Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #41
Matarajio ni kwamba kinyume chake ndicho kitakachotokea baada ya kichapo kinachofuata kutoka Iran na washirika wake,Tukubaliane hapa kwamba mara hii kwa alichokifanya Israel kwa Palestine zitapita karne na karne kutokea tena kizazi cha Wapalestina kitakachothubutu kufanya yale ya Oct 7 na hata ikitokea wakati huo mzayuni atakuwa amekuwa advanced sana kwenye kujilinda madhara hayatakuwa makubwa.
Piga nikupige zitakuwepo lakini ile kuvamia kabisa kijeshi kama mara ile haitotokea,Mashariki Ya Kati inaenda kutulia ikiacha maumivu makali sana kwa jamii za Kipalestina.
Israel haitaweza tena kuzitangaza iron dome na vifaa vingine kama ndivyo kizuizi cha kuzitisha nchi nyingine zisiishambulie.Kwa sababu zilishindwa kazi oktoba 7 na zimekuwa taabani kuilinda miji yake kutoka kwa vikundi vidogo kama Houth.