Hamisa Mobetto na Aziz Ki kufunga ndoa, waweka wazi kwa kuweka post hii wote wawili

Hamisa Mobetto na Aziz Ki kufunga ndoa, waweka wazi kwa kuweka post hii wote wawili

Muigizaji Hamisa na mchezaji wa soka Aziz Ki kufunga ndoa mwaka huu, waweka wazi kwa kuweka post hii wote wawili ya video wakila bata Dubai, wakitumia hashtag #MissaKi2025.

Hili linakuja wiki chache baada ya Mobetto kumtambulisha Aziz Ki, MVP wa msimu uliopita Ligi Kuu ya NBC.

Soma, Pia: Hamisa Mobetto amtambulisha rasmi mpenzi wake Aziz Ki wa Yanga
View attachment 3230711

View attachment 3230710
Kila la kheri kwao Ila jamani Azizi Ki alikwepo kwenye kikao chetu cha mwisho jamani juu ya single mothers
 
Bora tungetawaliwa na mjerumani sijui, waingereza wameturithisha tabia ya umbea... Hadi kwemye soka, vilabu vyetu vya moto, timu ya taifa ni kifo cha mende
Mbona Deutschland walitutawala mkuu? Ila sema si miaka mingi kama walivyo tu tawala Waingereza
 
Kitu kinanishangaza, hawa watu maaruf hawana wivu, kama ningekua maaruf, ningetafuta mtoto mbichi, unknown to people tukatulia.

Hawa jamaa wananishangaza sana.
Ungekuwa maarufu hao watoto wabichi unknown ungeona hawakufai
 
Mbona Deutschland walitutawala mkuu? Ila sema si miaka mingi kama walivyo tu tawala Waingereza

Mkuu angalia historia vizuri, wajerumani walikaa Tanganyika muda mrefu kuliko waingereza.
 
Back
Top Bottom