HAMAS yaua askari 21 wa Israel baada ya kuwashushia makombora mazito

Kumbe na wateule huwa wanakufa ?
Alafu Aljazeera wao wanaripoti wanacho ambiwa na pande zinazo shiriki vita alafu yeye ana ripoti tu.

Alafu hamas hakuna walipo omba ushitishaji wa mapigano bali wameweka mashariti yao ili kuachiwa mateka Israel imeyakataa, Israel na yenyewe ikatoa mapendekezo yake na Hamas wakayakataa hivyo hivyo.

Mfadhili mkubwa wa Israel Marekani juzi katoa tathimini ya kijasusi amesema ni % 15 mpaka 20 tu wa wapiganaji wa Hamas ndo waneuawa au kujeruhiwa tangu kuanza vita ,sasa kama nguvu na gharama zote zilizo tumika wameishia kuuwa asilimia 20 tu ya wapiganaji wa hamas huoni kuwa jeshi la Israel ni kikundi cha wahuni?
 
Huko irani kuna kijiji wananchi hawajawai kuangalia TV......ndio pesa wakazigawe bure kwa hamas kisa mabikira 72 yenye macho kama mayai??punguani ni wewe tu sio watu wote
Ya kwamba ww kilaza kutoka nchi inayo zalisha umeme wa megawatt 1600 uwe na tv, ila mwananchi wa Iran inchi inayo zalisha umeme wa megawatt zaidi ya 150,000 wakose tv ?au unadhani Iran kuna mgao wa umeme na maji, na shule hazina matundu ya vyoo kama linchi lako la hovyo?
 
Kwa hiyo hiyo Al Jazeera unaitizama ww mwenyewe tu wengine hatuna tv ndani kwetu?
Kuizunguka Khan yunis ni kwa mujibu wa jeshi la Israel na sio kwa mujibu wa Aljazeera , Aljazeera wao wanaripoti wanacho ambiwa.
Kabisa hata wakati ule israhell kupitia idf walipo dai kuigawa ghaza pande mbili pia aljazeera walitangaza ila kupitia kuwanukuu idf
Ila mpaka sasa hakuna ghaza ilo gawiwa wala nini
Israhell waongo sanaaaaaaaa
 
Hawa Wanamgambo wa Israeli wataisha maana wanachapwa shaba kama nyumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…