HAMAS yaua askari 21 wa Israel baada ya kuwashushia makombora mazito

HAMAS yaua askari 21 wa Israel baada ya kuwashushia makombora mazito

Ni vijana wadogo sana ndio maana wanachapika kirahisi, walitakiwa waajiri wababe walioshiba na wenye miaka 40+, ni bora wangeomba usaidizi kwa nchi za kiafrika
 
HAMAS ni jina tu ila Movement yenyewe ni Ukombozi wa wapalestina.
Unaweza kupiga jina liitwalo HAMAS likapotea ila kesho movement itaendelea kwa jina jingine!
Hiyo next movement watafanyia wapi? Wakati mpaka Israel atakapotoka Gaza kutakuwa hakuna jengo lolote lililosimama( siyo la shule wala la hospital). Yaani kifupi IDF haitoki mwaka huu wala mwakani hapo Gaza
 
Kwani sasa hv movement wanafanyia wapo na israel wapo hapo hapo gaza na makombora wanarusha na soldiers wanauwawa kila siku israel hamna kitu wamepambwa sana tpdf km huwa wanaenda israel kwenye trainning watafute sehemu nyingne ya kwenda jeshi linapgwa na mgambo mwezi 3 huu eneo km kigamboni limewashinda
 
Askari wa Israel walikuwa karibu na Jengo, huku wamehifadhi mabomu ya ardhini. Vijana wa HAMAS wakawaweka katika rada zao, wakawashusia makombora ya RPG yaliyopelekea mlipuko na Askari takriban 21 wa Israel wakafariki. Hii imetokea jana tarehe 22/1/2024 na Imeripotiwa leo na gazeti la Israel la Jerusalem Post.

source: Hamas causes buildings collapse - 21 IDF soldiers dead, several injured

------------------------------------------------------------------------------------------------------

Hamas forces on Monday fired a rocket propelled grenade on multiple adjacent structures which, along with landmines which the IDF forces had collected and brought into the buildings, caused a total collapse, which in turn killed 21 soldiers and injured several others.

The incident occurred around 4:00 p.m. in al-Muasi in central Gaza.

In addition, a separate rocket propelled grenade was fired on an IDF tank which killed two IDF soldiers and injured two others.

It was unclear if the soldiers had violated procedures by bringing the landmines into the structures with them and also unclear how much the collapse of the building was caused by the RPG versus the secondary landmines explosions.

The IDF forces who were harmed were mostly reservists assigned to clear certain areas of dangerous items, such as mines.

Rescue activities went on for hours with the brigade commander having been on site from the start of the incident.

It was unclear what happened to the Hamas attackers.

The IDF released the names of 10 soldiers of the 21 that were killed.

Maj.-Gen. (res.) Matan Lazar, 32, from Haifa, a soldier from the IDF's 6261 Battalion, 261's Brigade.

Maj.-Gen. (res.) Hadar Kapeluk, 23, from Moshav Mevo Beitar, and was a Class Commander in the IDF's 8208 Battalion, 261st Brigade.

Sgt.-Maj. (res.) Sergey Gontmaher, 37, from Ramat Gan, who was a soldier in the IDF's 8208 Battalion, 261st Brigade.

Maj. (res.) Elkana Yehuda Sfez, 25, from Kiryat Arba, was a soldier in the 8208 Battalion, 261st Brigade.

St.-Sgt. (res.) Yoval Lopez, 27, from the settlement Alon Shvut in the West Bank, a soldier in the 9206 Battalion, 205th Brigade.

Maj. (res.) Yoav Levi, 29, from the city Yehud-Monoson in central Israel, who was a soldier in Battalion 8208, 261st Brigade.

Maj. (res.) Nicholas Berger, 22, from Jerusalem, who was a soldier in the 8208 Battalion, 261st Brigade.

Maj. (res.) Cydrick Garin, 23, from Tel Aviv-Yafo, who was a soldier in the 8208 Battalion, 261st Brigade.

St.-Sgt. (res.) Rafael Elias Mosheyoff, 33, from the town Pardes Hanna-Karkur near Haifa, who was a soldier in the 6261 Battalion, 261st Brigade.

St.-Sgt. (res.) Barak Haim Ben Valid, 33, from Rishon Lezion, class commander in Battalion 6261, Brigade 261.
Sio mchezo ni balaa hiyo ndio maana ya vita,hamas wasubiri majibu wasianze kulalamika kipondo kikikolea
 
Hiyo next movement watafanyia wapi? Wakati mpaka Israel atakapotoka Gaza kutakuwa hakuna jengo lolote lililosimama( siyo la shule wala la hospital). Yaani kifupi IDF haitoki mwaka huu wala mwakani hapo Gaza
Kama watakaa hapo muda mrefu wajue kuwa gharama ya kukaa hapo kwa muda huo ni vifo vingi. Kwa hiyo wana choice ya kuondoka waponye uhai wao au kufa. Hii vita imekuwa ngumu ghafla. Ushauri wangu wangetafuta njia bora ya exit kuliko kuendelea kuyaweka hatarini maisha ya vijana wadogo wenye miaka 20 - 32.
 
Wakiondoka inakuwa safe heaven ya ugaidi. Mojawapo ya garama za vita ni loss of lives. Its just a matter of comparison anachokufanya Israel kila siku kinaiimalisha Hamas au kinaidhoofisha? AMINI NAKUAMBIA HAMAS KUNA SIKU IJAYO ISIYO NA JINA WATAKUWA HAWANA HATA RISASI HATA MOJA....UKI FIRE RISASI ZINAPUNGUA KWENYE MAGAZINE NA HUNA ACCESS YA KU REPLACE HUKO KWENYE HANDAKI. RPG NA BUNDUKI NA VILIPUZI VYOTE VILIPITA KWA MAGENDO MPAKA WA RAFAL( GAZA NA MISIRI) KWA SASA NI TOTALLY IMPOSSIBLE. HATA ROLI LILILOBEBA MAJI YA KUNYWA LINAKAGULIWA MPAKA KWENYE AIR CLEANER.
 
Upo sahihi kabisaa mkuu
 
Hata ikae miaka 50 ila itatoka tu sababu vita haitasimama yaani
Utawapa wew RPG? Hemu achana na akili za Mudy tumia zako Zaki mbagala mbagala angalau kwa nusu saa. YAAANI WEW NA FAMILIA YAKO MNAONA HAMASI ATAIBUKA KIDEDEA KWENYE HII VITA?
 
Haiwapunguzii seacefire hamas kama kubondwa kabondeka kweli kweli..........pale mpaka wainuke tena miaka 30 ya kubaka..............hapo ni majengo bado miundo mbinu mingine
Punguza hasira, hata wakifa wote haikuzidishii wala haikupunguzii kitu, wale ni mashoga tu wananuka mavi.
 
Kwani hizo walizonazo niliwapa mie ewe mzayuni
Kwani wewe na familia yako mnadhani LGBTq nation's ndio wataibuka kidedea?
Majibu mepesi yasiyo na logic. Hemu nikuulize ewe gaidi mnalilia chakula( ubwabwa na chapati) kwani zamani mlikuwa mnavipata wapi? Aliyezuia msipate maji,mafuta,dawa na chakula ndo atazuia msipate hata risasi ya bastola.
 
Back
Top Bottom