Hamisa Mobetto, Mtoto wa “Kayumba” anaefanya mambo makubwa

Lawama ziwandee wanawake wanao jihusha na wanaume malofa dunia ina mambo!
 
Kwahiyo unashauri wazazi wahamasishe umalaya,udangaji,kujiuza na kuzaa na wanaume tofauti kwa mabinti zao badala ya kusoma na kupata maarifa ya kufanya mambo ya kimaendeleo kama namna ya kuweza kujikwamua kiuchumi?

Hamisa ana shughuli gani ya kiuchumi unayoijua wewe ambayo unaweza sema ni halali?
 
Picha mkuu sisi wengine hatumjui Hamisa.
 
Oooh so utafundisha your daughter jinEsi ya kutega wanaume wenye hela? 🥱
Hata hujaelewa mada yangu. But sikulaumu najua wewe ni graduate wa mtaala wa Necta. You guys are very slow
 
Malaya ni nani?

Malaya ni mwanamke yoyote yule ambae anafanywa waziwazi kiasi hadi baba ake na mama ake wanajua kwamba anafanywa na wanamjua ambae anamfanya ni nani. Huyo ndio Malaya.
Wakati mwingine Malaya huyu hupewa cheti maalumu cha kuhalalisha umalaya wake hadi mbele ya wazazi wake. Cheti hicho kimebatizwa jina na kuitwa " Cheti cha ndoa".


Mwanamke ambae sio Malaya hufanya sex kwa uficho na wazazi wake hawawezi kujua kama anafanya sex achilia mbali kumjua mwanaume wake.

Swali kwako sasa. Je ulizaliwa ndani ya ndoa?

Baba na mama wa mama yako mzazi walikuwa wanamjua baba yako?

Walikuwa wanajua kama ameolewa?


Kama jibu lako ni ndio then jipigie makofi
 
Unataka kusemaje mkuu? Kwamba mabinti waishie form 4 waingie mtaani kudanga kwa wanaume wenye hela? Ungetolea mfano kwa wanawake angalao level ya spika tulia kidogo ungeeleweka, kuliko kumtumia gold digger kama rejea.
Aisee
 
100% Fact.

Hornet
 
Sasa wivu kwa Hamisa wanini wakati wewe unaandikaga nyuzi humu unasema wewe lesbian? 🤣🤣🤣

Nilicho kiandika Kipo sahihi kabisa kwa mtu ambae hana stress
Khaaa na una muda wa kunifatilia 😅😂😂😂 aisee utapoteza muda wako bure endelea kumfatilia Hamisa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…