Hamis Kigwangalla inakuwaje unashindwa kudhibiti hasira zako? Ona sasa umepatwa na janga

Hamis Kigwangalla inakuwaje unashindwa kudhibiti hasira zako? Ona sasa umepatwa na janga

Mh, Mbunge wa Nzega HAMIS KIGWANGALA Leo 23-5-2023 anatuhumiwa kumpiga Risasi na kumjeruhi Kijana Anayefahamika kwa jina la SAID OMARY ambaye ni mfanyakazi wake na kupelekea kumjeruhi vibaya sana Miguuni na sehemu Mbalimbali za mwili wake Katika eneo la NHUNGUMALWA Kwimba Eneo ambalo Mh Hamis Kigwangala amekodi kiwanda cha Pamba(Cotton Ginnery)
Hii mambo ya mheshimiwa ndiyo imetufikisha hapo, kuna watu kuitwa waheshimiwa kumewafanya wajione ni Miungu watu
 
Hamis Kigwangalla amekuwa kichaa kabisa. Nakumbuka akiwa Rais wa wanafunzi pale Muhimbili, alikuwa na akili safi sana, licha ya kwamba alikuwa anapenda sana wali, kiasi cha kuhatarisha masomo yake, aisee
Watu banaa eti alikua anapenda sanaa wali kwahio aliacha masomo akafata wali sehemu😁😁😁😁
 
Juzi juzi tu waziri alipata ajali ya kizembe na binti wa watu. Binti kafa waziri anahojiwa na mkewe sio polisi.
Chenge na wasichana kwenye Bajaj. Chenge hakufanywa kitu Sana Sana alilipa faini aliyojipangia.
Leo Ni kingwangwala. Kesho mwingine ataua ataachiwa. Una fikiri wananchi watavumulia Hadi lini?
 
Kingwa ni pumbaf sana, aliiba cheti sio chake, inafaa Jamhuri iingilie kati hili tukio, lifike mahakamani, alafu anyongwe hadi kufa, kile kichwa chake kikubwa ila akili hana, pumbaf huyu, anyongwee, anyongwee
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Komredi vipi ?!!

Uko sawa kaka?
 
Alikuwa mlafi tu, ma rice cooker yalikuwa idealised, yeye rais wa chuo anapika wali, na anaishi na mdogo wake ambaye sio mwanachuo Muhimbili. Mdogo wake alikuwa akisoma CBE
Kwani Hosteli kulikataliwa kutumia rice cooker?!!!

Je wengine hawakuwa nazo ?

Kwa kuwa rais wa wanafunzi hakustahili kubana matumizi ya fedha kwa kujipikia mwenyewe?!![emoji1787]
 
Hamis Kigwangalla amekuwa kichaa kabisa. Nakumbuka akiwa Rais wa wanafunzi pale Muhimbili, alikuwa na akili safi sana, licha ya kwamba alikuwa anapenda sana wali, kiasi cha kuhatarisha masomo yake, aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom