Hamisa Mobetto na Aziz Ki kufunga ndoa, waweka wazi kwa kuweka post hii wote wawili

Kila la kheri kwao Ila jamani Azizi Ki alikwepo kwenye kikao chetu cha mwisho jamani juu ya single mothers
 
Bora tungetawaliwa na mjerumani sijui, waingereza wameturithisha tabia ya umbea... Hadi kwemye soka, vilabu vyetu vya moto, timu ya taifa ni kifo cha mende
Mbona Deutschland walitutawala mkuu? Ila sema si miaka mingi kama walivyo tu tawala Waingereza
 
Kitu kinanishangaza, hawa watu maaruf hawana wivu, kama ningekua maaruf, ningetafuta mtoto mbichi, unknown to people tukatulia.

Hawa jamaa wananishangaza sana.
Ungekuwa maarufu hao watoto wabichi unknown ungeona hawakufai
 
Mbona Deutschland walitutawala mkuu? Ila sema si miaka mingi kama walivyo tu tawala Waingereza

Mkuu angalia historia vizuri, wajerumani walikaa Tanganyika muda mrefu kuliko waingereza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…