Tetesi: Hamisa kutimkia Honeymoon Maldives (mwezi mmoja)

Hawa wachezaji nadhani huwa hawaiishi sana dunia nje ya vipaji vyao.
Muda mwingi sana wanautumia mazoezini kujiandaa na mechi.

Wengi wao hufanya maamuzi ya kustaajabisha kidogo kwenye mahusiano, wadangaji huwamendea sana wachezaji wa mpira, nadhani pesa yao haina matumizi mengi kama watu wa sanaa nyingine.

Wao brand yao ipo mguuni, hatumii gharama kubwa kujibrand akishafika timu kubwa, ni maokoto tu yanamfata.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Mrembo wa dunia na mwenza wake kuelekea Maldives kwa ajili ya fungate Mwezi mmoja. Pole Chibu
Fungate mtu kisha tembea naye siju mwaka huu hakuna cha ajabu tena. Hizi ndoa bwana kazi ipo. Mimi najuwa unaowa mke unaenda fungate ili mjuane vizuri peke yenu sio kila siku upo naye kitandani halafu ndio fungate. Haya maoni yangu ila tuwaombee tu kheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…