Hamas yarusha kombora zito mpaka Tel Aviv. Mtaa mzima kizaazaa

Vp ile hotuba ya mkuu wa hezbolah bado 🤣🤣🤣🤣🤣.
🤣🤣🤣🤣Syria na iran duuuuh
 
Hii inachekesha sana.
Gaza yote inaelekea kwenda mikononi mwa Israel halafu Hamas wanajitamba kurusha kombora moja kwenda Israel. So what?
Lebanon ilitandikwa vya kutosha na Israel,ikarudia Tena kumalizia kilichobakia, Israel ikokosa wapi pa kupiga.

Siku kadhaa nae akatandikwa vya kutosha akaomba vita iishe, Hezbollah hao🤣

Tunapowaambia Israel hakuna kitu muelewe.
 
Hamas wakirusha makombora kupiga kupiga raia wa Israel dunia nzima kimya ila Israel ikijibu mashambulizi maandamano yanaanza yakuilaani Israel

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Shehe leo hilo kombora limeishia kuwasha moto nyumba na magari tu?

Kwenye hayo magari na nyumba hakukuwa na watu?
Kwa mujibu wa mpashaji habari hakutaja maafa mengine.
 
Lebanon ilitandikwa vya kutosha na Israel,ikarudia Tena kumalizia kilichobakia, Israel ikokosa wapi pa kupiga.

Siku kadhaa nae akatandikwa vya kutosha akaomba vita iishe, Hezbollah hao🤣

Tunapowaambia Israel hakuna kitu muelewe.
hII kitu naona inakwenda kutokea Gaza
 
allah akbar
allauh akbarrrrr
takbiriiiiii takbiriii
ukisikia aya maneno wee toka nduki kuna gaidi lina jilipua liende kwa mabikra 72
 
Ki wapi chanzo cha hii habari?
Jaza kifurushi halafu fungua taarifa ya habari ya Aljazeera mpaka mwisho.Nimeisikiliza kwenye taarifa ya habari ya saa moja ya huko kwenu.
Habari ya kusikiliza haina link.Inabidi uamini kwani sipendi kudanganya.
 
Habari ya kusikiliza haina link.

Mimi nimeuliza kuhusu chanzo cha habari uliyotoa. Chanzo cha habari sio lazima kiwe link.

Hapo ilipaswa useme chanzo ni taarifa ya habari ya aljazeera au Aljazeera TV. Ungeeeleweka pia.
 
Ulishapoteza credit na thamani humu jukwaani, hata uache kuangaika dogo make we fala tu habari zako zote hazina uhalisia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Anatuleteaga futuhi kila baada ya nusu saa utadhani pana tuzo ya kuanzisha mada nyingi
 
Lebanon ilitandikwa vya kutosha na Israel,ikarudia Tena kumalizia kilichobakia, Israel ikokosa wapi pa kupiga.

Siku kadhaa nae akatandikwa vya kutosha akaomba vita iishe, Hezbollah hao[emoji1787]

Tunapowaambia Israel hakuna kitu muelewe.
Huwa nachekaga sana huu uwongo wako wa Hizbollah kuitandika Israel[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…