Mungu ana kulinda unapochokozwa, lakini kama wewe ndio umeanzisha ugomvi hakuna cha msasa wa Mungu unabaki na shetani na shetani aliyekutuma uanzishe ugomvi anakuzomea. Hamas waliyatimba October 17 na watu wakashangilia wakajua Israel itafyata mkia na kuwapigia magoti hamas. Israel anajua anachukiwa sana na majirani zake, dawa ya moto ni moto ,ubabe wake ndio umefanya nchi za Egypt, Jordan ziishi naye kwa heshima. Hamas waachie mateka ili vita iishe kwa sababu wamepoteza vitu vingi sana, watoto , wanawake, wazee wasio na hatua yoyote wamekufa.