Hamas yasema haitawaachilia tena mateka hadi Israel ikomeshe vita

Hamas yasema haitawaachilia tena mateka hadi Israel ikomeshe vita

Hamas ni wapumbavu
Sio wapumbavu bro, tema mate chini! Wanapigsnia nchi Yao,
Babu zao walifukuzwa kwenye ardhi Yao,unazaliwa unakulia kambini, kila kitu cha maisha yako, anakitawala mwingine, unakula nini,unafanya kazi gani, shughuri zako zote za uchumi, anaamua MTU mwingine! Bro ni maisha magumu Sana, yaani watu wengine wanaamua ama wakukatie huduma ya maji, au uende hospitsri au ufe,! Lazima uta data tu! Walichofanya Hamas October 7! Ni sawa kabisa, ukikiangslia kwa muktadha wake, not in isolation!
South Afrika, ANC, ya Mandela, iliwafsnyia makaburu maumivu zaidi ya hayo! Walilipua majengo, viwanda nk!
Kama kuna Mungu(wa kikristo) anayefurahi kuona watu wanavyouliwa Gaza, watoto wana wake, nk, huyo siwezi kumuabudu! Israel na IDF yake, wakipokea kichapo kutoka kwa Hamas, hasira zao wanazimalizia kwa raia, Jana, wamevsmia makaburi,wamefukua fukua miili yote na kuisaga na ma bulldozer!
It's hard to comprehend a normal human mind doing something like that!
 
Mlituaminisha kuwa Israel hawawezi vita ya ardhini uso kwa uso, lakini sasa hivi Hamas wanaomba vita viishe kabisa ili wawaachie mateka. Sasa kama Hamas wana uwezo wa kupambana ardhini, si wangekubaliana na wazo la kuendeleza vita ili waliteketeze jeshi la Israel?
Walisema Israel hatoingiza mguu wake gaza kupambana mkono kwa mkono na HAMAS, sasa hivi hawaamini macho yao.
 
Netanyau amekalia kuti kavu. Uwezo wa kuwakomboa mateka wakiwa hai ni 0% na jambo hili linakwenda kumpoteza mazkma kwenye siasa za Israel
Kipaumbele cha Israel siyo kukomboa hawa mateka, tena wanatumiwa kama kisingizio cha kuendelea kuua Wapalestina na kuiharibu Gaza yote.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Kama hana haja na mateka kwann anafanya majadiliano ya kuwaachia baada ya kushindwa kuwapata?

Alafu nyinyi si ndo mlikuwa mnataka Urusi ishinde Ukraine yenye ukubwa karibia sawa na Tz na yenye rundo la silaha za kisasa kutoka kwa mashoga.
Lakini leo hii taifa lenu pendwa mlio kuwa mnashinda humu mnalikuza sasa ni miezi 3 linapambana na wahuni wasiozidi 30,000 wenye silaha za kienyeji kwenye kieneo sawa na nusu ya kigamboni walicho kizunguka kila sehemu na hakuna dalili yeyote ya kuwashinda.

Au mlidhani vita ni kukata mauno na kutikisa matako?[emoji2][emoji3][emoji2][emoji3][emoji2].

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Israel anapigana vita vya kistaarabu sana, mpaka anatangaza wapi anapiga na njia salama za kutokea ni zipi. Hamas nao wanatumia njia hizi hizi wakiwa wamejificha nyuma ya raia.
Netanyahu aliweka wazi kuwa vita ikiisha haitakuwa tena ni ile Gaza watu wanaijua.
Kukomboa mateka siyo kipaumbele cha Israel, mataifa ya nje ambayo raia wake walitekwa pamoja na maandamano ya ndani ya ndugu.wa mateka ndio vinasababisha Israel kugusia kuachiliwa kwa mateka. Takea mwanzo Netanyahu alitaka kukharibu Gaza kwa ujumla wake.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hamas ni wapumbavu
Nadhani Mpumbavu mkubwa kabisa ni wewe usiyetambua kuwa kuna watu wamedhulumiwa na wanaendelea kudhulumiwa ,kunyanyaswa na kukimbizwa ovyo katika ardhi yao wanyewe.Hawa wanajitetea na kutafuta haki yao kwa namna yoyote ile wanayoweza,iwe kwa dhahiri au hata kwa kuvizia,kuteka na hata kuua.Wamekata tamaa hawa.
 
Hakuna alieomba vita vikome kama yupo leta ushahidi
Vipi kwanza mshaifuta hamas ama mshakomboa wale magaidi wenu waliotekwa

Ushahidi wa kwanza huu hapa kutoka kwa Malaria 2 . Najua huyu ni lialia wa Hamas kuliko wewe. Ukichagua kutokumwamini Kuna sources zingine za habari

Hamas inasema kuwa makundi ya Wapalestina yamepinga matarajio ya kuachiliwa zaidi kwa mateka hadi Israel ikubali kumaliza vita Gaza.

Katika taarifa ya Kiarabu iliyosambazwa kwenye Telegram, Hamas ilisema: "Kuna uamuzi wa kitaifa wa Palestina kwamba kusiwe na mazungumzo kuhusu wafungwa au makubaliano ya kubadilishana mateka isipokuwa baada ya kusitishwa kikamilifu kwa uchokozi wa Israel".



