Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Nimecheka mimi...[emoji28][emoji1][emoji2][emoji2][emoji1]Acha kabisaa yaani nilicheka saana daahh!
Hivi witnessj huu uzi hajauona au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka mimi...[emoji28][emoji1][emoji2][emoji2][emoji1]Acha kabisaa yaani nilicheka saana daahh!
[emoji16][emoji23][emoji2][emoji23]kumbe wamjua eehh!swaga zake!angewaita mambwa mpk wakome!leo Wema asingelala..I miss him for sure!
Itakua yuko busy maana sijamtua kwa macho kabisaa!muite aje![emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16]napitaItakua yuko busy maana sijamtua kwa macho kabisaa!muite aje![emoji23][emoji23][emoji23]
Dada habari![emoji2][emoji2][emoji2][emoji16][emoji16][emoji16]napita
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena ule wa uke wenza.Wanafiki na wana wivu!madume kaka hayo!Missa kawauma kuliko maisha yao!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamissa kawachefua wanaume, yaan wanatapika km wana mimba changa, mbavu zangu mie uwiiiiiih lolWamegwaya walitaka atoke na kivurande wamtukaneee wamuite cheap Malaya,wampe mifano ya kinabosslady,Mara veepesa n.k...yeye kabutua kombolela mpk Us ndo wameshangaaa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] had chawa mkuu mama levo kawa mdogo km priton, uwiiiiiihAna balaa la albadiri ya sheikh mwinyimkuu kuteketeza ukoo mzim[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!!wanajutaaa....wale wa ukoo umejaa kama nawaona!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna la ajabu analofanya hapo Hamisa,haya anayoyafanya hata Dada zako wanayafanya sana tu (sorry najua itakuuma lakini ndiyo ukweli wenyewe) .Tofauti ya Hamisa na wengine ni kuwa yeye anadate mtu maarufu zaidi kwa sasa hadi mnapata muda wa kumkosoa ila dada zako wanadate kwa kina Mangi wenye maduka pale mtaani kwenu[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vunja bei huko insta anapagawa hatareeeh.Wamepigwa na kitu kizito hawaamini,wanataka kumkosoa Ross lakini wakikumbuka Net worth aliyonayo ukilinganisha na wao,makasiriko wanampelekea Hamisa.Hamisa nyoosha kabisa wote kuanzia Tandale,nenda kule kwa Bi Mdashi Tuks aliyekuwa anamwita mwenzie low life,halafu nyoosha na Wanaume wa hapa JF ambao wanatokwa povu kwa wewe kudanga kwa Mwanamziki Tajiri tena wa Kimarekani.Bora Vunjabei kakubali mziki ni mzito[emoji3][emoji3]
Hainihusu sihusiki nao maana hawanipi Hata buku Wana faida gani kwangu |QUOTE]Who is Hamisa???
Vitu vingine vinachekesha sana....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya ndiyo makasiriko yenyewe sasa,unasema huna haja ya kumjua lakini wakati huo huo unajua movement zake zote[emoji1787][emoji1787][emoji1787].Btw Hamisa hahitaji mazoea na wewe maana hajui hata kama upo,yeye anawajaua hao kina Majizzo,Diamond na sasa ame upgrade kwenda kwa kina Richforever kule ni mwendo wa kusecure bag [emoji385][emoji383].Wewe na mimi acha tupambanane na haya madafu ya Mama Samia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan angewakomesha domo team na vile alikua hawapendi lol.[mention]warumi [/mention] ndugu yetu huyu ametangulia mbele za haki,sijui angekuwepo hii habari angeileta kwa mbwembwe kisi gani[emoji23][emoji23]
nadhani ingeletwa na msafara wa matarumbeta[emoji1490][emoji1490]
Hainihusu sihusiki nao maana hawanipi Hata buku Wana faida gani kwangu |QUOTE]Yani niache kudeal na matatizo yangu nifuatilie maisha ya kahaba anaejigeuzageuza mbele ya shedede la ricky [emoji1787][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie, uwiiiiihWavula wote wanatokwa povu hatari,mwingine anachekesha kwamba anasubiri Hamisa arudi na yeye ajisevie.Kina Vunjabei wamepigwa chini hadi wanalia ovyo ije kuwa hawa Wavulana wa hapa JF ambao bado wanahangaikia kupata ajira za Mama Samia[emoji3][emoji3][emoji3]
Hana alichobaki nacho ...kete yake ya mwisho ni kuhakikisha mbususu inamtoa. Yeye anaona hayo ni mafanikio makubwa!! Mambo ya aibu haya! aisee ujinga kweli ni gharama.Rickross atapiga tu na kusepa, juzi tu fally pupa alisepa demu alikuwa anajilengesha wazi wazi yaani haoni aibu kabisaa anaganda wanaume vibaya mno umasikin mbaya sana
Bas missa ndo anacheza ktk jumba hilo, just imagine? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa haraka haraka rick ana migahawa ya wings za kuku inafika 300...nilikua namskiliza sku1 anasema faida ya mgahawa m1 kwa week ni kama $20000
Vile kama vya mc donald vile.nkasema si mchezo..jamaa jumba lake si ndo walitumia kwenye comming to amerika2