Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Hii mambo ya mheshimiwa ndiyo imetufikisha hapo, kuna watu kuitwa waheshimiwa kumewafanya wajione ni Miungu watuMh, Mbunge wa Nzega HAMIS KIGWANGALA Leo 23-5-2023 anatuhumiwa kumpiga Risasi na kumjeruhi Kijana Anayefahamika kwa jina la SAID OMARY ambaye ni mfanyakazi wake na kupelekea kumjeruhi vibaya sana Miguuni na sehemu Mbalimbali za mwili wake Katika eneo la NHUNGUMALWA Kwimba Eneo ambalo Mh Hamis Kigwangala amekodi kiwanda cha Pamba(Cotton Ginnery)