Kama kweli jina lako ni Francis na kwamba unaishi kulingana na jina lako nikwambie hivi;Kwanini sasa mazayuni yalizidisha mipaka yaliyopewa na umoja wa mataifa mwaka 1947?
Ulimwengu huu unaongozwa na Shetani na kwa Bahati mbaya Allah ndiye yule Shetani mkubwa Quran 15:39 ndiye anasimamia propaganda za waislam na ndiyo maana zinaenea sana. Upande wake Mungu na Yesu wao wanayuonya tu kuwa kama hamfuati mafundisho ya biblia, basi ile NURU YA KIRISTO haitawaangazia 2 Corinthians 4:4
Tukija kwenye swali lako ni kuwa huo mwaka 1947 baada ya UN Resolution kuanzisha mataifa mawili, Mataifa ya Kiarabu yakitumia mipaka ya Jordan na Egypty yaliamua kuvamia israel ili kulifutilia mbali taifa hilo. Wakati wanafanya hivyo wakawaambia waarabu wenzao waliokuwa wakiishi miongoni mwa Wayahudi waondoke ili wafanye hayo mauaji. Kuna baadhi walibaki ndiyo hao israel ikawachukua kama waisraeli wenzao. Baada ya vita hiyo israel ilijiongezea eneo lao la utawala mbali na kile waligawiwa na UN hususani maeneo ya kusini NA KASKAZINI karibu na Lebanoni. Walichofanya Wayahudi kinakubalika ktk sheria za kimataifa za vita. Walikuja tena kujiongezea maeneo hayo pale waislam wa Kiarabu walipolianzisha mwaka 1967 ambapo wakajitwalia west bank kutoka Jordan, Gaza na Sinai kutoka Egypty. Baadae wakaona isiwe shida sisi tunachotaka ni kuishi kwa Amani na majirani zetu. Hivyo wakawarudishia Egypty Sinai na Gaza, lakini Egypty ikakataa katakata Gaza hivyo ikachukua Sinai. Baadae israel ikawaambia PLO wanaweza kuwa na self autonomy west bank. Mwaka 2005 ikaamua pia kuwaruhusu PLO kuwa na self autonomy huko Gaza. Lakini nikwambie kitu waarabu ni corrupt, hivyo wananchi wa gaza wakaona labda Hamas kwa siasa zao za kiislam wanaweza kuwa wazuri-kumbe ni kama talabani. Na ndiyo mpaka leo wanajutia walichofanya. Kiujumla Waisrael hawakuwa kabisa na nia ya kujiongezea eneo la kiutawala, ila waarabu hila zao za KIQURAN ziliwalazimisha waisrael kuingia vitani na hatimaye kujitwalia maeneo ili kujiongezea ulinzi. MFANO mwingine halisi ni milima ya Golani ambayo waliitwaa kutoka Syria. Milima hiyo israel ni vigumu sana kuirudisha kwa wstajihatarishia sana usalama wao. Imagine hiyo milima ingekuwa chini ya Syria sasa hivi, ina maana Hezibulah wangefanya wanachotaka kwakuwa wako juu na wanaiangalia israel kwa chini