Hamisa Mobetto ndiye mrembo anayetikisa kwa sasa


hamisa kaumbika jaman uyu mtoto mashaallah [emoji3059]
 
Pata hela mpendezeshe demu wako uliyenaye
We ndio umemaliza mkuu. Hakuna mwanamke mbaya duniani anapogharamiwa na kubrandiwa vizuri, pengine huyo uliye nae nyumbani ni mzuri kuliko hata huyo Hamisa Mobeto unaemsemea. Hata huyo Hamisa mfano akukubalie umuweke ndani Kama guns pesa atachakaa na utamuona mbaya.
Wanaume tuache ushamba tutafute pesa tupendezeshe vyakwetu. Usione vyaelea vimeundwa.
 
Wengi humu wanafata mkumbo tuu kumsema vibaya mara mbaya kumbe hata kumuona hajawahi muona.
 
Nilifanikiwa kumalizana naye mara mbili
1. Ndotoni
2. Nilipokiwa naoga bafuni...

Wakubwa tunafaidi
 
Hamna kitu hapo, hapo mmezugwa na ma-filter plus make up na ubora wa camera ndio unao mpaisha

Hapo credits nampa camera man na yeyote aliyetia mkono kwenye editing ya picha.
Ushawahi kumuona?!!!acha wivu she is beautiful kibongobongo
 
Kuna mdogo wangu akiona picha ya Hamissa Mobeto tu anakumbuka mtungo waliompiga pale Tandika sec siku ya graduation yao japokuwa mwenyewe Hamissa anakataa hajasoma hapo
Hahaaaa kasoma tandika anajitoa fahamu km anakataaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]uwoya ukiona live ni mumama mtu mzima Hana shape number nane Ila Instagram Ni mrembo huyo hatari, hamisa naye ig mzungu Ila live wakawaida Sana tu. Lulu ndio mzuri wa asili bila makeup sema ndio mfupi
Kweli uzuri wa MTU upo machoni Lulu namuona wa kawaida mnoo na vile kafupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…