Hamis Chaurembo: Dereva mjinga aliyeuwa abiria kwa mwendokasi Kigoma

D

Aah kama ni Probox nayo ni balaa inatembea mno harafu gari ya chini kuona kona na gari ya upande mwingine ikiwa mwendokasi inataka mtu kweli...nasikia hizo gari za kibondo zinaruka sio kukimbia kumbe wanaziita Mchomoko...
Mimi nikiwa kwenye gari zinazoendeshwa na madereva kama hawa napiga kelele kweli kweli. Mara kadhaa nimegombana na madereva wa aina hii na kuna siku nimeshuka na kusubiri gari nyingine.
 
Yaani huko usafiri wa chap ni probox tu, barabara yenyewe sasa masika madimbwi, kiangazi vumbi jekunduu ajali ni kugusa tu
 
Nimewahi kupanda gari lake huyu jamaa. Nilijitahidi sana kumcontrol kuhusu mwendo. Abiria wenzangu waliishia kunidhihaki tu ati naogopa kufa wakati hukukwepeki. Lakini ilisaidia kwani alipunguza mwendo baada ya kuwa mkali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…