Hamis Chaurembo: Dereva mjinga aliyeuwa abiria kwa mwendokasi Kigoma

Hamis Chaurembo: Dereva mjinga aliyeuwa abiria kwa mwendokasi Kigoma

Kuna siku natokea Dodoma niko kwenye speed ya 120km/Hr ikatokea V8 ikani-ovetake. Si nikasema nile nayo ligi, kufika speed ya 160km/Hr nikasema hivi nikipata ajali kwa mwendo huu kweli nitapona?

I later slow down to 80km/Hr nikaiacha V8 ikipotea machoni kwangu

Kusema kweli Ajali nyingi huchangiwa na Mwendokasi

Mwendokasi unaua....

Poleni kwa misiba 😭
 
Inawezekana lkni nenda kokote kwenye mamlaka zinazihusiana na barabara uliza mwendo wa eneo hilo ukipanda public service
Mwendo wa public service na gari zinazozidi Tani 3 na robo ni 80km/h Tanzania nzima na kufuata alama za barabarani hakuna haja ya kuuliza kwenye mamlaka ya barabara

Tu-assume public service wanatembea constant speed ya 80 haishuki Wala kuongezeka maana yake Kila kilometre 80 watatumia saa 1 hivyo Kwa mwendo wa masaa 3 kama mtu atatembea constant speed maana yake atatembea 240km. Kwa kuwa gari haiwezi kutembea constant speed bila kupunguza au kusimama kwenye makazi basi watatumia zaidi ya masaa 3. Kwa mfano huu huyo jamaa ili atumie nusu saa tu kutembea umbali wa 80km itamhitaji atembee speed 160, sasa Kwa umbali wa masaa 3 atumie dakika 25 atatembea speed ngapi kama sio 300 ambazo haziwezekani.

Nadhani hoja yako ingependeza kama ungetuambia ni kilometre ngapi hilo eneo analosafiri
 
Back
Top Bottom