nyiokunda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 1,976
- 1,181
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ugaidi wa October 7 ndio umeleta kadhia yote hii. Na Israel imeapa kuutokomeza ugaidi kwa faida ya raia wa pande zote mbili.la oct 07 sio chanzo
ila mpaka hamas wakafanya hivyo hiyo siku ilikua ni wamechoka kuvumilia juu ya mambo wanayotendewa wapalestina
ila jitu jinga kama wew lisilokua na utu wala moyo wa huruma halijielewi lipo tu kukoment oct 7 oct 7
halijui chochote kuhusu huu mgogoro
Kila kitu oct 7.
oct 7 ya nyoko
Ugaidi ni dhambi mbaya. Wakiuwa wanatukuza mungu wao kwa kumuita allahu akibar. Acha wafe waende kwa shetani wao asiependa kuishi kwa amaniBora wawauwe wote tu
maana kama ni unyama wametendewa wa kutosha
haina haja ya mazungumzo..wapalestina kila kitu kimewasaliti,ulimwengu mzima umewasaliti inaonekana hata mungu hayupo upande wao.
Tukubaliane hapa kwamba mara hii kwa alichokifanya Israel kwa Palestine zitapita karne na karne kutokea tena kizazi cha Wapalestina kitakachothubutu kufanya yale ya Oct 7 na hata ikitokea wakati huo mzayuni atakuwa amekuwa advanced sana kwenye kujilinda madhara hayatakuwa makubwa.
Piga nikupige zitakuwepo lakini ile kuvamia kabisa kijeshi kama mara ile haitotokea,Mashariki Ya Kati inaenda kutulia ikiacha maumivu makali sana kwa jamii za Kipalestina.
Hatari kubwa sana!!!Makundi ya Kigaidi ya kiislamu.
- Al-Qaeda (Global)
- ISIS/ISIL/Daesh (Iraq and Syria)
- Boko Haram (Nigeria)
- Taliban (Afghanistan)
- Al-Shabaab (Somalia)
- Hamas (Palestinian Territories)
- Hezbollah (Lebanon)
- Jemaah Islamiyah (Southeast Asia)
- Al-Qaeda in the Arabian Peninsula (AQAP) (Yemen)
- Al-Qaeda in the Islamic Maghreb (AQIM) (North Africa)
- Lashkar-e-Taiba (Pakistan)
- Jaish-e-Mohammed (Pakistan)
- Islamic Movement of Uzbekistan (IMU) (Central Asia)
- Ansar al-Sharia (Libya)
- Ansar Dine (Mali)
- Harkat-ul-Mujahideen (Pakistan)
- Abu Sayyaf Group (Philippines)
- Jund al-Sham (Syria)
- Harakat Ahrar al-Sham al-Islamiyya (Syria)
- Ansar Bayt al-Maqdis (Egypt
Kwani Gaza wameanza jana kupoteza hao wazee na watoto ??
Msikilize myahudi anavyosema
View: https://www.youtube.com/shorts/GVebcxqdcVM?feature=share
Nasubiri wanaosema MAGAIDI hawa hawahusiani na DINI fulani.Hatari kubwa sana!!!
Mimi ushauri wangu nakupa tena bure achana na masuala ya Palestine maliza shida zako kwanza maana maandishi yako hapa yanakuonyesha namna ulivyo na stress inaonekana kuna kitu kinakusibu.niondolewe wehu wako
yaan hata kutofautisha uyahudi na uzayuni haujui halaf uvimba kukoment.
kanyonyeshe na kulea mume mambo mengine achana nayo
maana unatangaza utahira wako tu
Nawavaa pampers mpaka munyamazeWavaa njiwa mpaka waseme. Hawajasema, mpaka waseme.
