Hamas yasema haitawaachilia tena mateka hadi Israel ikomeshe vita

Hamas yasema haitawaachilia tena mateka hadi Israel ikomeshe vita

Si wanasema Hamas inaichapa Israel? Kwanini tunahangaika?
 
Hamas hataki tena vita anataka viishe[emoji1787][emoji38][emoji28][emoji23] hatari sana kiongoz wao yuko Misr analialia anamuomba Misri aishawishi Israel iache kipondo maana sio poa.
Acha kujichekesha kama shoga na acha kupotosha ili ujifariji na aibu ya kushindwa kwa jeshi lenu teule.

Israel yenyewe ndo iliyo omba mazungumzo ya kuachiwa kwa mateka na usitishaji wa vita kwa wiki moja na hamas wakaweka mashriti yao ambayo Israel inatakiwa iyatimize ikiwemo kusitisha vita,kuachiliwa wafugwa wa kipalestina na kujiondoa gaza, kama hawataki waendelee kupigana mpaka washinde hamas wako tiyari kwa hilo.

Alafu vita kadri inavyo dumu muda mrefu ndo vinavyo zidi kuigharimu na kuiumiza Israel mpaka sasa Israel imesha poteza zaidi ya $120bilion kwenye uchumi wake ,maelfu ya raia wake wamepoteza kazi, raia wake zaidi ya 500,000 ni wakimbizi wa ndani ,wanajeshi wake wanaendelea kufa kwa sababu ya hii vita, kiufupi Israel inalipa gharama kubwa sana kutokana na hii vita.

Alafu Israel si ni wateule wa mungu kwann wasimuombe mungu akawaoneshe mateka walipo,au wasimuombe mungu awauwe Hamas wote ili washinde vita, nyinyi warokole ni watu wapumbavu sana ndani ya dunia hii ndio maana Urusi na mataifa ya ulaya mashariki mlipigwa marufuku.
Na mm siku nikiwa na mamlaka ndani ya nchi hii kiama chenu kimefika.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
😄 Acheni uwongo Misri ndio kaomba Hamasi waende kusikiliza offer aliyo toa Israel na America, kusema hakubali offer mpa vita isimame kabisa. Hamasi Target yake ni kumuingiza Natanyahu jela.

Nani kakuambia Hamasi atawacha vita na Israel, hio ni ndoto mnaota.
dah huruma sana migaidi inafyekelewa mbali kila siku.
 
Acha kujichekesha kama shoga na acha kupotosha ili ujifariji na aibu ya kushindwa kwa jeshi lenu teule.

Israel yenyewe ndo iliyo omba mazungumzo ya kuachiwa kwa mateka na usitishaji wa vita kwa wiki moja na hamas wakaweka mashriti yao ambayo Israel inatakiwa iyatimize ikiwemo kusitisha vita,kuachiliwa wafugwa wa kipalestina na kujiondoa gaza, kama hawataki waendelee kupigana mpaka washinde hamas wako tiyari kwa hilo.

Alafu vita kadri inavyo dumu muda mrefu ndo vinavyo zidi kuigharimu na kuiumiza Israel mpaka sasa Israel imesha poteza zaidi ya $120bilion kwenye uchumi wake ,maelfu ya raia wake wamepoteza kazi, raia wake zaidi ya 500,000 ni wakimbizi wa ndani ,wanajeshi wake wanaendelea kufa kwa sababu ya hii vita, kiufupi Israel inalipa gharama kubwa sana kutokana na hii vita.

Alafu Israel si ni wateule wa mungu kwann wasimuombe mungu akawaoneshe mateka walipo,au wasimuombe mungu awauwe Hamas wote ili washinde vita, nyinyi warokole ni watu wapumbavu sana ndani ya dunia hii ndio maana Urusi na mataifa ya ulaya mashariki mlipigwa marufuku.
Na mm siku nikiwa na mamlaka ndani ya nchi hii kiama chenu kimefika.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Screenshot_20231222_003740_Chrome.jpg
 
Si wanasema Hamas inaichapa Israel? Kwanini tunahangaika?
Si unajua hawa ni wana wa Ibilisi yule baba wa uwongo hivyo uwongo ni DNA yao.
Palestina kuna njaa kali mpaka wapalestina wanavunja maghala ya misaada na kuiba vyakula vya misaada ila wapalestina wa mchambwima na wa mpalange wamekaza fuvu hamas imeshinda vita🤣😅😂
Kiongoz wa hamas analialia kuiomba Israel isitishe vita 100% na isirudi tena kuwadunda, Israel anamwambia hilo asahau kipondo kitaendelea tena kwa muda mrefu yaan hii vita ni kumbukumbu la milele linawekwa ili wapalestina watakaobaki hai wasimulie kwa watoto wao watakaozaliwa kuwa wao wazazi waliwachokoza Israel na wakapewa full dose ambayo hawatoisahau mpaka wanaenda kuzimu kuonana na mudi na al hussein.
 
Israel ni sikio la kufa, imekataa kushindwa kwenye makaratasi sasa iinakwenda kushindwa kimapambano na kwa aibu kubwa
Mlituaminisha kuwa Israel hawawezi vita ya ardhini uso kwa uso, lakini sasa hivi Hamas wanaomba vita viishe kabisa ili wawaachie mateka. Sasa kama Hamas wana uwezo wa kupambana ardhini, si wangekubaliana na wazo la kuendeleza vita ili waliteketeze jeshi la Israel?
 
