Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Hapa kidogo Ina make sense tukisema anatumia dakika 25 Kwa umbali wa kutembea dakika 45 mpaka 1 hourKakonko to Kibondo ni dk 45 to 1 hour
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kidogo Ina make sense tukisema anatumia dakika 25 Kwa umbali wa kutembea dakika 45 mpaka 1 hourKakonko to Kibondo ni dk 45 to 1 hour
Acha uongo3-6 hours
Basi za Kiswele zamani zilikuwa zinatoka Dar tena enzi hzo stendi ilikuwa ni Kariakoo kwenda Mbeya,Dar inatoka saa 12 asbh,Mbeya inaingia saa 7 mchana na ji mwendo wa Km karibia 800,wakati sikuhz basi ikitoka Muda huo Mbeya inaingia saa 3 au 4 usiku,yaani masaa si,chini ya 12Haiwezekani sehemu kwa kutembea masaa 3 au 6 utembee dk 25..
It doesn't make sense
Ujawahi kuona basi za Sauli na golden deer wakicheza ligi barabarani huku watu wakishangilia? Hii nchi ina watu wa hovyo sana. Pale mikumi ni kawaida majitu kujipanga barabarani kuangalia basi lipi la kwanza kupita kati ya golden deer na sauli huku hizo basi zikiovertake mazingira ambayo sio salama huku majitu yakishangilia.Duuh kiboko aisee yaani gari inakimbia miaka nenda miaka rudi dereva mpaka anaua na wengine ndio anaripotiwa...
Kama mwendo wa kawaida ni masaa 3-6, hakuna namna ya kutumia dk 20-25. Weka rekodi zako sawa sawaa.3-6 hours
Mpumbavu huyu kaondoka na mzee wangu.Aliyekuwa Dereva na mmiliki wa gari ndogo, Hamis Chaurembo (27) maarufu kama SIMBA ambaye amefariki baada ya kupata ajali mbaya huko Kibondo Kigoma amezikwa jana.
Ila kuna cha kujifunza hapa kutokana na maneno ya baadhi ya marafiki zake.
"Baadhi ya A.K.A alizopambwa nazo ni pamoja na 'Mwendo wa rocket', ndege ya ardhini, Hamisi on fire' Titanic icon' Sukari ya Warembo'
"Alikuwa akitumia dk 20 hadi 25 kutoka Kibondo hadi Kakonko, watu walimpenda kwasababu ya ucheshi wake, alikuwa hana baya yeye anawasha gari hata kama amepata abiria mmoja.
"Ahadi aliyojiahidi imetimia, katika kauli zake aliwahi kusema
"Siku nikipata ajali ni lazima niondoke na abiria wote".
Hapo hata Max Verstappen na Lewis Hamilton wa Formula 1 hawatoboi.Kama mwendo wa kawaida ni masaa 3-6, hakuna namna ya kutumia dk 20-25. Weka rekodi zako sawa sawaa.
Angalizo ulilotoa tumelipokea
Kibondo -Kakonko sio muda huo, ni km dakika 45 mpk saa moja. Huo ni mwendo wa kibondo-kasulu.3-6 hours
Hata kama dakika 45 ina maana kama mwendo wa kawaida tuseme KPH 80 unatumia dakika 45 hapo dakika 25 ina maana labda alikuwa anakimbia 150 KPH bila ku slow sasa kwa barabara gani Tanzania hii ukakimbia speed hiyo bila kukutana na matuta. Hapo nawazo barabara lami safi kama ulaya. Kweli barabara huko Kibondo ina quality ya mtu kukimbia 150 KPH bila kupunguza mwendo?Kakonko to Kibondo ni dk 45 to 1 hour
Hakuna umbali wa hivyo eneo hilo. Kibondo to kakonko hakuna umbali mrefu pia kwa sasa barabara ni lami tupuHaiwezekani sehemu kwa kutembea masaa 3 au 6 utembee dk 25..
It doesn't make sense
Labda kwa miguuKm 46 utembee masaa 6?
. Wote wanaosimama hapo mikumi wanakuwa wamebeti, sauli na new force zikipita waliopiga pesa wanaamia meridian,sport pesa na sehemu nyingine,Ujawahi kuona basi za Sauli na golden deer wakicheza ligi barabarani huku watu wakishangilia? Hii nchi ina watu wa hovyo sana. Pale mikumi ni kawaida majitu kujipanga barabarani kuangalia basi lipi la kwanza kupita kati ya golden deer na sauli huku hizo basi zikiovertake mazingira ambayo sio salama huku majitu yakishangilia.
Aliyesema dakika 20 basi mwongo3-6 hours
Ni probox hiyo Kaka na si Noah!!Daah hiyo Noah imekua chapati kwa mazingira hayo kupona ni ngumu sana...
pole sana mkuu, ila hata abiria nao wanachangia, unakuta driver anaendesha kwa speed hatarishi ila wapo kimya tu, matokeo ya ajali ya 140kph sio sawa na ajali ya 80kph,Mpumbavu huyu kaondoka na mzee wangu.
Mpemba na huyo boda vinahusiana vipiMkuu macho,
Yupo jamaa ni bodaboda ssahiv hana miguu yote alikatwa.
Na yeye alikuwa hivi hivi, rafiki wa karibu wakawa wanamuambia ndugu acha yule jamaa ni mpemba, lakini kuna wale wanafki wanasema unajua sheikh
Alipata ajali ile miguu ulikuwa kama mlenda ukimshika, amekatwa miguu yote sahiv yupo tu kwenye kibaiskeli.
Vijana ukweli hatusikii na wala hatutaki kuambiwa.
Nilikua na wenge mkuu nikajua usafiri wao kama Arusha/Namanga nilivyoona hiyo gari kugeuka Chapati kumbe kuna picha ya gari kabisa...Ni probox hiyo Kaka na si Noah!!