Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Inasikitisha sana kwenye hili vile jamii nzima wanawake kwa wanaume wanavyounga mkono umalaya.
Aog1Vh.jpg
 
Huyu fala hamisa kama ameenda huko siku ambazo sio za kushika mimba bas hii nafasi ataijutia sana.

Bora kufa kwa maji ya victoria kuliko ndoo moja ya maji
Bidada makini sana, very bright... Sio unarika tuuu,,, Bali unaporika kuna kitu unakipata???

Wanaume wanamuita Malaya. Lkn lakini nawaambia ni sababu ya UMASIKINI.

Wanawake wanamuita Mdangaji. Lkn amini HAMNA MWANAMKE WA KIBONGO AMBAYE ANAWEZA KUMKATAA RICK R!!
 
Huu uzi umewatoa mafichoni wanawake wengi sana waliokua kimya humu

Ila izi coment za wanaume wenzangu zinafikirisha sana....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wamedata na midevu, uwiiiiih
 
msiseme wanaume wa bongo,semeni wavulana mashabiki wa wcb[emoji16][emoji16]

tuheshimu matabaka jamani.
wao wanaamini hakuna mwanaume kama diamond duniani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hili wanawake wote wa tanzania tumekuwa wamoja ila kwa asilimia kubwa makasiriko wanayo wanaume....sjui kinawauna nini
Wajomba wamemaindi balaa[emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]!!!
 
msiseme wanaume wa bongo,semeni wavulana mashabiki wa wcb[emoji16][emoji16]

tuheshimu matabaka jamani.
wao wanaamini hakuna mwanaume kama diamond duniani.
[emoji16][emoji23][emoji23]kabisaa yaani kuna wanaume wanadai diamond ndo mwamba kuliko yoyote ,sasa imekula kwake!
 
Wajomba wamemaindi balaa[emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]!!!
Walizoea kutuliza na kuona tunalalamika daily sasa wanaona tumegeuzia karata upande wa pili kinawauma ...kweli inherently kuna ka uadui na kaushindani flani kati ya jinsi ya kiume na ya kike...
Shemela Ricky amtafutie na wema sepetu hata teja flani huko limsitiri maana kwa tz nae anadharaulika sana
 
Mnoo...wanasemaga wadada wa kibongo aren't smart at all kwenye kudanga...walikua wanamsifia sana Zari kua anajua kucheza karata vzr...kwa kua kazaa na bosses..Ivan na Mondi..Leo mobetoo kapiga shuti la mbaali...wamepagawa..they r insecure aseehh!
Sikutarajia kama hali itakua hii!!
 
Eti shuti la mbali
Km utani utani tu ila ndo yamekuwa.
Tunaingia huku mitandaoni kupoteza bando kumbe wenzetu wako kikazi. Kwani di picha za ig si ndo zilimvutia Rick hadi kuja live
Hehehe najicheka kwa dharau
 
Sasa hivi ni mwendo wa kuwinda wabeba box tu wote tuhamie amerika beiby maana shuti la hamisaa linahitaji iwekezaji wa miaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabisa
 
Back
Top Bottom