Vita itaendelea, na hili litasimuliwa vizazi na vizazi vya wapalestina milele na milele kwamba tuliwachokoza wayahudi na walichotufanya we acha tu wapalestina watakuwa wakisimulia hivyo watoto na vitukuu na vilembwe vyao kizazi baada ya kizazi. Hivi Ustaadh Bwana Utam mpaka sasa wapalestina washauliwa wangapi na mazayuni?
Mmekimboa wateka wangapi mpaka Muda huu
Au mshaifuta hamas maana haisikiki kabisaaa
Mmeua 20k hongereni sana endeleeni kuwaua mpaka muwamalize
Halaf nyie mtabakia milele hamta kufa 😀
 
Subili baada ya miezi michache hiyo Hamas itakuwa kama Muslim brotherhood ya Misri,zaidi ya hayo malengo yanazidi kutimia maana hamas zaidi ya 8000 wameshawahishwa jehanamu upesi wakaungane na Allah motoni huko.
🤣😀🤣
Kuifuta hamas hilo suala lifute kichwani mwako
Nyinyi mazayuni mnachoweza nikuua watoto na wamama wasio na hatia
Hamas elf nane kama mngekua mmewaua hata mateka wenu wale magaidi mungekua mshawakomboa wote
Endeleeni kupigana muache kuomba omba mateka wenu waachiwe kawakomboeni
 
Ina maana sioni au labda sijaielewa vizuri taarifa?
Ndio maana ni kakwambia leta ushahidi
Unaweza ukawa na macho ila usione
Unaweza ukawa na akili ila usielewe na hili ndio limekukuta wewe kwenye huu uzi
Soma uelewe au ueleweshwe kijana ili uelewe
 
Israel kuondoka Gaza hilo sahau maishani mwako,bado wapo sana ni mpaka malengo ya kuifuta Hamas itimie.
Israhell anaondoka ghaza nisuala la muda tuuu
Kuifuta hamas hilo suala lifute kichwani mwako
Hamas haifutiki ile
 
Israhell anaondoka ghaza nisuala la muda tuuu
Kuifuta hamas hilo suala lifute kichwani mwako
Hamas haifutiki ile
Hamas ni magaidi watafutwa na watakaobaki labda wakimbilie Sinai jangwani huko wakaungane na Al nusra front waendelee ugaidi wao lakini ndani ya mipaka ya Israel hutawasikia tena

MUNGU IBARIKI ISRAEL
 
Kama hana haja na mateka kwann anafanya majadiliano ya kuwaachia baada ya kushindwa kuwapata?

Alafu nyinyi si ndo mlikuwa mnataka Urusi ishinde Ukraine yenye ukubwa karibia sawa na Tz na yenye rundo la silaha za kisasa kutoka kwa mashoga.
Lakini leo hii taifa lenu pendwa mlio kuwa mnashinda humu mnalikuza sasa ni miezi 3 linapambana na wahuni wasiozidi 30,000 wenye silaha za kienyeji kwenye kieneo sawa na nusu ya kigamboni walicho kizunguka kila sehemu na hakuna dalili yeyote ya kuwashinda.

Au mlidhani vita ni kukata mauno na kutikisa matako?[emoji2][emoji3][emoji2][emoji3][emoji2].

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Heheeeeee
Walijua vita ni ufirauni wanaoenda kuufanya kwa wanaume kwa wanaume kuoana wakiwa wanapigana na wanaume wenzao huko field
Israhell wanamgambo wake wananuka
 
  • Thanks
Reactions: ITR
Hamas ni magaidi watafutwa na watakaobaki labda wakimbilie Sinai jangwani huko wakaungane na Al nusra front waendelee ugaidi wao lakini ndani ya mipaka ya Israel hutawasikia tena
Endelea kupiga porojo
Lini hamas walikua ndani ya mipaka ya israhell
Hamas ukiwaona ndani ya mipaka ya israhell ujue wanaenda kupiga tukio na kurudi
Mukiifuta hamas uje kunambia nimekaa hapa nakungoje
Hamas kundi teule
 
Mlituaminisha kuwa Israel hawawezi vita ya ardhini uso kwa uso, lakini sasa hivi Hamas wanaomba vita viishe kabisa ili wawaachie mateka. Sasa kama Hamas wana uwezo wa kupambana ardhini, si wangekubaliana na wazo la kuendeleza vita ili waliteketeze jeshi la Israel?
Toka vita vya aridhini vianze jeshi la Israel limefanya nini? Mashambilizi tunayoyaona kutoka Gaza upande wa Israel yanafanywa kwa kutumia anga ili kuwapa urais wanajeshi wa aridhini lakini bado wanafeli. Israel inachofanya ni kubomoa majumba na kuuwa raia tu basi, Israel hapigani vita ila anachofanya ni uharibifu wa kibinadamu
 
Netanyau amekalia kuti kavu. Uwezo wa kuwakomboa mateka wakiwa hai ni 0% na jambo hili linakwenda kumpoteza mazkma kwenye siasa za Israel
Haka ka, nchi jeuri Sana, kikundi cha watu, kutoka ulaya! Kinaua watu kama kuua panya vile, bila msaada wa ulaya na USA, Israel ingekuwa imeishafutika kabisa.
Suluhisho hapa, ni gawanya nchi, zipatikane mbili,Palestine na Israel, au iwe nchi moja, yenye makabila mawili, jews and Arabs!
Waige mfsno wa South Afrika, boers walitaka kuwa na nchi Yao peke Yao! Weusi wakakiwasha balaaa, inabidi wazungu waombe po! Leo ni nchi moja, au jews wote waliopo Israel(7+Million), waende ulaya, au USA! USA kuna jews 20M!
 
Back
Top Bottom