Hamasa kubwa kwa wananchi kujitokeza kupiga kura sanjari na zoezi la kuwaengua wagombea wa upinzani kwa fitina Je CCM inataka kuwaminisha nini Wadau

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
3,384
Reaction score
2,073
Nimeshangazwa na hii style ya hiki chama

Wanahamasisha sana watu kupiga kura Hali inayowafanya tuwaone kuwa wanataka kushindanishwa kwenye sanduku la kura
Lakini ajabu ni kuwa wanawaengua washindani wao Tena kwa dhuluma tuu

Sasa mie najiuliza na jibu nalitaka
Hivi CCM wanataka nini katika chaguzi hizi
 
20241109_130506.jpg

Wamewakata wapinzani kwa kuandika ni wajasiriamali huko ccm wameandika kazi hiyohiyo lakini wamekubali kuwateua. Ccm ni wajinga Sana na wafuasi wao.
 
CCM hata siku ikifa isizikwe iwekwe makumbusho waione vizazi na vizazi
Chama Cha maajabu pengine kupita vyote Dunia
 
Back
Top Bottom