hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Hahaha sijasema mtu bana lol
Nimestate facts tu
Pole kama nimekugusa lol
mmhhh badamu itamwagikaaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha sijasema mtu bana lol
Nimestate facts tu
Pole kama nimekugusa lol
Nyepesi nyepesi zinazoenea chinichini Hamisa amepokonywa mtoto wake wa kike na mzazi mwenzake. Japo Hamisa anadai mtoto huyo hajapokonywa Wala nini bali kachukuliwa mara moja na mzazi mwenzie.
View attachment 627836
Wadada wengi wa kibongo tuna roho dhaifu za husda mnoo!Si ndo hapo lol
Au waende gym kusweat kidogo kutasaidia
Kwan huyo domo alibakwa?eboohhh
Yes[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] team tukinao wapo?!!!
Wapambane na hali zao!
Na ndivyo ilivyo wanaacha kumbana diamond kutwaa hamisaYes
Ukipatwa ukazalishwa then mwanaume akacheat pambana na alokuzalisha(in this case domo)
Hamisa hajawahi kuwa kwenye so called committed relationship na marina,but domo?ryt ?
So apambane na domo
Ama wanataka kusema hamisa alimbaka domo?nope
Au alikuwa na mahusiano ya kimapenz na zari?nope
So give that girl a break
Yamenikuta haya personally,i know
Nilikomaa na baba wa mtoto wangu,nikampiga chini ilhal nampenda
Bt baada ya 2 years mwenyewe kajirud
Kamwe sikuwah pambana na mwanamke mwenzangu,kwan naye alitongozwa kama mm
Huwajui wabongo kwa roho mbaya! Hawapendi kumuona mwenzao anapiga hatuaHamisa angekuwa mkenya ama mnigeria mwenye watoto wa4 na baba mwingine,halafu azae na domo wabongo wangempongeza sana,hahahahah
Wangesema ana akil,smart,ana hela na kila sifa angepewa.
Hawa ndo wabongo ,hadi aibu kujitambulisha kama mtz kwa mataifa mengine.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] akampa penzi zito!!juzi Hyatt regency walikua wote!!!Dada etu.. Ana bahati ya kuzaa na wenye vijisent.
Tatizo Dada etu. Mshauri wake mange.
Angekuwa Ana mkimbiza mwizi taratibu.
Kwa majay yupo. Kwa diamond yupo. Anakula huku na huku.
Watoto ndo ngao yake.
Siku akimwambia diamond Dylan anaumwa njoo nyumbani. Diamond atakataa?
Akija diamond anampa penzi Zito. Unafikiri diamond atamkumbuka zari?
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Yaani daah!sijui tukojeHuwajui wabongo kwa roho mbaya! Hawapendi kumuona mwenzao anapiga hatua
Wanatamani wabadilishe ukweli dully asiwe baba wa mond ila ndiyo haiwezekaniYaani daah!sijui tukoje
Elimu elimu elimuNa ndivyo ilivyo wanaacha kumbana diamond kutwaa hamisa
Ndo maana nasema tatizo ni hamisa wengi wamechukia mnoo yaani wabongo hatupendani haswaa wao kwa nini wasikomae na baba mtoto wao!!
Watz sijui tukoje baadhi yetu
Umaskin ndo tatizoHuwajui wabongo kwa roho mbaya! Hawapendi kumuona mwenzao anapiga hatua
Tena katoa copyy shoga angu mpk raha loooh!na baba kaclaim pablikali kua mwana wa kwake[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] acha nimtukane hamisa!Wanatamani wabadilishe ukweli dully asiwe baba wa mond ila ndiyo haiwezekani
[emoji2] [emoji2] shoga ht sie wa kwamtogole tumeelimika wao tu na nyoyo zao zao dhaifuuElimu elimu elimu
Jamen pambanen na hali zenu,wewe Dada nanihii,kaka nanihii pale unajidai loya kumbe kapuku tu na misukule yote inayokesha jf wakimtusi hamisa wakati wanaishi kwa mtogole
Umaskini wa akili huu!ndo mbayaUmaskin ndo tatizo
Wakiona hata una kavitz roho zinataka watoka pathetic
Badiliken washamba na malimbuken wa kushobokea watu ambao hawana hata time na nyie ,team ...
hakuna mapovu hapa ,huo ndio ukweliUlimshikia miguu nn sio kwa povu hilo
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Am sorry broda if I have offended u in anyway
Really sorry
Nyepesi nyepesi zinazoenea chinichini Hamisa amepokonywa mtoto wake wa kike na mzazi mwenzake. Japo Hamisa anadai mtoto huyo hajapokonywa Wala nini bali kachukuliwa mara moja na mzazi mwenzie.
View attachment 627836
Mkuu huko kote mbali...... Ni hivi mwanaume mwenye akili na maadili huwezi kuzaa na yule binti wa hovyo hovyo kabisaNinachojua tu ni kwamba kwa Mwanaume / Mzazi mwenye akili, anayejitambua na mwenye maadili ya Kutukuka hawezi kukubali kuacha Mtoto wake alelewe na Hamisa Mobeto. Hamisa Mobeto ni Kielelezo tosha cha Mabinti / Wanawake hopeless wanaopatikana sana Kusini mwa Jangwa la Sahara ambao uwezo wao wa Kufikiri unaishia tu Kitandani, katika Dressing table na Bafuni.
Ila anaweza zaa na single Maza zari mwenye watoto wa4 wakubwa tuMkuu huko kote mbali...... Ni hivi mwanaume mwenye akili na maadili huwezi kuzaa na yule binti wa hovyo hovyo kabisa
Sheria za mitandaoni haziruhusu watoto wadogo kutolewa picha zao mitandaoni,unaweza kushtakiwa kwa kosa kama hili na sijui idhini umeipata wapi,uongozi wa JF walitakiwa kutoruhusu picha hii kuwekwa kwenye mtandaoNyepesi nyepesi zinazoenea chinichini Hamisa amepokonywa mtoto wake wa kike na mzazi mwenzake. Japo Hamisa anadai mtoto huyo hajapokonywa Wala nini bali kachukuliwa mara moja na mzazi mwenzie.
View attachment 627836