Endelea kujidanganya na kudanganywa huko unapodanganywa miaka yote ila ngoja nikutoe tongoTukubaliane hapa kwamba mara hii kwa alichokifanya Israel kwa Palestine zitapita karne na karne kutokea tena kizazi cha Wapalestina kitakachothubutu kufanya yale ya Oct 7 na hata ikitokea wakati huo mzayuni atakuwa amekuwa advanced sana kwenye kujilinda madhara hayatakuwa makubwa.
Piga nikupige zitakuwepo lakini ile kuvamia kabisa kijeshi kama mara ile haitotokea,Mashariki Ya Kati inaenda kutulia ikiacha maumivu makali sana kwa jamii za Kipalestina.
Pole 😀Endelea kujidanganya na kudanganywa huko unapodanganywa miaka yote ila ngoja nikutoe tongo
Munaaminishwa miaka kadhaa huki nyuma israhell iliyapiga mataifa yote ya kiarabu kwa siku sita na kuyashinda ila leo ana mwaka anapigana tu na hamas sio nchi ni kundi eneo kama kata ama wilaya fulani mwaka sasa (hapa utapata jibu nani kaongezeka uwezo nani kapungua uwezo)
Miaka ya nyuma huko Palestine walikua wanapigana kwa manati na mawe ila leo wameweza kuingia ndani kabisa ya israhell na kuwafyeka na kurusha marockets kibao (hapa utapata pia jibu nani kaenda mbele na nani karudi nyuma)
Munaambiwa huko nyuma israhell ilitumia 24masaa kutoka hapo kwenda entebee kuwaokoa mateka wake wote ila leo inatumia zaidi ya miezi tisa hapo ghaza jirani na wamekomboa mateka hawazidi wanne (utapata jibu nani kazidi uwezo nani kapungua)
Mwishi Binafsi naamini hii vita itaifanya israhell itambulike rasmi kama taifa ila kama haitatambulika ikaja ikapiganwa vita nyengine huko miaka ya mbeleni israhell hatoboi yaani hatoboi
Ingekua kushushwa vifusi ndio ushindi muda huu ghaza ingekua mali ya wazayuniBasi sawa Israel imekiri kushindwa, Hamas waachie mateka ili Israel ishindwe basi.
Aah kumbe wanastahiri kichapo. Hapo sawa, mimi nikajua utasema wanaonewa.
Kuna mawili, moja ni kuachia mateka ili Israel iachie mapigano. Mbili, ni kupigana mkiwa mmeshikilia mateka na mkipigwa na Israel. Hamas wamechagua namba mbili, sasa sijui kilio unatoa cha nini. Na mazungumzo wasitake wakae na mateka yao huku vifusi vikishushwa zaidi.
Gaidi hata awe nani anatakiwa afyekweWaliua watanzania wenzako sijui unasemaje hapo..!!
Yaani wewe upo kismayo sijui nakuru unaona ubaya wa hamas kuliko wakaazi halali wa ghazaH
Hawa Hamas hawana busara kabisa.
Nchi imekuwa majivu bado tu wana jimwambafai tu, hivi kukiri kuwa umeshindwa vita kuna ubaya gani ?
Wanawaza Dini tu.
Yaani mafundisho waliyolishwa hayana ustawi wa jamii.
Kwahiyo wakisha wasilimisha Wakristo na Wayahudi wanahamia kupigana na wa Dini nyingine ili wawasilimishe pia.
Kwa mtazamo huo hawawezi kufanikisha azma yao.
Hamas hawana huruma kabisa ya raia wao.
Wapalestina wanawachaguje hao Magaidi kuongoza nchi ?
Hakika inasikitisha sana sana.
Pole nawewePole 😀
Ila hawajakuzidi weweWajinga
Kwani wewe muislamu ukiamua kuanzisha kundi lako kama hao ulowataja likawa lakuua na kuteka na kubaka watu halafu ukalipa jina kundi lako liitwe Allah Akbar ila lisiwe la kiislamu wala dini itakua kundi la kiislamuMagaidi si wanajiita WAISLAMU.
