Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Inasikitisha sana kwenye hili vile jamii nzima wanawake kwa wanaume wanavyounga mkono umalaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bidada makini sana, very bright... Sio unarika tuuu,,, Bali unaporika kuna kitu unakipata???Huyu fala hamisa kama ameenda huko siku ambazo sio za kushika mimba bas hii nafasi ataijutia sana.
Bora kufa kwa maji ya victoria kuliko ndoo moja ya maji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wamedata na midevu, uwiiiiihHuu uzi umewatoa mafichoni wanawake wengi sana waliokua kimya humu
Ila izi coment za wanaume wenzangu zinafikirisha sana....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu umbea ungeanikwa na warumi kila rangi tungeona.
Hizo ndev za rik ros ni blanket tosha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]msiseme wanaume wa bongo,semeni wavulana mashabiki wa wcb[emoji16][emoji16]
tuheshimu matabaka jamani.
wao wanaamini hakuna mwanaume kama diamond duniani.
Tatizo anaegongwa anawasimulia namna alivyogongwa wasio gongwa.KUGONGWA ANAGONGWA MWINGINE WANAOTESEKA WENGINE
Wajomba wamemaindi balaa[emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]!!!Kwa hili wanawake wote wa tanzania tumekuwa wamoja ila kwa asilimia kubwa makasiriko wanayo wanaume....sjui kinawauna nini
[emoji16][emoji23][emoji23]kabisaa yaani kuna wanaume wanadai diamond ndo mwamba kuliko yoyote ,sasa imekula kwake!msiseme wanaume wa bongo,semeni wavulana mashabiki wa wcb[emoji16][emoji16]
tuheshimu matabaka jamani.
wao wanaamini hakuna mwanaume kama diamond duniani.
Walizoea kutuliza na kuona tunalalamika daily sasa wanaona tumegeuzia karata upande wa pili kinawauma ...kweli inherently kuna ka uadui na kaushindani flani kati ya jinsi ya kiume na ya kike...Wajomba wamemaindi balaa[emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]!!!
Mnoo...wanasemaga wadada wa kibongo aren't smart at all kwenye kudanga...walikua wanamsifia sana Zari kua anajua kucheza karata vzr...kwa kua kazaa na bosses..Ivan na Mondi..Leo mobetoo kapiga shuti la mbaali...wamepagawa..they r insecure aseehh!Walizoea kutuliza na kuona tunalalamika daily sasa wanaona tumegeuzia karata upande wa pili kinawauma ...kweli inherently kuna ka uadui na kaushindani flani kati ya jinsi ya kiume na ya kike...
Shemela Ricky amtafutie na wema sepetu hata teja flani huko limsitiri maana kwa tz nae anadharaulika sana
Kwa hili wanawake wote wa tanzania tumekuwa wamoja ila kwa asilimia kubwa makasiriko wanayo wanaume....sjui kinawauna nini
Malaya anayevuka mipaka kama si Michui ahaaaa woooouuuUyu ni malaya kama malaya wengine
Kukata utumbo kumemuahiribia yeye angefanya tu mazoezi baaasi..na anavojua kinge...loohh!angekua mbaali sana!Enz zishapiza
Eti shuti la mbaliMnoo...wanasemaga wadada wa kibongo aren't smart at all kwenye kudanga...walikua wanamsifia sana Zari kua anajua kucheza karata vzr...kwa kua kazaa na bosses..Ivan na Mondi..Leo mobetoo kapiga shuti la mbaali...wamepagawa..they r insecure aseehh!
Sikutarajia kama hali itakua hii!!
Sasa hivi ni mwendo wa kuwinda wabeba box tu wote tuhamie amerika beiby maana shuti la hamisaa linahitaji iwekezaji wa miaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shangaaa
KabisaSasa hivi ni mwendo wa kuwinda wabeba box tu wote tuhamie amerika beiby maana shuti la hamisaa linahitaji iwekezaji wa miaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]