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmekimboa wateka wangapi mpaka Muda huu
Au mshaifuta hamas maana haisikiki kabisaaa
Mmeua 20k hongereni sana endeleeni kuwaua mpaka muwamalize
Halaf nyie mtabakia milele hamta kufa 😀
Hivi kumbe ni kweli wapalestina 20K wameuwawa mi nilidhani ni propaganda tu za vyombo vya habari nilidhani waliouwawa ni wachache sana maana hamas wanailinda sana Gaza. Dah polen sana ustaadh
 
Kuiiharibu Gaza ni kama kujirisha upepo, waarabj wana pesanyingi sana za kuijenga hiyo Gaza mara kumi ya ubora uliokua nao hapo kabla
Kuijenga si mpaka Israel aruhusu? mbona sasa hivi misaada kibao haiwafikii wapalestina mpaka wanakondeana kwa njaa na huku mapesa ya waarabu yapo?
 
Si unajua hawa ni wana wa Ibilisi yule baba wa uwongo hivyo uwongo ni DNA yao.
Palestina kuna njaa kali mpaka wapalestina wanavunja maghala ya misaada na kuiba vyakula vya misaada ila wapalestina wa mchambwima na wa mpalange wamekaza fuvu hamas imeshinda vita🤣😅😂
Kiongoz wa hamas analialia kuiomba Israel isitishe vita 100% na isirudi tena kuwadunda, Israel anamwambia hilo asahau kipondo kitaendelea tena kwa muda mrefu yaan hii vita ni kumbukumbu la milele linawekwa ili wapalestina watakaobaki hai wasimulie kwa watoto wao watakaozaliwa kuwa wao wazazi waliwachokoza Israel na wakapewa full dose ambayo hawatoisahau mpaka wanaenda kuzimu kuonana na mudi na al hussein.
Wacha kuleta ujinga hapa fatilia story alianza kuomba vita visimame ni Israel alituma mkubwa wa Mossad Qatar, we unaonyesha huwa una lala hujui dunia inavyo kwenda.

Dogo kwa your information Israel kakimbia Gaza na katoa nchi zilizo msaidia ni hizi hapa chini
FRANCE, ITALY, USA,UK, INDIA,CANADA,NORTH IRAQ MA KURDI, THAILAND, UKRAINE WAKIMBIZI WALIO KUWA POLAND, POLAND, HUNGARY, ARGENTINA, HONDURAS, ETHOPIA,SOUTH SUDAN msisahau pia wako wa Tanzania, Kenya

Kikosi cha Golan kakikimbixa wasimalizwe wote, atawachia hapo hao walio enda kumsaidia kwa kulipwa 3909 Euro kwa week


View: https://youtu.be/o5w5DNWURSA?si=dfM01XtiAxHMVvew
 
Hadi sasa Israel inaendelea na msako, wala haijawasikiliza Hamas na ombi lao. Hamas ndio wameleta ombi, tena sio la kusimamisha vita kwa muda mfupi, bali wanataka vita viishe
Hamas hajampa mtu ombi
Kama anataka watu wake akawakomboe mwenyewe
Kama hawezi aendelee na vita mpaka kieleweke
Kama anataka watu wake apewe inatakiwa afate masharti ya wanaume wa hamas wanataka nn
Hamas kamatieni hapo hapo
 
Hao waliowateka wakiwemo Watanzania wawili, walikuwa wapi?
Ndio maana juu kule nilikwambia hamas wanaenda ghaza kwasababu maalum na kurejea
Watanzania wawili walitekwa na hamas una ushahidi?
 
Hivi kumbe ni kweli wapalestina 20K wameuwawa mi nilidhani ni propaganda tu za vyombo vya habari nilidhani waliouwawa ni wachache sana maana hamas wanailinda sana Gaza. Dah polen sana ustaadh
Tushapoa kila nafsi itaonja umauti nisuala la muda tuuu
Ndio wazayuni wanachokiweza tu kuua watu wasiokua na hatia
Hawana jengine wanaloliweza maana kupambana na hamas wameshindwa
 
Wacha kuleta ujinga hapa fatilia story alianza kuomba vita visimame ni Israel alituma mkubwacwa Mossad Qatar we unaonyesha huwa una lala hujui dunia inavyo kwenda.

Dogo kwa your information Israel kakimbia Gaza na katoa nchi zilizo msaidia ni hizi hapa chini
FRANCE, ITALY, USA,UK, INDIA,CANADA,NORTH IRAQ MA KURDI, THAILAND, UKRAINE WAKIMBIZI WALIO KUWA POLAND, POLAND, HUNGARY, ARGENTINA, HONDURAS, ETHOPIA,SOUTH SUDAN msisahau pia wako wa Tanzania, Kenya


View: https://youtu.be/o5w5DNWURSA?si=dfM01XtiAxHMVvew

hiki ulichoandika ni sawa tu na zile hadithi zenu za paukwa pakawa
 
taarifa ya Kiarabu iliyosambazwa kwenye Telegram
Hakuna kuachiwa mateka na Wayuzani wa Gongolamboto tumesema kichapo kinaendelea.kaeni na Mateka wenu ila chamoto mtakiona, nyie na mateka humohumo
Mnaleta ujinga hapa.
 
Back
Top Bottom