1. ISLAMIC jihad ni WASABATO?
2. MUSLIM BROTHERHOOD ni Walutheri?
3. Hizbollah ni Anglikan?=. Chama cha Mwenyezi Mungu" au "Kundi la Mungu." Hii ni harakati ya kisiasa na kijeshi inayotokana na dhehebu la Kishia, iliyoko nchini Lebano.
4 . Mujahidin--Asemblies of God? --ni neno la Kiarabu linalomaanisha "wale wanaojitahidi" au "wapiganaji wa jihadi." Linatokana na neno "jihad," ambalo kwa maana yake halisi linaashiria jitihada au juhudi kwa ajili ya sababu fulani, mara nyingi kwa muktadha wa kidini. Katika matumizi ya kisiasa na kijeshi, "Mujahidin" hurejelea wapiganaji au vikundi vya wanamgambo ambao wanajihusisha na mapambano, mara nyingi kwa misingi ya kidini, dhidi ya kile wanachokiona kama wavamizi au maadui wa Uislamu. Katika historia, jina hili limekuwa maarufu zaidi kuhusiana na wapiganaji waliopambana na uvamizi wa Kisovieti nchini Afghanistan katika miaka ya 1980.
5. Al -Shabab- ni Wabaptisti? ="Al-Shabaab" ni neno la Kiarabu linalomaanisha "Vijana." Ni kundi la wanamgambo wa Kiislamu lenye itikadi kali, lenye makao yake nchini Somalia. Kundi hili lilijitokeza mwanzoni mwa miaka ya 2000 kama tawi la harakati ya Kiislamu nchini Somalia, lakini baadaye lilijitenga na kuwa kundi huru. Al-Shabaab linafahamika kwa kushiriki katika mapambano na mashambulizi ya kigaidi, si tu ndani ya Somalia, bali pia katika nchi jirani kama Kenya. Kundi hili linadhamiria kuanzisha utawala wa Kiislamu wenye misingi ya sheria kali ya Shariah. Pia limehusishwa na mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda
Kwakua wewe unaependa amani utaishi milele hongera😀Ugaidi ni dhambi mbaya. Wakiuwa wanatukuza mungu wao kwa kumuita allahu akibar. Acha wafe waende kwa shetani wao asiependa kuishi kwa amani
Yanahusiana na dini gani?Wafia dini wanasema "haya makundi hayahusiani na dini"
- Al-Qaeda (Global)
- ISIS/ISIL/Daesh (Iraq and Syria)
- Boko Haram (Nigeria)
- Taliban (Afghanistan)
- Al-Shabaab (Somalia)
- Hamas (Palestinian Territories)
- Hezbollah (Lebanon)
- Jemaah Islamiyah (Southeast Asia)
- Al-Qaeda in the Arabian Peninsula (AQAP) (Yemen)
- Al-Qaeda in the Islamic Maghreb (AQIM) (North Africa)
- Lashkar-e-Taiba (Pakistan)
- Jaish-e-Mohammed (Pakistan)
- Islamic Movement of Uzbekistan (IMU) (Central Asia)
- Ansar al-Sharia (Libya)
- Ansar Dine (Mali)
- Harkat-ul-Mujahideen (Pakistan)
- Abu Sayyaf Group (Philippines)
- Jund al-Sham (Syria)
- Harakat Ahrar al-Sham al-Islamiyya (Syria)
- Ansar Bayt al-Maqdis (Egypt
Naombeni kundi lolote linalo ongozwa na :
1. Padri.
2,. Mchungaji
3. Nabii.
4. Mtume
MUngu siku zote hujidhihirisha kwa njia zake adui wanaishia kugombana wenyewe kwa wenyewe, yule mzee gantz yeye alishaona hawezi kuendelea kuongoza na mtu mjinga akajitoa mapema kwa kujiuzuluWao ndio wana cha kupoteza maanake wataendelea kukimbilia kwa wanawake na watoto na matokeo yake kusababisha mauaji kuongezeka maradufu.