi wa Aljazeera aliyeko Palestina ya ukiongo wa mashariki,kombora hilo ambalo jina lakie halisi halijajulikana lilifanikiwa kutua mpaka mji wa pembezoni mwa Tel AVIV bila kipingamizi chochote kutoka kwa Iron Dome.
Ufuatiliaji uliofanyika baada ya kutua kwa kombora hilo ulidhihirisha mtaa mzima ukitaharuki huku magari na majumba yakiwaka moto.
Kwa upande mwengine msemaji wa Hamas wa kundi la kijeshi la Alqassan.injinia Osama Hamdan ameilaumu Israel kwa kutokuwa na nia thabitii ya kupatikana mateka inaowashikilia wakiwa hai.
Osama amesema mara kahdaa wameitaka Israel isitishe vita kwa muda ili iweze kuwakushanya mateka 70 wa mwanzo wakiwemo raia wa kigeni ili na nchi hiyo iachie baadhi ya wafungwa wa kipalestina kwenye magereza yake. Sharti lao jengine ni kuruhusiwa misaada iingie maeneo yote ya Gaza bila ubaguzi wa kimaeneo.
Kwa mujibu wa msemaji huyo pendekezo lake hilo limeendelea kukataliwa na Israel kutokana na kiburi chake.
Hiyo taarifa utakuwa una kituo chako cha habari. Unahangaika tu.Ikiwa ni zaidi ya mwezi sasa tangu vita vianze na huku jeshi la Israel likisema limeizingira Gaza yote kwa vifaru na kubomoa mahandaki yanayotumiwa na Hamas,ghafla leo kombora zito la masafa marefu limeonekana likipaa kutoka Gaza.
Kwa mujibu muandishi wa Aljazeera aliyeko Palestina ya ukiongo wa mashariki,kombora hilo ambalo jina lakie halisi halijajulikana lilifanikiwa kutua mpaka mji wa pembezoni mwa Tel AVIV bila kipingamizi chochote kutoka kwa Iron Dome.
Ufuatiliaji uliofanyika baada ya kutua kwa kombora hilo ulidhihirisha mtaa mzima ukitaharuki huku magari na majumba yakiwaka moto.
Kwa upande mwengine msemaji wa Hamas wa kundi la kijeshi la Alqassan.injinia Osama Hamdan ameilaumu Israel kwa kutokuwa na nia thabitii ya kupatikana mateka inaowashikilia wakiwa hai.
Osama amesema mara kahdaa wameitaka Israel isitishe vita kwa muda ili iweze kuwakushanya mateka 70 wa mwanzo wakiwemo raia wa kigeni ili na nchi hiyo iachie baadhi ya wafungwa wa kipalestina kwenye magereza yake. Sharti lao jengine ni kuruhusiwa misaada iingie maeneo yote ya Gaza bila ubaguzi wa kimaeneo.
Kwa mujibu wa msemaji huyo pendekezo lake hilo limeendelea kukataliwa na Israel kutokana na kiburi chake.
Mbaya zaidi Yemen nao washaidhinisha jeshi lao kuingia kazini kuipigania Palestine, #FreePalasintineUlishapoteza credit na thamani humu jukwaani, hata uache kuangaika dogo make we fala tu habari zako zote hazina uhalisia🤣🤣🤣🤣
Unawaunga mkono mayahudi sasa inakuwa hupendi habari zihusuzo mafanikio kwa jeshi la ukombozi la Hamas., Yemen tayari washainisha jeshi kuipigania Palestine, Palestine itakuwa huru tuNdugu yangu acha kujifariji bure hapa JF.
Israel wanasonga mbele vyema, operesheni zao za kijeshi zimefanikiwa pakubwa na huenda ndani ya wiki chache karibu kila kitu ndani ya Gaza kitakuwa kipo mikononi mwa udhibiti na umiliki wa Israel na historia kuandikwa upya kuwa Gaza ni mali ya Israel kimabavu.
Hakuna cha Syria wala Iran mwenye mpango wa kujiingiza kijeshi kikamilifu huko Gaza, hao wote wamebakia kulalamika, kuchimba mikwara na kuwasaidia Hamas nyuma ya pazia, hawana jeuri ya kujiingiza kizembe vitani.
".......kurusha kombora moja kwenda Israel. So what?"Hii inachekesha sana.
Gaza yote inaelekea kwenda mikononi mwa Israel halafu Hamas wanajitamba kurusha kombora moja kwenda Israel. So what?
Ndiyo nalazimika kusoma ili nifurahi tu basiPole Sana,Kuna ulazima WA wewe kusoma anacholeta?
Yemen nao wana nini cha ajabu? Wamechakazana wao kwa wao na kujichokea watakuja kuwa threat kwa nani sasa.Mbaya zaidi Yemen nao washaidhinisha jeshi lao kuingia kazini kuipigania Palestine, #FreePalasintine
Habari iko vizuri tu na imerudiwa mara nyingi na vituo vya habari.Hiyo taarifa utakuwa una kituo chako cha habari. Unahangaika tu.
Swala la.mateka ni kuwaachia wote bila masharti. Hamasi na washirika wao wachague ,kuachia mateka au vifo vya wapalestina viendelee.
Uamuzi ni wao.
View: https://youtu.be/xitSH2VTC3Q?si=ELEgfAkc9-GMO80V
Vitu laini vinapita Tela Aviv bila wasi wasi, yani Missiles za Hamadi zimeisha kuwa mchezo kutereza kwa bi Tela Aviv