Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Wamegwaya walitaka atoke na kivurande wamtukaneee wamuite cheap Malaya,wampe mifano ya kinabosslady,Mara veepesa n.k...yeye kabutua kombolela mpk Us ndo wameshangaaa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamissa kawachefua wanaume, yaan wanatapika km wana mimba changa, mbavu zangu mie uwiiiiiih lol
 
Ana balaa la albadiri ya sheikh mwinyimkuu kuteketeza ukoo mzim[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!!wanajutaaa....wale wa ukoo umejaa kama nawaona!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] had chawa mkuu mama levo kawa mdogo km priton, uwiiiiiih
 
Hakuna la ajabu analofanya hapo Hamisa,haya anayoyafanya hata Dada zako wanayafanya sana tu (sorry najua itakuuma lakini ndiyo ukweli wenyewe) .Tofauti ya Hamisa na wengine ni kuwa yeye anadate mtu maarufu zaidi kwa sasa hadi mnapata muda wa kumkosoa ila dada zako wanadate kwa kina Mangi wenye maduka pale mtaani kwenu[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wamepigwa na kitu kizito hawaamini,wanataka kumkosoa Ross lakini wakikumbuka Net worth aliyonayo ukilinganisha na wao,makasiriko wanampelekea Hamisa.Hamisa nyoosha kabisa wote kuanzia Tandale,nenda kule kwa Bi Mdashi Tuks aliyekuwa anamwita mwenzie low life,halafu nyoosha na Wanaume wa hapa JF ambao wanatokwa povu kwa wewe kudanga kwa Mwanamziki Tajiri tena wa Kimarekani.Bora Vunjabei kakubali mziki ni mzito[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vunja bei huko insta anapagawa hatareeeh.
 
Haya ndiyo makasiriko yenyewe sasa,unasema huna haja ya kumjua lakini wakati huo huo unajua movement zake zote[emoji1787][emoji1787][emoji1787].Btw Hamisa hahitaji mazoea na wewe maana hajui hata kama upo,yeye anawajaua hao kina Majizzo,Diamond na sasa ame upgrade kwenda kwa kina Richforever kule ni mwendo wa kusecure bag [emoji385][emoji383].Wewe na mimi acha tupambanane na haya madafu ya Mama Samia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[mention]warumi [/mention] ndugu yetu huyu ametangulia mbele za haki,sijui angekuwepo hii habari angeileta kwa mbwembwe kisi gani[emoji23][emoji23]

nadhani ingeletwa na msafara wa matarumbeta[emoji1490][emoji1490]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan angewakomesha domo team na vile alikua hawapendi lol.
 
Hainihusu sihusiki nao maana hawanipi Hata buku Wana faida gani kwangu |QUOTE]Yani niache kudeal na matatizo yangu nifuatilie maisha ya kahaba anaejigeuzageuza mbele ya shedede la ricky [emoji1787][emoji28]
 
Wavula wote wanatokwa povu hatari,mwingine anachekesha kwamba anasubiri Hamisa arudi na yeye ajisevie.Kina Vunjabei wamepigwa chini hadi wanalia ovyo ije kuwa hawa Wavulana wa hapa JF ambao bado wanahangaikia kupata ajira za Mama Samia[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie, uwiiiiih
 
Rickross atapiga tu na kusepa, juzi tu fally pupa alisepa demu alikuwa anajilengesha wazi wazi yaani haoni aibu kabisaa anaganda wanaume vibaya mno umasikin mbaya sana
Hana alichobaki nacho ...kete yake ya mwisho ni kuhakikisha mbususu inamtoa. Yeye anaona hayo ni mafanikio makubwa!! Mambo ya aibu haya! aisee ujinga kweli ni gharama.
 
Kwa haraka haraka rick ana migahawa ya wings za kuku inafika 300...nilikua namskiliza sku1 anasema faida ya mgahawa m1 kwa week ni kama $20000

Vile kama vya mc donald vile.nkasema si mchezo..jamaa jumba lake si ndo walitumia kwenye comming to amerika2
Bas missa ndo anacheza ktk jumba hilo, just imagine? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom