Jeshi la Israel linakabiliwa na mapambano makali kutoka kwa wapiganaji wa Hamas ndani ya Gaza.
Masaa 24 yaliyopita Israel imepoteza zaidi ya wanajeshi 24 kwa kuuawa na wapiganaji wa Hamas
huku wengine wakitekwa nyara.
Hali hiyo imepelekea Leo hii kuanzia asubuhi Israel kushambulia misikiti, hospital na hata boti za uvuvi pwani ya Gaza ambapo maeneo yote hayo hakuna wapiganaji wa Hamas.
Shuhudia sehemu ya mapambano hayo.
NB-video zinaogofya kiasi