Hamis Chaurembo: Dereva mjinga aliyeuwa abiria kwa mwendokasi Kigoma

Angekufa peke,ameponza watu hawana hatia
 
Nafikilia hapa cha kuangalia kiwe mwendo na umri.
Kiuharisia,kijana au mtu wa umri wa miaka 25 hastahili kuendesha gari la kubeba abilia. Labda mwanamke sawa. Japo kuna na wazee mashalo,hawajielewi.
Na kwa umri huo,labda watu tulionusulika ajali kwa kukimbia
 
Inawezekana lkni nenda kokote kwenye mamlaka zinazihusiana na barabara uliza mwendo wa eneo hilo ukipanda public service
inawezekana vp km 45 utembee masaa 3-6? kbnd/kknk unapafahamu? sisi tunapita hapo mara kwa mara tunapafahamu vzr.. wenzio bangi wanavuta wewe unakula kbs
 
SIo Kanembwa pale kwenye ule Mteremko na kona kali hayo maeneo usipoyaheshimu lazima yakuondoe tena wakati wa barabara ya vumbi ndio ilikuwa hatari zaidi.
 
Sasa mtoa mada ndio anasema dogo alienda kwa dk 20 ina alikua anapaa?

Any way Apumzike kwa amani
Uongoo bhana Google map tu inasema ni Dakika 40...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kiukweli ndo maana Safari za misafara sizitaki, ukiongozana na mtu anapepea nawe utatamani kupepea
 
Kiukweli ndo maana Safari za misafara sizitaki, ukiongozana na mtu anapepea nawe utatamani kupepea
Wa mbele anatimua vumbi na V8, na wa Corolla anaona zote gari tu.
Kuna mtu mmoja japo alikata pumzi. Eti lengo lake mpaka atafutwe kuwa dereva wa raisi,kwa sababu kila anapoona yale magari,yana kasi. Na walio wengi,utakuta kuna gari furani anajua likishika barabara,sekunde tu limepotea. Sasa,na wa daladala anataka afanye hivyo. Hasa wenye umri mdogo
 
Amevuna alichopanda.
 
Kujinenea ni vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…