Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Aisee kijana una umri gani?Heee naskiaga Ndiku mchezaji kumbe walifunga ndoa? Je huyo Ndiku yuko wapi siku hizi ? Aliacha kucheza?
Enewei RIP Ndikumana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee kijana una umri gani?Heee naskiaga Ndiku mchezaji kumbe walifunga ndoa? Je huyo Ndiku yuko wapi siku hizi ? Aliacha kucheza?
HeheheMAster ni stress
Hapo paketi 1 ya sigara $ 18.Hehehe
WapiHapo paketi 1 ya sigara $ 18.
Alimstress ndiku hadi nafsi ikaachia mwiliHii ndoa inanikumbusha Ndikumana na UwoyaView attachment 3238856
MaldivesWapi
Alitumiwa nauli from tz to USA akaliwa kwa sku tatu mfululizo akapewa na ya kurudia tz
HeheheMaldives
Dah Dah 😓Alikuwa ba stress sana ilimpekea kuumwa sana mpaka kufariki kitambo sana ...Mbona yule dogo anaenda sana kwenye kabuli la baba yake huko Rwanda.
Ndikumana angekuwepo yule mtoto asingekuwa MAYAI MAYAI.Hii ndoa inanikumbusha Ndikumana na UwoyaView attachment 3238856
Kwani yukojeNdikumana angekuwepo yule mtoto asingekuwa MAYAI MAYAI.
SINGO MAMA wanaiharibu Dunia.
Wana mna kumbukumbu balaaHii ndoa inanikumbusha Ndikumana na UwoyaView attachment 3238856
Ko watoto hawa mayai mayai na wanao baba zao hai vipi?Ndikumana angekuwepo yule mtoto asingekuwa MAYAI MAYAI.
SINGO MAMA wanaiharibu Dunia.
Wahuni wanajipigia tu SinzaNdiku alishafariki
Fungate mtu kisha tembea naye siju mwaka huu hakuna cha ajabu tena. Hizi ndoa bwana kazi ipo. Mimi najuwa unaowa mke unaenda fungate ili mjuane vizuri peke yenu sio kila siku upo naye kitandani halafu ndio fungate. Haya maoni yangu ila tuwaombee tu kheri.Mrembo wa dunia na mwenza wake kuelekea Maldives kwa ajili ya fungate Mwezi mmoja. Pole Chibu