green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
WanamgamboIsrael wana vituko sana yaani maj general ana miaka 23 hilo jeshi kaingia lini hayo mafunzo mpk kamaliza muda gani ndio maana wana chapika tu hawana uzoefu wowote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WanamgamboIsrael wana vituko sana yaani maj general ana miaka 23 hilo jeshi kaingia lini hayo mafunzo mpk kamaliza muda gani ndio maana wana chapika tu hawana uzoefu wowote
Inahusiana vipi na vita dhidi ya ugaidi?Sasa hivi tena wayahudi sio wateule tena?
Kwani gaidi Si huyo aliyetoka Ulaya akaja kuuwa watu na kuchukua ardhi zao ambao tunaambiwa eti ni wateule wa Mungu ,kwa hivyo wako free kufanya watakalo na ndio wanabandikana papuchi 😝😝😝😝Inahusiana vipi na vita dhidi ya ugaidi?
Ila Israel ina wanajeshi wazembe sana sijawahi kuona!Sasa hivi tena wayahudi sio wateule tena?