HAMAS yaua askari 21 wa Israel baada ya kuwashushia makombora mazito

HAMAS yaua askari 21 wa Israel baada ya kuwashushia makombora mazito

Nimeshakuambia hakuna vita isiyokuwa na vifo Wala majeruhi huko Russia kwenyewe vifo na majeruhi havikosekana tena yy anapiga kutokea mbali sembuse IDF walioamua kuingia nyumbn kwa magaidi?

IDF wanasonga mbele ndio, Niko naangalia Aljazeera muda huu wanasema Khan Younis ngome kuu ya Hamas imezungukwa na IDF, vita vilianzia Southern Israel watu wakala kichapo wanakimbilia Gaza wanaume wakawafuata huko huko wakaanzia north Gaza wamesafisha wakaja Gaza City msako ukaendelea na sasa watabe wapo Khan Younis southern Gaza kama sio kusonha mbele ni nini?
Kumbe na wateule huwa wanakufa ?
Alafu Aljazeera wao wanaripoti wanacho ambiwa na pande zinazo shiriki vita alafu yeye ana ripoti tu.

Alafu hamas hakuna walipo omba ushitishaji wa mapigano bali wameweka mashariti yao ili kuachiwa mateka Israel imeyakataa, Israel na yenyewe ikatoa mapendekezo yake na Hamas wakayakataa hivyo hivyo.

Mfadhili mkubwa wa Israel Marekani juzi katoa tathimini ya kijasusi amesema ni % 15 mpaka 20 tu wa wapiganaji wa Hamas ndo waneuawa au kujeruhiwa tangu kuanza vita ,sasa kama nguvu na gharama zote zilizo tumika wameishia kuuwa asilimia 20 tu ya wapiganaji wa hamas huoni kuwa jeshi la Israel ni kikundi cha wahuni?
 
Huko irani kuna kijiji wananchi hawajawai kuangalia TV......ndio pesa wakazigawe bure kwa hamas kisa mabikira 72 yenye macho kama mayai??punguani ni wewe tu sio watu wote
Ya kwamba ww kilaza kutoka nchi inayo zalisha umeme wa megawatt 1600 uwe na tv, ila mwananchi wa Iran inchi inayo zalisha umeme wa megawatt zaidi ya 150,000 wakose tv ?au unadhani Iran kuna mgao wa umeme na maji, na shule hazina matundu ya vyoo kama linchi lako la hovyo?
 
Kwa hiyo hiyo Al Jazeera unaitizama ww mwenyewe tu wengine hatuna tv ndani kwetu?
Kuizunguka Khan yunis ni kwa mujibu wa jeshi la Israel na sio kwa mujibu wa Aljazeera , Aljazeera wao wanaripoti wanacho ambiwa.
Kabisa hata wakati ule israhell kupitia idf walipo dai kuigawa ghaza pande mbili pia aljazeera walitangaza ila kupitia kuwanukuu idf
Ila mpaka sasa hakuna ghaza ilo gawiwa wala nini
Israhell waongo sanaaaaaaaa
 
Askari wa Israel walikuwa karibu na Jengo, huku wamehifadhi mabomu ya ardhini. Vijana wa HAMAS wakawaweka katika rada zao, wakawashusia makombora ya RPG yaliyopelekea mlipuko na Askari takriban 21 wa Israel wakafariki. Hii imetokea jana tarehe 22/1/2024 na Imeripotiwa leo na gazeti la Israel la Jerusalem Post.

source: Hamas causes buildings collapse - 21 IDF soldiers dead, several injured

------------------------------------------------------------------------------------------------------

Hamas forces on Monday fired a rocket propelled grenade on multiple adjacent structures which, along with landmines which the IDF forces had collected and brought into the buildings, caused a total collapse, which in turn killed 21 soldiers and injured several others.

The incident occurred around 4:00 p.m. in al-Muasi in central Gaza.

In addition, a separate rocket propelled grenade was fired on an IDF tank which killed two IDF soldiers and injured two others.


It was unclear if the soldiers had violated procedures by bringing the landmines into the structures with them and also unclear how much the collapse of the building was caused by the RPG versus the secondary landmines explosions.

The IDF forces who were harmed were mostly reservists assigned to clear certain areas of dangerous items, such as mines.

Rescue activities went on for hours with the brigade commander having been on site from the start of the incident.

It was unclear what happened to the Hamas attackers.


The IDF released the names of 10 soldiers of the 21 that were killed.

Maj.-Gen. (res.) Matan Lazar, 32, from Haifa, a soldier from the IDF's 6261 Battalion, 261's Brigade.

Maj.-Gen. (res.) Hadar Kapeluk, 23, from Moshav Mevo Beitar, and was a Class Commander in the IDF's 8208 Battalion, 261st Brigade.

Sgt.-Maj. (res.) Sergey Gontmaher, 37, from Ramat Gan, who was a soldier in the IDF's 8208 Battalion, 261st Brigade.

Maj. (res.) Elkana Yehuda Sfez, 25, from Kiryat Arba, was a soldier in the 8208 Battalion, 261st Brigade.

St.-Sgt. (res.) Yoval Lopez, 27, from the settlement Alon Shvut in the West Bank, a soldier in the 9206 Battalion, 205th Brigade.

Maj. (res.) Yoav Levi, 29, from the city Yehud-Monoson in central Israel, who was a soldier in Battalion 8208, 261st Brigade.

Maj. (res.) Nicholas Berger, 22, from Jerusalem, who was a soldier in the 8208 Battalion, 261st Brigade.


Maj. (res.) Cydrick Garin, 23, from Tel Aviv-Yafo, who was a soldier in the 8208 Battalion, 261st Brigade.

St.-Sgt. (res.) Rafael Elias Mosheyoff, 33, from the town Pardes Hanna-Karkur near Haifa, who was a soldier in the 6261 Battalion, 261st Brigade.

St.-Sgt. (res.) Barak Haim Ben Valid, 33, from Rishon Lezion, class commander in Battalion 6261, Brigade 261.
Hawa Wanamgambo wa Israeli wataisha maana wanachapwa shaba kama nyumbu
 
Back
Top Bottom