Abdool kwa kabisa nikuulize una kubali kuwa wayahudi wana haki ya kuwa kwenye nchi yao? Maana nyinyi Waislam kwa kuongozwa na kitabu chenu cha kishetani mmeazimia kumtafuta na kumuua myahudi popote alipo hiyo ikiwa ni takwa la kuja kiyama. Sahih Muslim Hadith 2922. Ndiyo maana hata kwenye ugomvi wa sasa hivi, viongozi wenu wanarusha video clips wakisema “the hour is close” pia chuki hizo za kuua wayahudi mmezipandikiza kwa watoto wenu tangu wako wadogo kabisa.
Ukiangalia kwenye Quran na Biblia, hakukuwa na Taifa wala watu wanaitwa Wapalestina; ila vitabu vyote vinatambua watu wanaitwa wayahudi na taifa la Israel. Quran 5:21 & 2:47. Ingawa Waroma ktk mwaka 70CA walitaka kulifutilia mbali taifa la Israel, bado kwa Karne zote, mpaka karne ya 19 kumekuwapo wayahudi wakiishi katika Holy Land. Pia ni Waroma hao hao ndiyo walianzisha jina la Palestine Land, ambayo ilijumuisha territory zao za Syria ya Kusini na Holy Land. Ushahidi kuwa Wayahudi walikuwepo ktk Holy Land pia unapatikana kwenye historia ya utawala wa Otoman Empire mwaka 1500, ambapo pia utawala huo kutokana na ufanisi wa wayahudi katika kuleta maendeleo alichochea wayahudi zaidi warudi nchi hiyo. Baada ya vita ya kwanza ya Dunia Ottoman Empire was defeated na League of Nations ikawapatia Britain the mandate for Palestine land and transjordan maeneo ambayonyalitwaliwa kutoka OTTOMAN EMPIRE. NB mpaka wakati huo hakukuwa na independent state ya Arab/Israel Paledtine wala Jordan na Wala Lebanon. Kwa hiyo mipaka ya nchi ilikuwa bado inaweza kuwa redrawn.
TUJE HAPA EAST AFRICA
Je ulipata kuisikia German East Africa, German Deutsch-Ostafrika? Hiyo ilijumuisha Tanganyika, Burundi, Rwanda na Kasehemu ka kaskazini mwa Mozambique. Baada ya WW 1, mjerumani aliposhindwa, kilitokea kama kilichotokea kwa Ottoman Empire kwa nchi za Lebanon, Palestine na Transjordan; lebanon walipewa Wafaransa na Palestine land Britain. Hapa petu mipaka ikabidi iwe redrawn upya na kufanya nchi za Burundi, Rwanda na Tanganyika ambapo Rwanda na Burundi walipewa Wabelgiji na Tanganyika akapewa Muingereza. JE BAADA YA UHURU WETU ULIKUJA SIKIA YEYOTE KUTOKA NCHI HIZI AKIKATAA EXISTANCE YA NCHI MWENZIE?
THE SAME THING HAPPENED TO THE Holy Land ambapo mipaka ilikuwa redrawn ili kuwe na Jewish Palestine State na Arab Palestine State. WAISLAM WA KIARABU KUTOKANA NA CHUKI ZAO ZA KIQURAN walikataa na kuanzisha vurugu. Uthibitisho kuwa suala hilo limejikita kwenye dini yao, uvamizi uliofanywa May 15, 1948 siku moja tu baada ya wayahudi kujitangazia Uhuru, ulifanywa na mataifa yote ya Kiislam ya mashariki ya Kati wakitumia mipaka ya Lebanon, Misri na Jordan. Hiyo vita Wayahudi walishinda na kujiongezea Eneo kutoka 56% mpaka kitu kama 71% sasa ati unauliza kama walikuwa na uhalali wa kujiongezea mipaka!!! Tumia akili kidogo Abdool. Kwani kuliisha kuwa na mipaka wakati huo katika hiyo nchi au ndiyo kwanza mipaka ilikuwa inakuwa redrawn? Waarabu wakapoteza hiyo opportunity kwa ubishi wenu wa Kiquran.
Halafu unapinga uhalali wa kujitwalia maeneo ya nchi gombani wakati wa vita!!! Wewe kweli unajua sheria za kimataifa za vita? Unaijua International Law on Belligerent Occupation?
Ati unadema mbona Nyerere hakujiongezea mipaka. Yaani hata ubongo wako hauwezi kuunganisha scenarios kuona kuwa kuingia Uganda na kuistall another government ni equivallent na
kujiongezea mipaka? Tumia akili acha kufikiri kama una kariri Quran. Gest ya hiyo sheria ni kujilinda dhidi ya hostile states pale amani ya nchi yako inapotishiwa.
Nyinyi Waislam hamjiulizi tu kwanini Saudia na UAE hamna hata mtu anaandamana kutokana na vita ya Gaza? Wenzenu wameghamua kuwa agenda iliyo nyuma ya Pazia kwa Hamas na Iran ni Vita ya Kidini ambayo wakiiendekeza itaharibu hata maendeleo waliyoyapata.
View attachment 2804824